instagram.com/p/DfNMHinPG5s/… huyu kibaka tumkatae kabisa
summer retweeted
Ni mwaka mmoja umepita Humphrey Polepole ametuachia ujumbe mzito wa mwisho tusisahau kuwa wenye mamlaka ni sisi wananchi na TUNA WAJIBU wa kupinga dhulma, ufisadi na kulinda nchi
Mwezi huu ninaanza mazungumzo ya kitaifa tujadili masuala muhimu kuikomboa nchi
#OngeaNaShangazi itakuwa live kupitia @MwanzoTvPlus na @MwanzoTV na kupitia social media akaunti zangu
Karibuni!
summer retweeted
#TajiriLaKihaya
Huu Mwaka mzima- This is The BEST QUOTE EVER🙌🏽🙌🏽🙌🏽



