Pinned Tweet
Kofia ngumu (helmets) Zina rangi mbalimbali, na Kila rangi Ina maana yake.. Leo tujikumbushe kidogo. #ElimikaWikiendi #SafetyFirst
She went for the jugular ๐๐
Mzae alikujaga home na bad news ati "jirani yetu mama nani alienda kupata mtoto hosi akampoteza" only for mathee to reply "wangu huwa naenda kuwakunia hosi juu akuna mtu hujali" as kids tukaanza kucheka ati mum ni funny๐, sahii ndio najua mbona haikuwa funny kwa mzae.
13
Mimi nikishamaliza kazi/kufundisha.. Huwa nakaa idle most of the time. Just to get my energy back for tomorrow.. I love being idle, nafungua mafile mengi tu kichwani ๐๐
Sijui ni mimi tuu, ila siwezi kukaa idle.
Lazima niwe either nafanya conversation, au nafanya kazi, its like naogopa mind kuwa un occupied, uwa napata na hofu kabisa.
Au ndio dalili za kuchanganyikiwa?
1
56
Wanaona kama kwenye amani mambo hayaendi hivi.. ๐คง๐คง
Replying to @DadaConso
Watu waliotoka kwenye familia za ugomvi ugomvi vipigo, kugombezwa gombezwa huamini hiyo life style.
17
Wako wengi tu.. huenda wanafinchwa venye jamii zetu na wenyewe tumekuwa very offensive Kwa watoto.. also wengine wako skuli.. ila watoto ni wengi mnoooo.. ๐๐
Very true.. wengine lakini wanaiga tabia za mtandaoni, and I can promise you.. huku mtandaoni watu ni toxic balaa.. balaa ๐คง๐คง
Replying to @DadaConso
Hakuna mtu ametoka loving family antaka kupigwa wala kupigwa,if a person yuko comfortable with any of the arrangement sio mzima
9
This baffles me, na Huwa nawaambia wanafunzi wangu bila kuchoka..
Ukiona kazi Iko kwenye mazingira hatarishi, bila kujali jinsia.. fight for a better working environment.
Wababa wasiwe exposed to dangers.. especially them. And most importantly, wababa wajipende..๐คง๐คง
Men see dangerous jobs with terrible pay and no safety measures, and instead of demanding better conditions, theyโd rather drag women into it and blame them for everything.
1
218






















