
Father| Mineral Processing Engineer| Human Right Activist| Paralegal |Member @ChademaTz | @ManUtd | Boss Himself | StoryTeller| 430'2023|WhatsApp +255719542184
Serengeti, Tanzania
Joined July 2020
- Tweets58.1K
- Following982
- Followers30K
- Likes57.9K
Pinned Tweet
NANI ALIYEMUUA SOKOINE?
#UZI
馃敳Mnamo April 12, 1984 ilikuwa ni siku mbaya sana ktk Taifa letu na haitosahaulika kwa Watanzania. Siku hiyo tulimpoteza kijana makini aliyekuwa Waziri Mkuu EDWARD MORINGE SOKOINE, aliyefariki kwa ajali mbaya ya gari eneo la Wami-Dakawa (Morogoro).
YUKO WAPI TWAHA MWAIPAYA?
EE MUNGU MLINDE POPOTE ALIPO馃檹馃檹
NIKIKUMBUKA YA MDUDE, SOKA & WENGINE NAUMIA SANA
MLINDE NA WATESI WAKE
#FreeTwahaMwaipaya
JAPHET MATARRA retweeted
Mchana mwingine tena hakuna taarifa kuhusu kupatikana kwa ndugu yangu TWAHA.
Wakenya hili litawatafuna milele鈥攏dugu yetu anahitajika akiwa hai si vinginevyo.
#FreeTwahaMwaipaya
JAPHET MATARRA retweeted
The @LindaMwananchi_ statement on the abduction of Tanzanian activist Twaha Mwaipaya .
Sikukata rufaa kwasababu nilikuwa na uhakika kwamba ningeshinda, nilikata rufaa sababu niliona ni muhimu Mahakama ya Juu ipitie maamuzi yaliyotolewa dhidi yangu katika kesi yangu.
Haki inaweza kuchelewa, lakini tusikate tamaa kuitafuta kwa njia za kisheria.
#FreeTwahaMwaipaya
JUSTICE PREVAILED! 鈿栵笍
Jana Oktoba 26, Mahakama ya Rufani ya Tanzania (CAT) imetengua maamuzi yote dhidi yangu, kuanzia Mahakama ya Wilaya hadi Mahakama Kuu-Moshi, na kuagiza nirejeshewe faini niliyolipa ili niachiwe kutoka gerezani.
Haki imeshinda鉁岋笍
#FreeLissu
#FreeMwaipaya
Mtu anaua watoto wako, au ndg zako..
Halafu uketi naye kuridhiana?
Ndio maana Ukuryani huwa tuna visasi
Unaridhiana na muuaji wa watoto/ndg zako? Au mtu ananyang'anya ndg/wanao ardhi kisa ana pesa halafu unaomba uketi naye kumbembeleza asifanye hivyo? Kivipi yaani..aiseeh
Acheni usenge, maridhiano ya nyoko?馃毊
Kuanzia..
Alphonce Mawazo
Ben Saanane
Mdude Nyagali
Deusdedith Soka
Mzee Kibao n.k, wote hawa wameuawa na CCM
Sera yao ni kuua Tu馃毊
Maridhiano ni usenge hayarudisha uhai wao
Pamoja 4R zake #Mo29 ilipofika, aliua kubaki madarakani.
Acheni usenge, maridhiano ya nyoko?馃毊
Kuanzia..
Alphonce Mawazo
Ben Saanane
Mdude Nyagali
Deusdedith Soka
Mzee Kibao n.k, wote hawa wameuawa na CCM
Sera yao ni kuua Tu馃毊
Maridhiano ni usenge hayarudisha uhai wao
Pamoja 4R zake #Mo29 ilipofika, aliua kubaki madarakani.
Wewe Bibi @SuluhuSamia
Ninakukumbusha tena...
Kila Mtanzania ana haki ya kuishi
Kila Mtanzania ana haki ya kuishi
Kila Mtanzania ana haki ya kuishi
Kila Mtanzania ana haki ya kuishi
Muacheni #TwahaMwaipaya
Muacheni #TunduAntipasLissu
Waachie #WapinzaniWoteWaKisiasa
UTEKAJI NI SERA YA UTAWALA WA CCM
TUUPINGE KILA SEHEMU
SAMIA MWACHIE MWAIPAYA
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #FreeAllPoliticalPrisoners
JAPHET MATARRA retweeted
Tanzanian human rights defender Twaha Mwaipaya was reportedly abducted at approximately 2:00pm today in Kamulu, Machakos County, by individuals travelling in three vehicles, one of which was a Toyota Land Cruiser hardtop.
Twaha was en route by taxi to visit friends when the incident occurred. There is an urgent need to establish his whereabouts. Anyone with relevant information is encouraged to come forward immediately. We call on Kenyan authorities to take swift action to locate him and ensure his safety and protection.
Please share widely and help spread the word. #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #FreeAllPoliticalPrisoners
JAPHET MATARRA retweeted
鈥硷笍MWAIPAYA AMETEKWA鈥硷笍
Kamanda Twaha Mwaipaya ametekwa na Watu wasiojulikana muda mchache uliopita akiwa maeneo ya Kamulu road - Nairobi.
Watekaji walikuwa wamevaa kiraia na usoni walivaa Musk, walikuwa na gari tatu ambapo waliblock gari ambayo alikuwa amepanda Mwaipaya, Kisha wakamshusha na kuondoka nae.
Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema mfumo uliotumika ni kama ilikuwa Operation, kuna wasiwasi wa simu kufatiliwa ( Tracking ) suala ambalo linaibuwa maswali makubwa sana kuhusu usalama wa Wageni wanapokuwa Nairobi.
#FreeTwahaMwaipaya










































