KAMO 🇹🇿 retweeted
Rasmi timu ya Bayern Munich imetangaza kuwa itaenda jijini Nairobi Kenya mwezi January 2027 na itacheza na Ajax ya Uholanzi tarehe 05 ya mwezi huo, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa uwanja wa taifa wa Kenya uliopo Talanta City. Majirani wamekaa kimkakati sana kuelekea hii AFCON.
KAMO 🇹🇿 retweeted
Ulifanya watu waamini kuwa kila ndoto Ina maana na inaweza kutimia, haijalishi umezaliwa wapi au umekulia wapi. Uliwafanya mamilioni wapende football na waamini kwamba, kwenye juhudi na kufanya kazi kwa kujituma kuna mafanikio. Respect CR7, hakuna kombe lolote lenye thamani yako
KAMO 🇹🇿 retweeted
Hakusoma Nursery alianza darasa la kwanza moja kwa moja, O-level akachaguliwa Kibaha, yeye akaenda Maua Seminary akawa TO. A-level akaenda Pugu akawa TO. UDSM pia akawa Best Student. Martin Chegere ana miaka 39 anafundisha UDSM na amekuwa miongo mwa Maprofesa vijana wachache TZ.
KAMO 🇹🇿 retweeted
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍
👉Bei 27,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0714336827
👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
KAMO 🇹🇿 retweeted
Saturday & Sunday 🥱
Top 40 ⚽️🔥
✅1. 🇬🇧 Arsenal - Over 0.5
✅2. 🇪🇸 Barcelona - Over 0.5
✅3. 🇩🇪 Bayern Munich - Over 0.5
✅4. 🇫🇷 PSG - Over 0.5
✅5. 🇮🇹 Atalanta - Over 0.5
✅6. 🇫🇷 Monaco - Over 0.5
✅7. 🇳🇱 PSV - Over 0.5
✅8. 🇵🇹 Porto - Over 0.5
✅9. 🇹🇷 Galatasaray - Over 0.5
✅10. 🇭🇷 Dinamo Zagreb - Over 0.5
✅11. 🇬🇧 Aston Villa - Over 0.5
✅12. 🇪🇸 Real Madrid - Over 0.5
✅13. 🇩🇪 BVB - Over 0.5
✅14. 🇩🇪 Freiburg - Over 0.5
✅15. 🇮🇹 Inter Milano - Over 0.5
✅16. 🇮🇹 Juventus - Over 0.5
✅17. 🇳🇱 Feyenoord - Over 0.5
✅18. 🇵🇹 Braga - Over 0.5
✅19. 🏴 Celtic - Over 0.5
✅20. 🇨🇳 Shanghai SIPG - Over 0.5
✅21. 🇬🇧 Lincoln City - Over 0.5
✅22. 🇧🇾 Neman Grodno - Over 0.5
✅23. 🇳🇱 Nijmegen - Over 0.5
✅24. 🇪🇪 Levadia Tallinn - Over 0.5
✅25. 🇭🇺 Gyori ETO FC - Over 0.5
✅26. 🇷🇴 Transivest - Over 0.5
✅27. 🇷🇴 Otelul Galati - Over 0.5
✅28. 🇷🇸 Partizan - Over 0.5
✅29. 🇰🇿 Astana - Over 0.5
✅30. 🇱🇻 Riga FC - Over 0.5
✅31. 🇵🇾 Libertad - Over 0.5
✅32. 🇸🇪 Sirius IK - Over 0.5
✅33. 🇱🇻 Rigas Futbola Skola - Over 0.5
✅34. 🇧🇷 Palmeiras - Over 0.5
✅35. 🇩🇰 København - Over 0.5
✅36. 🇬🇷 Levadiakos - Over 0.5
✅37. 🇭🇺 Ferencvaros - Over 0.5
✅38. 🇸🇮 Olimpija Ljubljana - Over 0.5
✅39. 🇵🇹 Benfica - Over 0.5
✅40. 🇮🇹 Como - O.5
KAMO 🇹🇿 retweeted
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍
👉Bei 27,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0714336827
👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
KAMO 🇹🇿 retweeted
Ukipata Muda Tazama Movie (11) Za Kungalia Weekend Hii
Movie Kali Za Kijeshi Za Muda Wote (Thread 🧵 👇🏾)
KAMO 🇹🇿 retweeted
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi, Hili sio jambo dogo ni hatua kubwa sana kwa mtu aliyeanzia chini leo hii kamari inamketisha na wakuu wa wakuu.
All the best @Thereal_taivina



































