Joe retweeted
imagine your daughter telling you anaenda job interview alafu later in the evening ukilog in pale tiktok unaona akidance... raising mtoto dem keeps on worrying me. alafu ikuwe salary haipiti ata 50K , woi jehova wanyonyi shuka!
Joe retweeted
One thing nimelearn the hard way ni no one owes you anything in life. You could be tired mentally, hujui hata utatoa wapi nguvu za kuendelea kesho, but huku nje life goes on. Watu wanaenda job, wanapiga sherehe, wanacheka, just enjoying life. sometimes the people you once were...
Joe retweeted
nataka marafiki kama wa bookten, wamemeet several times lakini hakuna mwenye amewai sema ako na mkono nusu...ingekuwa my friends wanagekuwa wameanika kipara yangu apa 😂😂 – at Mtongwe, Kenya
Joe retweeted
hii app kama wewe ni Okuyu,Somali,Luhya ,Luo just know hutawai kuwa na peaceful day here. kila siku one of the tribes lazima wakule strays 😂
Joe retweeted
umeoa lakini bado unaulizwa mtakula nini, heri ukae single kama sisi juu uyo dem hakuna kitu anakusaidia nayo😂
Joe retweeted
Money must flow forward from parent to child ,not from child to parent ,this is how wealth is built .
Some of y'all are so ungrateful walai. A significant sum of money was wrongfully deposited in this person's account, na akaoombwa arudishe in exchange of some good token lakini the person decided just to see this money that had been deposited. Pesa haujui penye imetoka tafadhali rudisha. Sai jamaa ako cell anaoomba msamaha yet at first akioombwa hiyo pesa alisema "Sikumbuki hata Mpesa pin", "Simu yangu haina Mpesa"🤦🏾♂️😂😂
Joe retweeted
uyo dem yako huwa anakumbuka vile her former boss was licking her,hitting adi mguu zishake alafu wewe unapiga moja unalala kama tl enjinia😂,alafu ukijaribu kumguza utapigwa mateke vile kamau hufanyiwa😂😂 – at Mombasa, Kenya
"Msichana wako", "Long distance" and "Mtaenda mbali" in one sentence is crazzzzyyyy, yoh!











