Stesheni ya mpwani, na wapwani...Usingoje kusifiwa, tegea nuru ya roho kwa habari, burudani na miziki ya kiasili. Msa 90.4 Mld 106.0

Joined July 2012
Thank you to all our viewers, listeners, clients and partners for trusting us and choosing us every day. Happy Customer Service Week! 💚 #CustomerServiceWeek2026
2
101
Katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Oktoba 28, 2026, Talam amesema ujumbe huo utarushwa moja kwa moja kupitia mitandao rasmi ya kijamii ya Rais Ruto.
29
Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amependekeza idara ya utabiri wa hali ya hewa kuwekeza kwenye vifaa vya kisasa kufanya utabiri sahihi, akisema maswali mengi ya wakenya kuhusu uwezekano wa kufeli kwa mvua za El-Nino, huenda ukahujumu uaminifu wa umma.
20
Mahakama imeelezwa kuwa laini ya Safaricom iliyosajiliwa kwa jina la Kalume Kitsao Rimba, mfungwa anayetumikia kifungo cha miaka 50 katika Gereza la Shimo la Tewa, ilitumika kwenye simu inayohusishwa na Mackenzie.
24
Akizungumza kwenye Kongamano la Biashara kati ya Kenya na Urusi jijini Moscow, Rais Ruto amesema Kenya inahitaji mitaji na teknolojia mpya ili kukuza viwanda na kuongeza nafasi za ajira. #wimbilabahari
26
Jaji mkuu Martha Koome amewasili Mombasa kwa kikao maalumu kujadili matayarisho ya uchaguzi 2027. #wimbilabahari
1
53
Katika ombi hilo wanahaarakati wansema kuna hofu ya Mwaipaya kuhamishwa kwa lazima hadi Tanzania na kukabiliwa na ukiukaji wa haki za binadamu. #wimbilabahari
1
19
Wastaafu hao wanadai fedha zao zilielekezwa kwa serikali ya Tanzania baada ya kuvunjika kwa EAC. #wimbilabahari
23
Pia amesisitiza ODM bado ni chama imara na kitawania nyadhifa zote nchini. #wimbilabahari
27
Hata hivyo, amesema anaendelea kutekeleza majukumu yake na chama atakachotumia kitatajwa baadaye. #wimbilabahari
19
Godhana amesema anazindua muungano wa kisiasa hivi karibuni ili kufafanua zaidi mipango yake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. #wimbilabahari
19
Ametolea mfano ajali ya eneo la Salama iliyosababisha vifo vya watu 17, akisema hata baada ya tukio hilo, taasisi mbalimbali zilianza kulaumiana kuhusu wajibu wao badala ya kuweka mikakati ya kuzuia ajali nyingine.
58
Shirika la Intersex Rights Initiative Coast – Kenya (IRIC), limetoa wito kwa jamii ya Pwani kuongeza uelewa kuhusu watoto wanaozaliwa na maumbile tofauti maarufu kama huntha, ili kukabiliana na unyanyapaa, ubaguzi na kufichwa kwa watoto hao ndani ya familia.
26
Wakaazi hao ambao wamekua wakitegemea kilimo kama kitega uchumi, wameitaka serikali, kampuni na mashirika mbali mbali kujitokeza na kupeana msaada wa chakula katika kipindi hiki kigumu.
35
Siasa za Upinzani
20
Jee usawa ni sawa? Usikose kufuatialia Kudzacha alfajiri maajaliwa
22
Mradi huo unalenga kuhifadhi urithi wa Waswahili na kuimarisha juhudi za uhifadhi wa historia na utamaduni wa Kenya. #wimbilabahari
31
Familia zimeanza kusafirisha miili kwenda Mombasa kwa maandalizi ya mazishi. #wimbilabahari
28
Mwanaharakati Francis Awino, aliwasilisha kesi mahakamni akidai muda wa Nahodha Ruto wa miaka mitatu, ulioanza Machi 10, 2023, ulimalizika Machi 9, 2026. #wimbilabahari
22
Mkurugenzi mkuu wa Afya, Dkt. Patrick Amoth, amesema wengine 98 walio chini ya uangalizi wanatarajiwa kuruhusiwa kwa awamu nne kuanzia Novemba 3. #wimbilabahari
27
Zaidi ya wanafunzi milioni 2 wanafanya mitihani hiyo kote nchini. #wimbilabahari
30