Do Reforms (@DReforms1) profile picture
Joined November 2025
Bado siku 3…..
4
33
175
2,501
Do Reforms retweeted
Dkt Wilbroad Slaa afunguka mazito kuhusu mkutano wa waaandishi habari na Lema uliofanyika Jana asema hii inadhibitisha kuwa Lema sasa ni Wakala wa CCM ndani ya CHADEMA.
17
95
5
518
26,595
Do Reforms retweeted
Replying to @ACTwazalendo
Ile ya Zanzibar ilikuwa debate
1
2
208
Do Reforms retweeted
Replying to @EduTalkTz
Nani kakuuliza kama ulimsaidia? Usaliti unakusumbua na mwisho wako kisiasa umefika nenda tu machame kalime au tafuta uraia wa Canada kama familia yako ilivofanya
1
14
990
Do Reforms retweeted
Replying to @EduTalkTz
Tatizo MACHAME mliamini chadema ni mali yenu. Na sisi no wakinja ngumi wa kuwasindikiza. Pumbavu .
1
18
912
Kwan yeye baba yake alikuwa na Ela ya kumfanya awe mbunge si watu walijitoa Aache upuuzi
1
3
3
330
Wanasiasa wa Tanzania wajifunze mambo mawili ambayo hawataweza kuyadhibiti kamwe: 1. Ukuaji wa teknolojia (The growth of technology) 2. Mtiririko wa taarifa (The flow of information) Taarifa sasa zinazunguka haraka kuliko wakati wowote wa uwepo wa binadamu duniani kwa sababu ya technology. Ukishindana na haya mambo mawili, ni kujipiga ngwala wewe mwenywe.
3
51
216
5,415
Do Reforms retweeted
Press ya Lema inazaa maswali mengi kuliko majibu. 1. Uhusiano wake na viongozi wa wajuu hasa M/Mwenyekiti. Kuna namna akimzungumzia Heche kuna vitu huvipati. Mfano, wakati wanawasiliana juu ya mikutano ya Arusha, kisha Lema akamuuliza katibu wa kanda ratiba, reaction ya Lema baada ya jibu la katibu ni quationable. Ila pia katika watu wote alioshauriana nao kwaajili ya Press Heche hayumo🤔. Lakini pia kutumia nguvu kubwa kutuaminisha yeye ndio amemsaidia Heche kufika hapo alipo kwahiyo hawezi kuwa na wivu nae ( Hii tactics inafanana sana na ile ya MBOWE kumnunulia Lissu tiketi ya ndege na kumpa gari sijui kama mnakumbuka?) Mfano wa pili: Uhusiano wake na Mnyika (Katibu mkuu). Mara kadhaa anaonekana kumpa Mnyika ushauri lakini ni kama Mnyika anapotezea. Mfano; issue ya Lissu kutoa pole, Lema akataka Mnyika capitalise, na itoke statement ya chama, Mnyika aka ditch lakini Lema akainuka nayo, akapost while Lissu alimwambia Makamu,WHY? 🤔🙄 2. Alitaka ku archive nini hasa kwenye hii press? Maana he was EVERYWHERE. Kawachapa viongozi wenzake wajuu wa chama kwamba wawe wanaclarify mambo. Yaani Lema anataka watu wakimchapa spana yeye personally, basi Mnyika atoke amtetee. Kuna kusemwa chama, na kusemwa kiongozi wa chama...kama ni issues zako deal nazo bro. 3. Alijitahidi sana kutotaka kukitofautisha chama na harakati, na mpaka akawa anapata kigugumizi. Najua Lema anafahamu CDM ni chama cha siasa kilicho na waachama wanaofanya harakati za ukombozi wa nchi. Alijitahidi kukwepa hii ila hakuweza. 4. Baada ya press hii ya siku ya kifo cha kaka yake na Lissu na siku tano kabla ya hukumu ya Lissu tutegemee nini tena kwa Lema? Maana atachapwa sana spana. Je, atachomoka? Mimi mdogo wako Marcus bado nakusihi, NEEMA ya Mungu bado ni kubwa, KUMBUKA ULIPOANGUKIA UKATUBU. Mtu mmoja may lie but not hundreds, bro. Something is wrong somewhere. Hujachelewa.
6
34
3
170
8,343
Do Reforms retweeted
Brother Lema unawez kutuambia ni watu gani Umechoka kuwazika? Usikute na mwanetu Deusi na Mdude umewazika
7
12
140
2,476
Mkimaliza kujenga hii hoja ya “wao wapo nje” na “sisi tupo ndani,” msisahau pia kujenga ile hoja ya “wao wapo magereza” na “sisi tupo uraiani;” au “wao wametekwa” na “sisi tupo huru;” au “wao wamekufa” na “sisi tupo hai;” au “wao ni wananchi hohehahe wanaotoka tu na kuuawa” na “sisi ni wanasiasa ambao siasa ndio biashara yetu, haijalishi inauwa watu au lah”++++++. Hii “us” vs “them” isiishie hapa tu, tuhakikishe inabainisha makundi yote kabisa.
Sahihi,wao wapo nje wanapangia watu waliopo Tanzania cha kufanya.Wao ndio wanaoamua standard nani ni Mpinzani,nani sio Mpinzani. Wao wanataka kufuatwa kwa kila wanachotaka.Wanajiona wapigania haki na Demokrasia kuliko yeyote aliyepo TZ. Vyama ni taasisi zenye formal procedures.
9
43
164
5,439
Wenje naye alituambia aliamua kabisa kumpeleka Abdul kwa Lissu ili amsaidie kumshawishi mama yake amlipe stahiki zake.
6
11
49
1,298
HAKUNA NJIA YA MKATO (THERE IS NO SHORTCUT) UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITAKAVYOLIPONYA TAIFA LETU. JIEPUSHENI NA MADALALI WA GIZA. Yeyote anayehubiri maridhiano bila kuweka mbele ukweli, haki na uwajibikaji, aidha ni muuaji au wakala wa wauaji. Msimamo wa aina hiyo lazima ukataliwe hadharani! TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY PATHS TO HEALING OUR NATION. BEWARE OF BROKERS OF DARKNESS. Anyone advocating reconciliation without first establishing truth, justice and accountability is either a perpetrator of killings or an agent of the perpetrators. Such a position must be publicly rejected! BAK MWABUKUSI
71
476
10
1,550
43,229
Nakusabahi @frediejustine mpwa! Nimechukua muda na nimetafakari ila leo nasema na wewe hapa maana sitakutafuta tena! Ulinisimulia kuwa ulienda kumsalimia Lissu gerezani na kumwambia chama kinaweza kufutwa mkiandamana, alikujibuje? Hakukuambia kuwa “Acha wafute chama!” Uliwahi kumwelewa Lissu kwa nini haogopi na hajawahi kupiga magoti? Mkumbuke Soka na alivyokataa kumpigia magoti Mwamba wenu! If he was asked whether he would do it again angesema “Yes!” Hii ndo picha yangu ya mwisho nilipiga na Soka na alikuita mpige pamoja maana alikupenda na kukuamini kama rafiki yake! Leo uko front unapambania nini? How could you!? Soka alijua the price he was going to pay for standing on the right side of history! Je wewe unajua the price of standing on the side of the Opressor? Jitafakari! Mungu akuongoze! With sincere love Shangazi Maria
63
212
7
1,249
69,594
Replying to @godbless_lema
1. Useme yote utakayoyasema, lakini tafadhali usifike ile hatua ya Wenje kutuambia “Mimi na Abdul ni washkaji. Nilimpeleka kwa Lissu ili amsaidie kumwomba mama yake amlimpe stahiki zake.” 2. Ukumbuke pia maneno yako yanaenda kubadilisha speculations na kuwa ukweli, haijalishi ukweli huo umekataliwa au umekubaliwa. Nukuu Muhimu: “It's better to keep your mouth shut and appear stupid than open it and remove all doubt.” — Mark Twain Kila la heri kaka mkubwa!!
5
10
1
113
4,713
Do Reforms retweeted
Ko CCM wanafikiri Miss Grand ya JIHAN itasahaulisha watu matukio ya Oktoba 29. Hakika Mbwa akikaribia kufa uwa anapoteza uwezo wa kunusa, ccm ni chama mfu hadi sasa ivi🙌
1
15
84
1,226
Wakati huo mwenyekiti wako yuko magereza akisubiri kunyongwa. What a shameless person!!
14
16
3
106
15,845
Do Reforms retweeted
Sio wote walioshiriki ubazazi huu. Wengine walipigwa risasi wakiwa sebuleni kwao.
Halafu kweli kanisa langu katoliki linawaandalia Misa watu wa aina hii😳,hata kama Marehemu hasemwi vibaya ila hawa hapana hawafai hata kuombewa na shetani.
3
1
10
2,210
Waliopoteza maisha walikuwa watoto wa watu, wazazi wa watu, na matumaini ya familia zao. Kuona viongozi wakiongea bila hata dalili ya kujuta ni kielelezo cha ukosefu wa utu.
5
187
575
5,097
Do Reforms retweeted
Oktoba 29, kuna vijana walikamatwa, wakateswa sana, wakalazimishwa wajisaidie haja kubwa na wale kinyesi chao. Very inhumane & degrading treatment. Watu wamebeba maumivu kiwango gani mioyoni? May justice prevail!💔💔
5
82
2
525
8,901
Do Reforms retweeted
Yani unazima mtandao watu wasiwasiliane, unazuia wasitoke majumbani, alafu unaanza kufuata watu majumbani unauwa.. kuna familia ile ya Kimara, wale vijana waliokuwa wanaangalia mpira Mwanza -- kiasi hiki cha uhalifu hakitasahaulika. Uwajibikaji ni LAZIMA!
4
86
1
412
5,158