Adam's suleiman (@AdmireAs) header
Adam's suleiman (@AdmireAs) profile picture

Muslim

Arusha, Tanzania
Joined April 2013
Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)
Enyi mlio amini! Bila shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi za shetani. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa. ( Quran 5:90 )
3
58
214
17,015
Na laiti wangeli ridhia kile alicho wapa #Allah na #Mtume wake, na wakasema #Allah anatutosheleza, #Allah atatupa katika fadhila zake- ( At-Tawba #59 )
1
8
146
Tunajilinda kwa #Allah kutokana na kudhulumu na kudhulumiwa, ufakiri na ukafiri. Tunajilinda pia kutokana na madeni makubwa na madogo, na matendo ya watu wa ( Kaumu Lut'i ) ushoga!
8
238
Tujikumbushe Pambano hili Kali
14
158
8
693
64,852
Mola wangu ameharamisha mambo machafu ya dhahiri na siri, na dhambi au uasi bila Haki. ( Quran 7:33 )
3
7
197
Pamesemwa; #Internet haiharibu jamii, bali ni kuwa jamii imeharibika na umedhihiri uhalisia wake kwenye #Internet.
6
125
Adam's suleiman retweeted
Pamesemwa; 98% ya furaha ya NDOA iko katika kupuuzia mambo. Na huo ndio ukamilifu wa NDOA. #Huba
2
4
19
273
Pamesemwa; Usiwadharau watu, wala usiwakebehi, wala usiwafanyie istahzaa, kwani haujui itakuwa hali yako kesho. Basi kuwa makini leo! Usiwe katika watukanaji, kesho ukawa miongomi mwa waliopewa mtihani. #Ulimi
1
3
155
Adam's suleiman retweeted
Replying to @AdmireAs
Aaamyna yaa Rabbil Alaa-Miiyna
1
1
26
#Wanadamu Je! Hawamtazami ngamia alivyo umbwa? Na mbingu ilivyo inuliwa? Na ardhi ilivyo tandazwa? Basi kumbusha! Hakika wewe ni mkumbushaji. ( Surat Al-Ghaashiyah 17-19 )
1
11
217
Na tulimpa #Luqman hekima, tukamwambia: Mshukuru #Allah. Na Mwenye kushukuru basi hakika anashukuru kwa ajili ya manufaa ya nafsi yake. Na Mwenye kukufuru, basi #Allah ni Mkwasi Msifiwa. ( Quran 31:12 ) Na hakika tukishukuru zitadumu neema. #Alhamdulillah
2
10
210
Amesema Hassan Al Basriy ( Allah marahamu ) Kuna mtu kama chakula! Haiwezekani kumkosa. Na kuna mwingine kama dawa, haitajiki ila baada ya muda. Na kuna mwingine kama #maradhi, ahitajiki, hatakikani kamwe. Tumuombe #Allah asijalie kwetu kuwa katika watu wasio hitajika ktk jamii.
1
1
6
155
Adam's suleiman retweeted
Amesema Mtume wa Allah: Mwanadamu anazeeka na matamanio mawili, huzeeka nayo; Kupenda Mali na maisha marefu. ( Sahihi Bukhar #6421 )
1
13
1
59
1,198
Adam's suleiman retweeted
#Qur'an inasimulia Hadith nzuri zenye mazingatio. Na msomaji wetu, Sheikh Mohammed Ayoub #Allah amraham.
1
5
32
685
#Mwenyezi_Mungu, hapana Mungu ila Yeye tu. Na juu ya #Mwenyezi_Mungu wamtengemee Waumini. ( Quran 64:13 )
5
150
Muozeshe binti yako kwa wenye Dini. Akimpenda binti yako atamfanyia wema, na akimchukia hato mdhulumu. Na hakika mwanzo upo katika uchaguzi mzuri. Na atakaye fanya uchaguzi mzuri, atakuwa ameweka mguu wake katika njia ya ukozi na furaha.
1
7
175
#Rabbi! Tuongoze njia iliyo nyooka. ( Quran 1:6 )
2
165
Asalam Aleykum Warahmatulahi Wabarakatuh! Vipi hali zenu? Ama baad; Tumuombe #Allah ( Azza Wa Jallah ) atukinge na kutuepusha na MADENI. Hakika madeni yatakufanya uwe muogo, wasiwasi utakujaa, na amani ya moyo itaondoka. Twakuomba Rabbi wetu Mlezi! Wepesi wa njia za riziki.
3
8
165
Adam's suleiman retweeted
Replying to @AdmireAs
Ameen
1
1
35