Kilimanjaro Christian Medical Centre is located in the foothills of the snow capped, Mount Kilimanjaro, Tanzania.

Kilimanjaro, Tanzania
Joined March 2019
KAMBI YA TIBA KWA WANAWAKE WENYE CHANGAMOTO YA MFUMO WA MKOJO NA VIA VYA UZAZI
196
Heri ya Sikukuu ya Pasaka
2
120
Uongozi na Wafanyakazi Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kaskazini KCMC, wanatoa pongezi kwa Dkt. Atukuzwe Kahakwa, kufuatia Ushindi wa Tuzo ya 2025 Coleman/Kaplan Mentorship Fund Award, inayotolewa na International Cancer Expert Corps (ICEC) nchini Marekani.
183
Wanahabari, Watumishi wa GSF/KCMC na wananchi wote mnakaribishwa.
1
5
255
Wanahabari, Watumishi wa GSF/KCMC na wananchi wote mnakaribishwa.
2
156
Wanahabari, Watumishi wa GSF/KCMC na wananchi wote mnakaribishwa.
2
107
Shirika la Msamaria Mwema (GSF) kupitia taasisi zake; Hospitali ya KCMC, Chuo Kikuu KCMC, KCRI, International School of Moshi, Saint Luke Foundation na KICHAS, limewapokea rasmi wakurugenzi wapya wawili watakao hudumu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC).
2
244
Ndugu Boniface Shija ni mmoja wa walionufaika na huduma za kibingwa za macho zinazotolewa hapa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC.
1
11
415
Uongozi wa @Kcmc1971 umempongeza CPA. Aisia Makundi kwa kufaulu mitihani ya kitaifa ya uhasibu na kufanikisha kupata Cheti cha CPA. Hii ni ishara ya juhudi, nidhamu na ubora wa kitaaluma unaojengwa KCMC katika kuhakikisha ufanisi na uwajibikaji wa kifedha unaimarika kila siku.
1
314
Hospitali ya KCMC imeendelea kuwekeza katika ustawi wa watumishi wake kwa kuwapatia mafunzo ya Afya ya Akili. Mafunzo haya yametolewa na Daktari Bingwa wa Afya ya Akili, Kim Madundo, yakiwa na lengo la kuongeza uelewa, kujenga mbinu bora za kukabiliana na changamoto za kiakili
7
22
901
You are welcome to register for the upcoming Focus on Mental Health conference. Use the following link to enter your information docs.google.com/forms/u/0/d/… And refer to the event poster for payment details.
2
196
Mikono safi ni silaha rahisi lakini yenye nguvu kubwa katika kulinda afya zetu na za wengine. Kwa kuzingatia usafi wa mikono kila siku, tunaweza kupunguza kwa kiwango kikubwa maambukizi ya magonjwa mbalimbali kama vile kipindupindu, kichocho na magonjwa mengine ya kuambukiza.
1
262