
#Born_In_Kilwa, Football fan Of @simbaScTanzania// @mancity // @FCBarcelona. Imraan's father π€ Entrepreneur, critical & creative thinker π§ sina hela π°π«°
Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2023
- Tweets2.8K
- Following7.4K
- Followers4.1K
- Likes87.1K
humu ndani nikiwaletea huu ujasiriamali wangu kutoka bahari ya Kilwa nitapata wateja kweli ...?!π
πhapo bado hazijakauka vizuri
Hakika mutaendelea kuishi katika mioyo yetu.
hii dhambi itaendelea kuhukumu kila mtu aliyehusika nayo.
R.I.P Champions πποΈ
πππππππ ππ£ retweeted
Mungu aliyenipa moyo wa Kushukuru ndiye atakayeNinua zaidi. Ni baraka kubwa kukumbuka wale walionisimamia Nilipoanguka, na ni baraka kubwa kwao. Mungu alie nipa ulemavu ndo kanifunza kutomjibu anayenikosoa.
Asanteni nyote ambao mumekuwa mkiniombea.Mungu awabariki sana
@mrunguj9
Huyu mzee nimepishana nae hapa Mtwara border ya Msumbiji, kumbe anarudi kwao kwa Bus.
Aisee Yanga Kiboko π
wakuu hivi huwa munajitetea vipi pale wife amekuta chupi room ambayo si yake ..??! π β at Tanzania
Manager: Alenoo..??
Mimi: safi tu simanya uwee..??
Maneger: kesho anza kazi ofisini
wadigo ππ β at Tanzania
tunajua agenda ya El-NinΓ΅ ikifeli watarudi kwenye agenda ya kuwashukuru viongozi wa dini kwa kuliombea taifa.
Maamaeπ β at Tanzania
kuku wangu kila akitotoa vifaranga viwili au kimoja lazima shingo iwe imepinda.
shida itakuwa nini apo X wafugaji..??! β at Tanzania
timu imeweka kambi kwa madiba wiki mbili alafu utegemee tufungwe na timu kutoka kigamboni maeneo ya kimbiji huko ππ β at Tanzania
kumbe mnaweza kukutana kimwili, mkagusanisha hadi sahemu za siri ila msifanye mapenzi π€π₯Ί β at Tanzania
Uzuri mwanetu anatuandalia mazingira ya timu ambazo BarcΓ‘ watakuja kujipigia kiulaini hapo baadae.
soon tutaanza kusikia kelele za akina Madrista kuwa Messi anaaharibu Ligi π β at Tanzania
π¨ BREAKING: Lionel Messi becomes new owner of La Liga 2 side CD Eldense. πͺπΈ
Messi buys 100% of the clubβs currently established in La Liga 2 in Spain β follows the investment made in Catalunya side UD CornellΓ‘.
π₯β youtu.be/9TvX9CU2OME?si=Z3k6β¦
πππππππ ππ£ retweeted
Muda wa kukimbiza makatuni mbabe yoyote alete code tuzinese





























