Pinned Tweet
Labda ihairishwe Ila HUKUMU mnayosambaza mtandaoni si yenyewe tutaambiana na Kesho ndo ntaibuka mshindi baada ya Lissu kushinda! Kesi haiko mnavyodhani, acheni kuwapa mawazo majaji kwamba ooo Kumbe hata tukimfunga wameshaandaana kisaikolojia
Kesho tupo na ntaretweet
Britanicca retweeted
Replying to @kVant1234
Britanicca retweeted
If President Barack Obama wants me to allow marriage for same-sex couples in my country (Zimbabwe), he must come here so that I marry him first. - Robert Mugabe was a savage π
Sitakoment kitu hapa Maana nikisema watasema nami nilikuwa miongoni mwa waliopanga Ila hii safari ange airisha! Nina Maana yangu na baada ya masaa 72 naweza eleweka
Tutajadili zaidi sehemu
t.me/+IWoJjY6nA203OTE1
Pia ππ½ππ½ππ½ππ½π₯²
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 18, 2026, anaondoka nchini kuelekea Uganda kwa ziara ya Kitaifa ya siku mbili, kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo, Yoweri Kaguta Museveni.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu, akiwa nchini Uganda, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake, Rais Museveni, yatakayojikita katika kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa Nchi hizo mbili kwenye Sekta za Nishati, Kilimo, Viwanda, Biashara na Fedha.
Aidha, Viongozi hao wawili wanatarajiwa kutembelea na kuzindua kiwanda cha kuunganisha magari cha Double Q Automotive Assembly Plant, kilichopo Wilaya ya Mpigi nchini Uganda, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo ya Viwanda.
Ziara hiyo inalenga kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya Tanzania na Uganda, pamoja na kupanua fursa za uwekezaji na biashara kwa manufaa ya Wananchi wa Mataifa yote mawili.
#MillardAyoUPDATES
Huyu porn star naye kila siku kujianika
3
327
Britanicca retweeted
Ronaldinho still remains the best thing that ever happened to the game of football.
Britanicca retweeted
Maxence Melo atunukiwa tuzo ya kimataifa ya haki za binadamu
bbc.in/3V1i6qO
Inakubali bwana
t.me/+IWoJjY6nA203OTE1
Codes Zote zipo huko hakifichiki kitu
1
460
Britanicca retweeted
Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Marjo Crompvoets amesema Tuzo hiyo ya Haki za Binadamu ya Ubalozi wa Uholanzi (Netherlands Human Rights Embassy Tulip Award) inalenga uhuru wa kujieleza na Uhuru wa Intaneti, Uhuru wa Dini na Imani, Watetezi wa Haki za Binadamu na nafasi ya Kiraia, kukabiliana na haki sawa kwa Wanawake na Wasichana.
Ameongeza kuwa, Maxence ameingia katika orodha fupi ya washiriki watano bora wa fainali ya Tuzo Kuu ya Haki za Binadamu ya Tulip kati ya Wagombea 26 Duniani kote. Sherehe ya utoaji wa tuzo kuu itafanyika Desemba 17, 2026, Jijini The Hague, Uholanzi.
Zaidi jamii.app/TulipAward2026
#JamiiForums #FreedomOfExpression #CivilRights #HumanRights #Accountability
Hizi nchi za Afrika ni wajinga Sana
Kiongozi wa upinzani wa Msumbiji akabiliwa na kesi ya kuchochea maandamano baada ya uchaguzi
bbc.in/4zMjj4B
Hakuna siku mtamuona mwaipaya akiwa hai! Nina uhakika na kuna simu muhimu nimepokea sehemu inasikitisha!
Tujifunze kuwa tunajilinda zaidi, niliwaambia kuhusu mdude, nikasema kuhusu Polepole , tunaishia free free free !! Hawa watu wakishakutia mkononi Wanamalizana nawe
Haha Kristofa bwana haha
Replying to @FIFAWorldCup @10Ronaldinho
I can't believe Ronaldinho is just 5 years older than Ronaldo
1
2
620
Britanicca retweeted
A star in the #U17WC, still playing nearly 30 years later! π²π§π·
@10Ronaldinho
Waandishi wa Habari wako wapi? Mtu anajifungia chooni na kujirekodi unasema waandishi wa habari haha
3
4
1,511
Britanicca retweeted
Overstaying is not a crime ! Especially for one day ! These pundits have been trying to harass people!! Let East African people be free in the region!
A Kenyan has exposed alleged mistreatment of Kenyans at Tanzania's main immigration office in Posta, Dar es Salaam.
He claims that foreigners are being detained, beaten and subjected to abuse. He deliberately overstayed his visa by just one day to experience the process firsthand and secretly recorded what allegedly happens behind closed doors.
If these allegations are true, this is deeply concerning. Is this how fellow East Africans should be treated?
Britanicca retweeted
I swear I will run after you, catch you and then beat you up. Hate familiarity ππππ

































