Sports retweeted
Wakali zangu mkali Njiwa amefikisha Followers 200k na anatoa Zawadi ya Krismasi....Hakikisha umeifollow account ya @Njiwa_Store Kwa maunyama zaidi.
Retweet tupate chochote kitu hapa wakali.🙏🙏🙏🙏🥳🥂
💨 Noma sana nimefikisha followers 200,000 🙏
Leo tunatoa zawadi ya Xmas kwa quote au reply zitakayokuwa na retweet nyingi ziwe umeitag @Njiwa_Store
Washindi watano
1: Samsung A06 64GB
2: Redmi Watch 5 Active
3: Redmi buds 6 play
4: Redmi buds 6 play
5: Redmi buds 6 play
@grok utanitajia washindi baada ya masaa 48.
Sports retweeted
Hongera sana kaka.
Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi.
Haters na wanangu sana.
Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjue🤣
Hii naiombeni.
@Njiwa_Store
💨 Noma sana nimefikisha followers 200,000 🙏
Leo tunatoa zawadi ya Xmas kwa quote au reply zitakayokuwa na retweet nyingi ziwe umeitag @Njiwa_Store
Washindi watano
1: Samsung A06 64GB
2: Redmi Watch 5 Active
3: Redmi buds 6 play
4: Redmi buds 6 play
5: Redmi buds 6 play
@grok utanitajia washindi baada ya masaa 48.
Sports retweeted
You’re now starting to realize why the owner of the woman you stole didn’t fight for her…😂😂
Fungua comment tutoe rambirambi haraka we mmama!
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, wananchi wa Jimbo la Peramiho, familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Kwa miaka 38, Mheshimiwa Mhagama amekuwa mwanachama mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiongozi wa vijana, kiongozi wa wanawake, waziri katika awamu mbalimbali na mnasihi wa wengi katika siasa na maisha.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Amina.
1
2
363
Poverty ladies and gentlemen can move from stomach to head🤣🤣
That's when everyone else is supposed to be helping you otherwise they are evil.
A man has revealed the surprising reply he received from a woman after collecting her number at a restaurant and later texting her. The lady’s reaction stemmed from his failure to pay for her food during their initial meeting.
37
Sports retweeted
Wakuu, kuna hii Campsite vilima vya Morogoro, sehemu poa sana ya kutuliza akili.
Utulities zote muhimu zipo, 3 meals ipo kwenye charge ya siku.
Tunaitwa Uluguru camp tupo Instagram.
Contact: 0758636039 au [email protected]
Please rt
Oh ye of little faith, why do you doubt in your heart? If you believe you will see the hand God almighty.
Tanganyika will be delivered from the Jezebel
26
Happy Independence Day, Tanganyika!
We got our "freedom" on 9 Dec 1961… and now we get to enjoy it from inside our houses, guarded by armed forces.
Nothing says “freedom” like being told not to go outside😁
Kheri ya Miaka 64 ya Uhuru wa nchi yetu.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa hatua hii kubwa. Tunapoadhimisha siku hii muhimu, tukumbushane umuhimu wa kuendelea kulinda tunu za Taifa letu za amani, umoja na mshikamano. Tunu hizi ndizo msingi wa mafanikio ya safari yetu ambayo ni mfano wa kipekee Afrika na dunia kwa ujumla.
Matunda ya Uhuru wetu yanaendelea kudhihirika katika uwezo wetu wa kuamua, kupanga na kutekeleza mipango yenye manufaa kwa wananchi na yenye kulinda maslahi ya Taifa letu. Haya ndiyo matunda ambayo waasisi wa Taifa letu waliyapigania na ambayo daima tutayalinda.
Tuufurahie, tujivunie, tuulinde na tuuthamini Uhuru wetu.
Mungu Ibariki Tanzania.
1
93
Sports retweeted
Kabla hujachukua kandarasi ya kumsafisha muuwaji Samia, fahamu wanaoitwa ‘wahariri waandamizi’ wameangukia pua. Tuko era mpya kabisa, na haturudi Misri.
Women😀
NEW: 34-year-old woman is demanding compensation from her ex-boyfriend, 38, for stealing her "childbearing years."
The woman says she put her career on hold, thinking they would have kids and start a family, just to get dumped.
The woman says her ex-boyfriend should be financially responsible for IVF or egg freezing.
"He tells me he feels, at 38, as though he still has a decade of enjoying his lifestyle and powering through with his career and is not ready for marriage and children, but he knows it has become a priority for me, so he is off," she said in the Telegraph.
"Here I am at 34, eggs twitching, ready for the marriage and parenthood stage of life, but unexpectedly single and emotionally devastated."
"I am tipping into the furious phase of the grief cycle because I feel as though he owes me big time and I want him to pay."
"Now I feel like these compromises have left me vulnerable, and I am seeking compensation."
"Surely he should have some responsibility for helping me mitigate the damage to our plans caused by his change of heart and broken promises?"
Video: Fox 5 Atlanta
51



























