Wadau walioweza kushiriki katika kikao cha kwanza cha members wa coalition instagram.com/p/CasTtbAgGhy/…
Ndugu Mike toka @sahringontz "kunahaja ya kuwekeza nguvu na utendaji zaidi kuboresha zaidi na kuwafikia wengi zaidi"
@jmkfhq @sostanzania @actionforchange_ instagram.com/p/CWatOHJD3xe/…
Afsa maendeleo ya Jamii wilaya ya kibiti @kibitidc akitoa wito wa mashirika kufika wilayani hapo kuwekeza katika kutoa elimu jamii.
@jmkfhq @sostanzania instagram.com/p/CWasqTJDTbu/…
Ndugu Henry Kazula mkurugenzi toka @jielimishekwanza "Hii ni fursa kwa wote, tutumie fursa na nafasi zilizopo bila kujiweka nyuma na kuogopa uchanga wa taasisi"
@afrigirlsinitiative @jmkfhq @juliethsewava @sostanzania instagram.com/p/CWaeMWQD5Cy/…
Asante sana @dottanzania
Reposted from @dottanzania #dotyouth Kibiti mmeitendea haki 💃🏾🕺💃🏾🕺🔥🔥🔥💚
Shukran @tzcoalition_againstchildlabour 🙌🏾 instagram.com/p/CU-orIQDKhm/…
Binti Fahari toka @fahari_tuamke_maendeleo akizungumza machache mbele ya mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani yaliyofanyika wilayani kibiti instagram.com/p/CU608xbDcS8/…
Vijana wa hamasa kibiti nao hawakuwa nyuma kushiriki kilele cha maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani.
#kizazichetukizazichakidigitali #IDGC2021
#kizazichetukizazichakidigitali instagram.com/p/CU6xMRIDiof/…

