We defend freedom of expression and promote editorial excellence as keystone to realization of mature democracy in Tanzania.

Joined March 2019
Tusiulize El Nino ipo wapi, tunapaswa kuomba kupungua madhara ya Mvua za El Nino - Mkurugenzi wa TMA, Dk. Hamza Kabelwa akizungumza kwenye warsha ya siku moja kati ya TMA na Wahariri.
1
29
Leo tarehe 5 Oktoba 2026 mwili wa mhariri na Mwanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deogratius Mushi utaagwa baada ya kufanyika Misa Takatifu katika Parokia ya Makoka, Dar es Salaam. Mwili huo unatarajiwa kupumzishwa Jumanne tarehe 6 Oktoba 2026 Moshi, Kilimanjaro.
1
1
45
Kongamano la wanahabari wa Tanzania na Oman kufanyika tarehe 1 Oktoba 2026.
2
46
NSSF membership has increased from 932,112 in 2020/21 to 2,144,906 in 2025/26, while contributions rose to TSh2.9 tril Benefit-claim processing time has also fallen from 63 days to 19 days, with 99% of claims paid within the statutory 60 days #TEF #NSSF #Tanzania #SocialSecurity
1
25
NSSF imefikia wanachama 592,791 katika Skimu ya HIFADHI tangu kuzinduliwa Februari 2026, ikilenga kuongeza 279,371 katika mwaka 2026/27. Kwa ujumla, wanachama wameongezeka 130%, kutoka 932,112 (2020/21) hadi 2,144,906 Juni 2026. #TEF #NSSF #HIFADHI #Tanzania
1
60
Huduma ya kibingwa ya upandikizaji uume inapatikana katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma - Dk. Abdallah Beja, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo.
1
77
Hatuwezi kutoboa bila kushirikiana na vyombo vya habari...Kila mwanahabari ajitathmini kwa njia ipi anatumia weledi wake kukuza maadili ya viongozi nchini - taarifa ya Kamishna wa Tume ya Maadili, Jaji Mstaafu Sivangilwa Mwengesi katika mkutano wa Wahariri na tume hiyo leo, DSM
1
28
“Sisi Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) hatutafuti sababu ya kutolipa fidia, bali tunatafuta sababu ya kulipa fidia. Wanahabari tusaidieni kuwaelimisha waajiri na wafanyakazi wote. kuna faida kubwa WCF ,”Silvanus Kuloshe, Afisa Madai Mkuu WCF, Ofisi ya Kinondoni,Dar es Salaam
1
3
280
Umuhimu wa habari haujashuka, jambo la msingi tunafanyaje ili kuwa na vyanzo vingine vya mapato katika vyombo vyetu vya habari. Kwa sasa mapato hayajapungua kwenye vyombo vya habari pekee - Deodatus Balile, M/kiti TEF wakati wa Mkutano Maalumu wa Marekebisho ya Katiba, DSM.
2
1
195
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kukerwa Ofisi za Gazeti la Pambazuko kuvamiwa, laomba mamlaka husika kufuatilia na hatua za kisheria kuchukuliwa.
1
2
71
Wanawake kutoka Sekta ya Mawasiliano nchini, wamekubaliana kuweka msingi wa pamoja wa uanzishwaji wa Tanzania Women in Communication Association (TWICA), kama chombo kitakachowaunganisha kwenye sekta hiyo.
1
50
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile (wa kwanza kushoto), Mjumbe wa Kamati ya Utendaji TEF, Joseph Kulangwa (katikati) na Kaimu Mtendaji Mkuu wa TEF, William Shao wakiwa msibani kwa aliyekuwa mwanachama wa TEF, Revocatus Makaranga Kimara, Dar es Salaam
1
43