
Lawyer, Human Rights Activists, @simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter 🚌
Joined February 2020
- Tweets732K
- Following1.8K
- Followers186K
- Likes1.6M
Pinned Tweet
Suala la kuwa na afya njema unaweza kuona ni kawaida sana ila ukienda Hospital ndo utajua ukiwa na afya njema tu inatosha sana kumshukuru Mungu.
Nyie mna point 4 zetu, kazi mnayo
Pirates Face Stern Test in Champions League
🌐 Read More : orlandopiratesfc.com/news/pi…
⚫⚪🔴⭐
#OrlandoPirates
#OnceAlways
Adventure-360 retweeted
Watu wa Tanga mkitaka samaki Fresh, Bus moja tuu Ruksa.
Linatoka saa 7 mchana Mwanza, linafika saa moja asubuhi kesho yake.
Tupigie 0762344677
Aisee
Adventure-360 retweeted
Mungu aliyenipa moyo wa Kushukuru ndiye atakayeNinua zaidi. Ni baraka kubwa kukumbuka wale walionisimamia Nilipoanguka, na ni baraka kubwa kwao. Mungu alie nipa ulemavu ndo kanifunza kutomjibu anayenikosoa.
Asanteni nyote ambao mumekuwa mkiniombea.Mungu awabariki sana
@mrunguj9
Adventure-360 retweeted
Naomba Repost Yako 🙏❤
SAA ZA LONGBO AUTOMATIC YAANI HAZITUMII BETRI,HAZIINGII MAJI,HAZIPAUKI QUALITY NI NZURI MNO KULIKO PICHA🙌🏾🙌🏾
Tsh.75000
☎0752777167
📍Mwananyamala popote Tanzania nakutumia
Adventure-360 retweeted
Je, unajua unaweza kuripoti vitendo vya Ukatili wa Kijinsia?
Msikilize ASP Elizabeth Swai, Mkuu wa Dawati la Jinsia mkoa wa Iringa alipotoa ufafanuzi jukwaani #ElimikaWikiendi.
Fuatilia mjadala huu kwa kina YouTube tinyurl.com/3kxzn3s7
#ZuiaUkatili #MahusianoSalama #EndGBV
Simba tukutane Fainali
Mnyama ndani ya Kundi C la Ligi ya Mabingwa Afrika. #TotalEnergiesCAFCL #NguvuMoja
Msipokuwa makin mnatolewa mapema sana
Droo imekamilika, Kundi letu limekamilika. Safari ya Ligi ya Mabingwa Afrika ianze🔰💪🏽
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
😅😅😅
Replying to @Adventure_36
Yanga nimetoka kuwaangalia ni kama wapo kwenye msiba baada ya haya makundi kutangazwa


































