AziiL Azizy retweeted
Katika Sheria za dini ya Kiislam hairusiwi kuwaoa dada wawili pamoja. Kisheria si ruksa.
Nenda katika surat Nnisai kaipitie utaona UHARAMU huo.
Lakini,utaruhusiwa kumuoa dada ya mkeo au ndogo ake endapo mkeo atafariki na ukapendezwa na familia yao au kwa maslahi ya watoto walioachwa na mkeo. Maana kama utamuoa atawapenda wale watoto tofauti na kuleta mke mwingine kuja kuwalea.
Ombi la mkeo ni kinyume na Sheria maana Mtume(s.a.w) anasema "Amelaaniwa mwanaume anayechanganya maji ya uzazi kwa ndugu wawili". Hapo inamaana hakuna ruhusa ya kuwaoa kwa wakati mmoja,lakini Qur'an imebainisha wazi kuwa ni haramu kuwaoa dada wawili pamoja.Labda kama ulimwacha kisheria au amefariki hapo inaruhusiwa kumuoa dada yake.
USHAURI
Kama mazingira ya huyo dada yake hayapo vizuri na wewe umejaaliwa wasaa wa rizki na pakulala,basi unaweza kumlea tu Hadi atakapopata wa kumuoa tena.Hilo kuliifanya ni swadaqa kwako na Allah atakulipa. Lkn usije shawishika ukazini naye,hapo utajichumia madhambi makubwa
AziiL Azizy retweeted
4 Days Left!
Only 4 days remain to apply for the PEPFAR HIV Best Practices Awards. Showcase your innovative work in HIV prevention. Apply today!
forms.gle/Kp5jj2DWbHjmyREB7
#THS2024 #PEPFARAwards – at Dodoma, Tanzania
AziiL Azizy retweeted
Apply now through the link and Join us in the THS 2024, to honor the champions.
#THS #THS2024 #Tanzaniahealthsummit #ths #THS
AziiL Azizy retweeted
umeme umefanya utetezi wangu kwa jinsi serikali inavoshughulikia kero za wananchi usimame..20 years na bado kuna mgao,hawa watu wana ubongo?
Do you remember when you joined Twitter? I do! #MyTwitterAnniversary
Azam Tv: Ndugu Mtazamaji Tunaomba radhi kwa kusimama kwa Mchezo kutokana na tatizo la Taa uwanjani
Meneja wa Uwanja;
AziiL Azizy retweeted
Tafadhali RETWEET
Paris 4thKit
Bei; 27,000
Size; S,M,L,XL,2XL
📍; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor)
☎️ ; 0715950110
🛵; Delivery Tunafanya
AziiL Azizy retweeted
For The GREATEST OF ALL THE TIME @45MinStore
MESSI 10 🙌🏽
Jezi = 27,000
Kila Herufi = 1,000
Kila Namba = 3,000
AziiL Azizy retweeted
Senegal For Africans 🙌🏽
Jezi Zinapatikana Kwa 27,000
Size; S,M,L,XL,2XL
Location; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor)
Call/WhatsApp; 0715950110
Delivery Tunafanya
AziiL Azizy retweeted
"Mikakati yote haiwezekani bila kuishirikisha jamii lazima tushirikiane na wadau wote kuhakikisha mpango mkakati wa kutokomeza ukatili unatekelezwa kwa vitendo Nchini." Amoni Mpanju - Naibu Katibu Mkuu @maendeleoyajami.
@WiLDAFTz
#PingaUkatiliOkoaMaisha #16DaysOfActivism
AziiL Azizy retweeted
Bi. @AnnaKulayaMkurugenzi mtendaji wa @WiLDAFTz akitoa historia ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga Ukatili, ambayo inaadhimishwa leo Duniani kote.
#PingaUkatiliOkoaMaisha
#16DaysOfActivism
AziiL Azizy retweeted
Replying to @CarolNdosi @LPDigitalTZ
Sautika Nasi #SautikaNasi
Sautika kidigitali #SautikaKidigitali
Sautika sasa #SautikaSasa
Pepea kidigitali #PepeaKidigitali































