ELCT_HQ (@ElctHq) profile picture
Joined June 2021
Photo by ELCT_HQ (@ElctHq)Photo by ELCT_HQ (@ElctHq)Photo by ELCT_HQ (@ElctHq)Photo by ELCT_HQ (@ElctHq)Photo by ELCT_HQ (@ElctHq)Photo by ELCT_HQ (@ElctHq)Photo by ELCT_HQ (@ElctHq)Photo by ELCT_HQ (@ElctHq)Photo by ELCT_HQ (@ElctHq)Photo by ELCT_HQ (@ElctHq)
Pichani: Baadhi ya Wainjilisti na Viongozi kutoka KKKT DMP-Jimbo la kati wamepata fursa ya kutembelea na kujionea kwa karibu namna Makao Makuu ya KKKT jijini Arusha yanavyoratibu na kutekeleza huduma za kiroho na kimwili katika kuwahudumia Wakristo na jamii kwa ujumla.
1
124
Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Malasusa, amesema hospitali za Kanisa haziponyi miili pekee bali pia roho kupitia huduma zinazotolewa kwa upendo.... Bofya link kwa taarifa zaidi facebook.com/share/p/1CJnpSR…
6
199
MAADHIMISHO YA MIAKA 70 YA JUMUIYA ZA KIRAIA TANZANIA Washiriki wa maadhimisho hayo wakitembelea banda la maonyesho la KKKT wakati wa mapumziko, siku ya pili ya mkutano unaofanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
4
366
Baadhi ya matukio katika picha wakati watumishi wa KKKT Makao Makuu wakipatiwa mafunzo kuhusu Haki na Usawa wa Kijinsia Mahali pa Kazi. Mafunzo hayo yamelenga kuimarisha uelewa kuhusu haki, usawa na mazingira bora ya kazi kwa watumishi wote.
1
6
224
Askofu Dkt. Mollel amezindua mradi kukabiliana na Tabianchi huku lengo kuu la mradi huo likiwa ni kuimarisha ustahimilivu wa jamii dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia usafiri endelevu wa baiskeli za umeme (E-Bike)... facebook.com/share/p/1K2TSce…
3
107
Katibu Mkuu KKKT Rogath Lewis Mollel na Mchg. Dkt. Themba Mkhabela (kushoto), Mkurugenzi wa Ukanda wa Afrika wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Amerika (ELCA) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mara baada ya kikao... facebook.com/share/p/18GEipr…
1
1
1
123
Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kati (Singida), Dkt. Syprian Hilinti, amewaasa wachungaji kutumia muda wao wa ziada kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji mali, ili kujiongezea kipato na kuimarisha maisha yao pamoja na huduma wanayoifanya katika jamii. facebook.com/share/p/19NX2xg…
1
1
164
Pichani: Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa akipokea msalaba wakati wa maandamano ya Ibada ya Ufunguzi ya Mkutano wa Wachungaji KKKT unaofanyika katika jijini Dodoma kwa siku nne.
1
4
15
351