Mdude ccm (@CcmMdude) profile picture

active politician. penda chama cha mapinduzi.CCm

Joined September 2018
Photo by Mdude ccm (@CcmMdude)Photo by Mdude ccm (@CcmMdude)Photo by Mdude ccm (@CcmMdude)Photo by Mdude ccm (@CcmMdude)Photo by Mdude ccm (@CcmMdude)
"Siwezi kusaliti wananchi walionipa heshima" Yajayo yanafurahisha tuone kama @chadematz hawatapeleka wabunge wa viti maalimu Bungeni. @ACTwazalendo pelekeni barua kwa viongozi kususia uchaguzi sio kuhadaa watu twitani
14
27
7
89
Shukrani wapiga kura wa Mkoa wa Mwanza, Iringa, Kilimanjaro na Manyara kwa kuchagua Chama cha Mapinduzi #CCM katika ngazi ya Urais, Ubunge na Udiwani. #TumetekelezaKwaKishindo #TusongeMbelePamoja #KaziZiendelee #KidumuChamaChaMapinduzi
126
46
7
338
Happy birthday our beloved prez @MagufuliJP . uishi miaka Mingi Baba
“Mimi John Pombe Joseph Magufuli mgombea wa nafasi Uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa heshima na unyenyekevu mkubwa ninaomba kura ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28 Oktoba 2020.” - Raisi Magufuli
25
14
2
83
"Katika hizi siku tatu zilizobaki, tutaendelea na kampeni zetu kama kawaida, tunaanza safari ya kuelekea Ruvuma, kesho tutaendelea Dodoma na Singida na baadaye Kilimanjaro na Tanga kabla ya kufunga kampeni zetu Dar es Salaam"- @TunduALissu #LissuPress #OktobaTutawezana
28
81
2
1,210
Have you listened to the tape that demonstrates the corruption of NEC and fear of the pussycat President. These folks just fear an open and fair election! The tape will be used in our submission on sanctions!
164
270
21
2,086
Mwalimu Nyerere alisema dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu, ukianza hauwezi kuacha. Ndugu Steven Wassira ametukumbusha hili jana. Uongozi ni zaidi ya alikozaliwa mtu, tumkatae anayetaka kutugawa kwa kigezo cha wapi tumezaliwa.
93
33
11
201
Create more assets than liabilities.
126
288
29
3,643
Wakazi wa Ubungo Msewe, Karibuni Golani kwenye Mkutano.
6
6
57
Before pointing fingers on Magufuli and CCM, curve it back to your agents for killing innocent citizens in the southern highlands. FYI your well known motive to instigate violence will never succeed.
In the lead up to elections later this month in #Tanzania, there have already been attacks on opposition & civic voices, restrictions on the media, & limitations on the freedoms of citizens. There must be a transparent, free, fair, & peaceful process moving forward. #Uchaguzi
18
38
4
139
“Wanataka wafanye kama walivyofanya Wakoloni, lakini huenda hivyo ndivyo walivyoelekezwa Kutugawa vipande vipande ili iwe rahisi kututawala na kuzisomba rasilimali zetu. Kataeni mipango yao.” - Raisi Magufuli
5
8
2
19
Good people also make mistakes.
143
182
14
3,011
"Mgombea wa urais kutoka @ChademaTz hajaadhibiwa na @TumeUchaguziTZ bali ameadhibiwa na wenzake kutoka vyama vyote 15"- Emmanuel Kawishe Katibu wa Kamati ya Maadili ya Kitaifa. #KatibuKamatiMaadili #OktobaTutawezana
52
23
8
331
Tanzania inaongoza kwa bei nafuu ya umeme kwa kaya Afrika Mashariki. Inauza unit1 kwa dola senti10, Uganda dola senti18, Kenya dola senti21 na Rwanda dola senti26.( Global PetrolPrices.com- March2020).Eti ni maendeleo ya vitu☝️! NI-JPM, 5TENA, KAZI IENDELEE!!
145
88
21
553