
CEO #Chef'Gexperince/gtikaClothingLine # Facebook George Julius Twitter @gtikauchebe WhatsApp 0765889178/ 0758336469 #I'm ChefByProfessional
Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2016
- Tweets59.1K
- Following951
- Followers6.4K
- Likes14.3K
Pinned Tweet
The big thing i can tell the world i LOVE my Mom + my Lovely Aunt/ my mental/Mwalimu wangu kwenye maswala ya jikoni Mungu awalinde na kuwapa maisha marefu na yenye furaha tele ili waendelee kula matunda yao.. Amen!🙏🏿🙏🏿
Chef G retweeted
Yuzzo ana album mbili na mixtape mbili:
Albums
-Street Wisdom Vol 1 (2008)
-Street wisdom Vol 2 (2021)
Mixtape:
-Nawalisha Harakati (2024)
-Ni kwa jamii (2026)
Wakati unachimba elimu kumsikiliza Brother Yuzzo,shushia Full Ile Baraka popote pale upo.
#WatengwaWtc #Watengwa
Chef G retweeted
Lomayani Lotuno, ChindoMan,Umbwa Mzee,James Bond. Majina yote haya yake, Frontline Member wa WTC logo. Rapper,Engineer,Beat maker,Producer wetu pale Utengwani.
Ukiachana na project za Watengwa,Umbwa ana album zake nyingi kama:
Chef G retweeted
Full Ile Baraka album now available worldwide!!
Sikiliza album katika Kila digital streaming platform na endelea kumtembelea @jcbwatengwa
Pale #WatengwaGear Kupata Chara lako.
Piga simu +255 714 003 337 kuweka oda na utatumiwa popote pale ulipo duniani
#WatengwaWtc #WatengwaGear
Subiri kwanza kuna ishu tuongee ndo uweke kiBird mwanangu 😃
Mida ya @ChefGBongo hii kusumbua watu nae late night calls baada ya Safari kumpanda kichwani….ngoja niweke kindege!!!!😎
Chef G retweeted
Full Ile Baraka album now available worldwide!!
Sikiliza album katika Kila digital streaming platform.
Fanya unachopenda na penda unachofanya.
#WatengwaWtc #WatengwaGear
Chef G retweeted
Msitutanie, tumesha change plan Kama mnabisha chill and watch.
HATUOGOPI na tulichoanza tutakimaliza at any cost. I’m still Tanganyikan Mwenye uchungu na nchi Yangu na Hakuna kitakachonitisha as I know,
Free TWAHA MWAIPAYA, FREE LISSU
Kudos rasta
Matriculated into the @UniofOxford to read for a Doctor of Philosophy in Law.🙏🏽
Chef G retweeted
DREAMS ft FID Q,, hii Ngoma mjadala ulianzia hapa enzi za Twitter ,, Kwa sasa Deni tushalikamilisha!! Ahsanteni ipo kwenye all Digital platforms!





























