
The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2015
- Tweets30K
- Following40
- Followers2M
- Likes2.6K
Semaji Ahmed Ally akizungumzia maendeleo ya kikosi katiki wiki ya kalenda ya FIFA na maandalizi ya kurejea kwenye mashindano kuanzia wikiendi hii. #NguvuMoja
Burudani itaendelea siku chache zijazo. #NguvuMoja
Maandalizi ya ushindi wa 11 kwenye Ligi Kuu. #NguvuMoja
Jeshi la Mnyama linajiweka sawa kwa kazi. #NguvuMoja
鉁嶏笍 Jumamosi tunarudi kuendeleza ushindi kwenye Ligi Kuu. #NguvuMoja
Ni mengi ambayo haujui kuhusu Nathaniel Chilambo ambayo sasa yanapatikana katika 饾悞饾悎饾悜饾悎 饾悩饾悁 饾悅饾悋饾悎饾悇饾悈 饾悅饾悋饾悎饾悑饾悁饾悓饾悂饾悗.
Sehemu ya kwanza sasa inapatikana kwenye YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja
Tunajiweka sawa kabla ya kurudi kwenye mashindano tukianza na JKT Tanzania siku ya Jumamosi Novemba 21, 2026. #NguvuMoja
Kitasa kingine, Abdulrazak Hamza tayari kuipambania Simba. #NguvuMoja
Karibu tena kazini, Wilson Nangu. #NguvuMoja
饾悈饾悜饾悎饾悇饾悕饾悆饾悑饾悩 饾悓饾悁饾悡饾悅饾悋
Mashujaa FC 0-1 Simba SC.
鈿斤笍 Elie Mpanzu.
#NguvuMoja








































