Cruz Scope (@CruzScope) profile picture

Liverpool fun

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2018
Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)Photo by Cruz Scope (@CruzScope)
MAANDAMANO DIASPORA KUPINGA UKATILI UNAOENDELEA TANZANIA ✅FRIDAY May 23, 2025 IMF Offices in Washington, DC Addresses and Time will follow. 📌TUNA WIKI TATU ZA KUJIANDAA. SASA WALE WENYE VISINGIZIO KILA MAANDAMANO TUSIWASIKIE TENA WAKIPIGA KELELE CLUBHOUSE NA TWITTER SPACES📌
86
364
14
1,007
39,849
Cruz Scope retweeted
Wakati TANZANIA ipo gizani, watu wanapigwa RISASI OVYO OVYO, wakenya ndio waligeuka mabalozi wa TANZANIA kuiambia dunia nini kinaendelea GIZANI. Leo ni mwaka mmoja umepita, wakenya hawajawasahau watanzania, leo nao wanaungana nchi nzima kuomboleza mauwaji ya #MO29. Asanteni majirani , wema mliotufanyia watanzania wakati wa mateso makali hatutausahau. Mmeendelea kuwa MAJIRANI wema sana kwetu. #Mo29 #hatutasahauMo29 Repost 200
7
132
1
341
4,535
🇹🇿 Diaspora in Germany held its vigil and remembrance of #TanzaniaMassacre yesterday Asanteni sana wanadiaspora wa Ujerumani @eve_shayo @Nuruvazi01 ✊🏽❤️ #Hatutasahau #MO29 #SamiaMustGo
4
60
1
180
3,035
Dainess mdogo wangu walikupiga risasi tabata na mwili wako haukuonekana tukafanya ibada ya picha kanisani 😞 baadae mwili ukapatikana kitunda ukiwa umeharibika sana na kubadilika Ni mwaka sasa tunakukumbuka sana ni ngumu kusamehe na kusahau 🙏🏻
34
234
4
702
8,000
Leo ni mwaka mmoja toka Watanzania zaidi ya elfu 10 wauawe kinyama na serikali haram ya CCM chini ya Samia Suluhu Hotuba ya dada wa taifa…….
32
272
3
1,062
15,460
Cruz Scope retweeted
ukiona post hi REPOST 😭 leo ni siku ngumu sana kila mtu afanye ibada kwa imani yake tuwaombe ndugu zetu walio poteza maisha siku kama ya leo ilikuwa huzuni na majonzi 😭😭😭
3
50
76
3,303
Cruz Scope retweeted
Waliopoteza maisha walikuwa watoto wa watu, wazazi wa watu, na matumaini ya familia zao. Kuona viongozi wakiongea bila hata dalili ya kujuta ni kielelezo cha ukosefu wa utu.
4
139
371
3,085
Kweli Mungu baba unaruhusu waliofanya hili wanaendesha ma Rolls Royce na bado wako madarakani??? Mungu tuone Watanzania. Tupe nguvu ya kupambana na hawa waliofanya hilo. Video ya kwanza, hao Ma Gen Z walikuwa wanacheza pool table , Samia akaenda kuwapiga risasi za vichwaZ
19
164
5
419
9,536
Cruz Scope retweeted
X Familia tunaendelea kukuombea Clara🙏❤️Pumzika kwa Amani.
Au leo sio tarh 29..!!? Au saa 12 asubuhi bado..!? 🌚
32
192
4
521
4,971
Cruz Scope retweeted
Hili ndio kanisa la kusali na kutoa sadaka ya KUJIMALIZA. Haya mahubiri huwezi kuyasikia akihubiri kibaka kama MWAMPOSA. Leo nchi nzima tunasali kuwaombea wapendwa wetu #Mo29 #TukutaneParokiani Repost 200
12
267
1,117
18,535
Cruz Scope retweeted
29/10 TO THE FALLEN HEROES 🕊️ Gone but never forgotten, Your sacrifice will forever live in our hearts. May your souls rest in eternal peace. We Remember. We Honour. We Will Never Forget. 🙏
11
181
369
2,848
Cruz Scope retweeted
Siku ngumu sana kwetu kama taifa. Chanzo kikuu cha maumivu yetu ni MASISIEMU. Waliombwa kuliunganisha TAIFA kwa Maridhiano kabla ya #Mo29 wakasema wao watatiki na hakutakuwa na "Nywi nywi wala nywi nywi nywi". Wananchi waliopotoka kudai HAKI zao za kupata UCHAGUZI HURU NA HAKI , vyombo vya ulinzi na usalama viliwapiga risasi za vichwa, viliwafuata majumbani na kuuwa vijana kwa maelfu. Walienda mpaka mahospitalini kuchukua majeruhi wote wenye majeraha ya risasi na kuenda kuwazika wakiwa hai kwenye makaburi ya HARAIKI. Mitandao ilizimwa, umeme ulizimwa, watanzania waliambiwa wakae ndani zaidi ya siku 5 zilikuwa ni risasi tuu ndio zinasikika kila kona ya mtaa. Leo tunatimiza mwaka mmoja wa matukio ya #MO29 hakuna UWAJIBIKAJI kwa waliohusika kuuwa watanzania zaidi ya elfu kumi. Tuliona vyombo vyote vya USALAMA vikiwa mitaani na bunduki kuuwa watanzania mpaka askari wa usalama barabarani waliingia mitaani kuuwa watanzania. Hakuna hata mmoja aliewajibishwa na zaidi wanapongezwa walifanya kazi nzuri sana kuuwa watanzania. Kinachouma zaidi ni familia nyingi mpaka leo hazijui walipo zikwa wapendwa wao, watu wametafuta watu wao kila mochwari bila mafanikio. Maiti nyingi zilizikwa kwenye makaburi ya haraiki, nyingine ziliharibiwa kwa kuchomwa moto kwenye viwanda. Unyama wote huu wahusika wakuu ni MASISIEMU. Poleni sana watanzania haya tuliyopitishwa #MO29 lazima tupate mwafaka. Maisha hayawezi kuendelea kama kaiwada tuu kama hakuna kilichotokea. Lazima damu zilizomwagika Tanzania zilete mabadiliko ya kweli kwenye taifa letu. #HatutasahauMO29 #Mo29 #MwakammojaWaMaombolezo
3
144
1
431
4,803
Washa mshumaa popote ulipo 🕯️ #TanzaniaMassacre Tuliweka ahadi kwa waliouwawa kikatili kuwa #Hatutasahau na tutadai Ukweli, HAKI na Uwajibikaji Damu yao haiwezi kumwagika bure #MO29 #WeShallNeverForget #NoJusticeNoPeace
5
79
268
3,008
Cruz Scope retweeted
October 29–a day that took so much from us! Cry, my beloved country 🇹🇿 💔😭
6
95
1
255
1,505
🚨✨ OFFICIAL: Ballon d’Or announce Cristiano Ronaldo 2008 has been voted as the BEST BALLON D’OR OF ALL TIME. 🌕
9,727
82,088
10,929
546,497
17,427,109
Droo imekamilika, Kundi letu limekamilika. Safari ya Ligi ya Mabingwa Afrika ianze🔰💪🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
68
61
23
814
23,151
WHERE IS TWAHA??? FREE TWAHA!! Watanzania tuna kila sababu ya kupambana ili kukomesha huu uongozi haram uliotuua kisha wakaiba uchaguzi siku ta October 29 2025….
8
247
1
895
15,537
“Vijana wa Maria” nawasalimu na ninawapenda sana wote ❤️ Tusichoke! Nawashukuru kwa upendo wenu! Wale waliokimbilia wapendwe na wapumbavu mafisadi na wasaliti leo wako wapi? Wako wanalalamika kama mademu kwenye Whatsapp group! Heshima ya mtu ni kusimamia Haki si kupokea vijisenti vya watesi Keep the 🔥 burning! #TutaelewanaTu
11
111
4
453
12,791
Ila nyie mnajua wote na hawa mliowahonga Chadema wasukume maridhiano mna script mbovu sana🤣 Haya huyu kimama ame surrender nini wakati anataka Lissu afungwe!? Heche mmepanga msaidiane kumtoa mlete Mbowe mlango wa nyuma Tena sasa hadi nimeambiwa mnataka kumweka Mdada mmoja hapo! Alafu mtangaze maridhiano! Pathetic! Shida yenu mna mipango mibovu mnachojua ni kuhonga! Tukikataa mnasema acheni ubishi, mara eti Ego! Useless bunch 🚮 Hakuna maviziano wala nini! #FreeTunduLissu
20
110
5
621
37,117
🏟️💛 Allianz Arena, shining in gold tonight for Harry Kane.
353
14,710
220
321,101
3,414,746