kijana mpole (@BesteNicolas) header
kijana mpole (@BesteNicolas) profile picture

NOTHING SERIOUS HERE✍

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2023
Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)Photo by kijana mpole (@BesteNicolas)
kijana mpole retweeted
X wajuaji ,eti mwanaume akikwambia take care maana yake ni nini ?😂😂😂Kuna vitu sielewi aisee
95
78
22
315
19,786
kijana mpole retweeted
Hivi humu hamnaga wanawake weupe kila siku weusi tu kama tuko motoni? Inakata sana ✍️✍️✍️ Though wewe ni vitu vyangu🫴🤝✍️
MONDAY🤌🏾 Another day to PROSPER
42
21
6
134
9,351
Kuku mmoja unanunuliwa kwa6500: - Vipande viwili × 5,000 = Tsh 10,000 - Firigisi = Tsh 1,000 - Miguu = Tsh 1,000 - Kichwa = Tsh 1,000 Jumla = Tsh 13,000. Kuku mmoja 6,500! Sasa tuseme anauza kuku 10 kwa siku: 6,500 × 10 = Tsh 65,000 - Kwa mwezi: 65,000 × 30 = Tsh 1,950,000 😎😎😎
3
8
26
1,638
Kuna hawa wanaume wafupi nyinyi acheni tu🙌
48
31
3
162
8,698
kijana mpole retweeted
IFIKE hatua mliooa na mnakaa nyumba za kupanga zilizojaa masela single muwe makini. Unaruhusu vipi mkeo awe na utani na masela (wapangaji) tena ambao hawajaoa na wapo huru sana kumtania, kufurahi nae kuchekeana mbaya zaidi wanamletea chakula kabisa awapikie. Au hamuogopi?.
49
63
2
203
9,928
Ushetani unaopangwa na wauwaji juu ya Lissu na Chadema……
91
372
8
2,162
129,618
WATANZANIA, tusikubali AFCON ikawapa ushindi wauwaji wa OCTOBER 29. TUHAKIKISHE afcon inaonyesha dunia kilichotokea Tanzania OCTOBER 29 2025…. NA KWAMBA TUNAJITAJI MSAADA WAO………
52
334
4
1,904
69,195
Watanzania, JOHARI asie na degree ya sheria alikuwa serious kuhusu mimi kurudishwa TZ.
102
293
7
2,373
191,251
#TajiriLaKihaya Nimjinga tu atakae furahia Timu yake ya TAIFA … ikipigwa! Nigeria na Kenya Hawaipendi serikali yao… ila hio Haiwazuiii kuipenda Timu yao ya Taifa… Na huo ndio UZALENDO wa kweli… TAIFA STARS inabidi tuishangilie kwa Wivu mkubwa saaana💯
198
54
15
502
27,697
kijana mpole retweeted
English is the official language of the United States.
10,888
13,505
2,871
149,149
9,312,086
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya……. Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
127
475
10
2,659
201,032
Kimenukaaaaaaaaa…… Naingia kulala, nikiamka napeleka watoto shule alafu nawashushia video saa 3 usiku muda wa TZ….. Issue ni dipu kuliko…..:::
132
381
20
3,025
219,833
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa. Namshukuru Mungu wangu. Kila hatua DUA. 🙏🏾
127
129
12
1,541
41,918
#TajiriLaKihaya VIJANA OENI … Maisha ya ndoa matamu saana- Ukioa Rafiki yako tena mkiwa bado wadogo mnajitafuta wote! Growing together increases Love 💯 na Hamzeeki kabisaa🙌🏽
67
58
5
575
18,462
kijana mpole retweeted
Twitter ya 2021- 2024 alooh ilkuwa yamoto 😹😹
36
28
7
215
11,096
kijana mpole retweeted
Hamna dhehebu lenye wanawake wasenge na wapumbavu kama hili la WASABATO. 🤝
111
50
9
471
46,467
kijana mpole retweeted
My number 1 .. my sweety sweety 🇹🇿🇳🇬 – at Dar es Salaam, Tanzania
2,065
3,775
215
37,659
1,466,264
Outfit 2 🔥🔥
Holiday mode: ON. 🤭🥂🥂
48
35
15
207
19,286
Watanzania, Tumlinde @HecheJohn kwa wivu mkubwa dhidi ya wasaliti na machawa. Tusikubali Heche akawa demoralized. Lissu mara kadhaa kamwambia Heche hadharani “peleka moto”. Sasa ni kazi yetu sisi Watanzania kuhakikisha Heche harudi nyuma na wala hakati tamaa. Nguvu ya umma pekee ndio itakayo wawezesha Heche na Lissu kutushindia hii vita…..
33
390
8
2,177
82,288
kijana mpole retweeted
Jamaa kashika simu ya mke, amekuta anawasiliana na wanaume wanne na wote wanaichapa. Alichomuuliza, kwanini unafanya haya, mwanamke alichojibu. Huwa unajifanya unaenda kazini kumbe unakuwa kwa wanawake wako, halafu mwanamke kavu hajali. Hilo kabila la Kondoa lisikie tu 😅.
31
47
3
271
24,701