Sijui kama ni mimi tu,ambaye naweza kusema nimeshindwa kupata
#Mwanamke_wa_kuoa.
Sasa wazazi wangu acha niwape #Majukum mnitaftie #Mwanamke wa kuoa.
NIMESHINDWA KATIKA HILI SWALA JAMANI.馃檹
64
KILICHO KUACHAA ,HAKIKUPANGWAA KIENDELEE KUEPO,KWENYE MAISHA YAKO.
Usiuumize moyo kwa kuwaza sana,馃檹馃毝馃徔
#Mwanamke ambaye aliondoka kwenye maisha yako,halaf kwa sasa anaomba msameheane mrudiane,uwee maakini sana maana kuondoka kwako alienda kwa mtu aliebora kwake.Huwenda hukuua bora kwake,,karudi kwako kupumzika akipata mwngn atasepa tn..Niamini kwa haya machache鉁嶏笍馃檹
2
82
Ushawai #Mpenda mtu,hadi akipita kalib yako unasikia kiuno kinacheza,na kukuambia tunataka huyu awe #Mama_yetu..馃グ馃グ馃挜馃└馃尮鉂o笍
33
Ukipata sehemu kuna #AMANII hata kama hakuna kiti wee kaa hata chinii 馃尮
18
Kumbe hakuna kilichobadilika,,tuzidi kuwaombea wenzetu walio tangulia mbele ya haki MO29 Allah awapumzishe pahala pema pepon...
1
50
Happy Birthday to u my dear @MariaSTsehai,
Allah akujalie kila lenye kher kwako,,na akuepushe na mabaya dhidi yako 馃檹馃檹馃檹Amiiin
馃挄馃嚬馃嚳馃尮鉂o笍
1
91
Hijja Msanii Tz 馃挜 retweeted
Tumemaliza siku ya 20 leo kuanzia kesho siku zilizobaki zinaanza na 1 馃敟
#D9 is approaching fast
#TunatokaTena maana #SamiaMustGo
Hijja Msanii Tz 馃挜 retweeted
Post hii ni maalumu kwa Dadaangu mpigania HAKI @mambosholizzy kwa kusimama na kuokoa wenzie bila kujali VIRUNGU na ngumi zilizokuwa zikirushwa na WAKOLONI WEUSI.
REPOST 200.
TUTAKUWEPO馃馃従馃槑
Hijja Msanii Tz 馃挜 retweeted
馃敟馃敟 Kaka Polepole kafurusha bomu usiku mnene - hadi asubuhi hii hawaja- recover madhulmat huko CCM 馃ぃ
Mi jana nilishtuka kuhusu Rostam kuwa na hisa bandarini kumbe makaa ya mawe yumo! Msikilizeni 馃憞馃従
Na hii ya Channel Ten inabidi Polepole anieleze vizuri 馃檶馃徑馃槂
Eniwei leo tusubiri bomu lingine
Hadi #TutaelewanaTu mbona?
#NoReformsNoElection









