System ni ya kukunja na kukunjua jameni mpo!Good Morning Team Safari, Wikendi inaanza sasa #SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Good Morning mwanasafari...tuendelee kukaza mwendo,Safari ni ni ndefu
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
System ya kukunja na kukunjua...Good Morning Banasafari
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @RadioMaisha
Good Morning wasafiri wenzangu,tukaze mwendo Safari ni Ndefu.#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Good Morning wanasafari wenzangu...amkeni tukaze mwendo
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
A Very good Morning to you.Umeamkaje?Kama sio Bwana ni nani?#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio
Good Morning WanaSafari...Mpo?Kila.mwenye pumzi amsifu Bwana
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi! 🙏🏽
Ungana na Amani Aila ndani ya Safari kuanzia 4:00am hadi 6:00am, tuanze siku tukiwa katika uwepo wa Bwana❤️
#SafariNaAmaniAila
#RadioZaidiYaRadio
A Very good morning to you.Umeamkaje?Tuanze Na Mungu
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Goodmorning,Tumpigie Bwana Shangwe
#ShangweNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha Shangwe eeeh...Shangwee aaaaa
1
1
71
Good Morning Team Shangwe...ni System ya Kukunja na kukunjua
Tuanze na Mungu tumalize na Mungu
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Hakuna atakayeweza kututenganisha na upendo wa Mungu❤️
Ungana na Amani Aila ndani ya Safari, kuanzia 4:00am hadi 6:00am, tuanze siku tukimtanguliza Mungu🌅
#SafariNaAmaniAila
#RadioZaidiYaRadio



















