
@mancity @fcbarcelona mamba mentality
Tanzania
Joined December 2022
- Tweets14.2K
- Following2.2K
- Followers2.3K
- Likes69.9K
INFINITY 📸 retweeted
Unapowaomba wapwa waretweet post yako ya biashara, wakati post zao wewe unapita kama unaaga maiti 🤣🤣
INFINITY 📸 retweeted
Javits Frimpong, kijana mwenye asili ya Ghana mwenye umri wa miaka 15, ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa njiani kwenda shule huko Bronx, New York, Marekani
Inadaiwa alikuwa amekuwa akifanyiwa bullying na wanafunzi wenzake mpaka kupelekea wanafunzi wawili kusimamishwa masomo shuleni hapo,ikumbukwe Javits alikuwa ameishi mwaka mmoja tu Marekani tangu atoke kwao Ghana
Alipigwa risasi tatu za tumbo akakimbiaa kama block moja akaanguka polisi wakaja wakamuona wakampeleka hospitali na baada ya masaa 2 akafariki. Polisi wanachunguza wauaji na sababu za kufanya mauaji hayo 💔
INFINITY 📸 retweeted
Mpwa, chapa mistari mmoja wa @dizastavina tufunge siku kwa HIP na HOP 📌🤝
INFINITY 📸 retweeted
Ndugu yangu Twaha Mwaipaya BADO hatujampata.
Tuendelee kuweka #FreeTwahaMwaipaya au kurepost bila kuchoka kama ambavyo alikuwa mtu asiechoka juu ya kupambania nchi yake.
#FreeTwahaMwaipaya
REPOST 200
INFINITY 📸 retweeted
🚨 𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Lionel Messi has been named the winner of the 2026 Princess of Asturias Award for Sports! 🇦🇷💫
INFINITY 📸 retweeted
🚨| BREAKING: According to reports, a Portuguese journalist has voted for Messi in first place for the Ballon d’Or, awarding him 15 points.🐐😳
INFINITY 📸 retweeted
🚨🗣️ 𝗡𝗘𝗪: Hansi Flick: "I think that in the Champions League, even when we play well, there are certain situations where we don’t make the right decisions in the final third…"
"That’s something we need to IMPROVE.”
INFINITY 📸 retweeted
Kwahiyo tumeshakubaliana kwamba D-Voice ndo’ GenZ anaekula Mama kali kuliko GenZ yeyote Bongo😁😁😁
INFINITY 📸 retweeted
Stefano wa Ipinda, Mbeya nawatakia klabu ya Bournemouth matokeo yoyote Chanya dhidi ya Chelsea leo.
INFINITY 📸 retweeted
#ElimikaWikiendi
Je, wajua Brazil inamiliki takriban 60% ya eneo lote la Msitu wa Amazon, msitu mkubwa zaidi wa kitropiki duniani
Amazon ni makazi ya mamilioni ya viumbe na ina umuhimu mkubwa kwenye bayoanuwai, mzunguko wa maji na mfumo wa hali ya hewa duniani
Jambo la kuvutia ni kwamba Amazon haipo Brazil peke yake inaenea kwenye nchi 9 za Amerika Kusini ila sehemu kubwa zaidi ikiwa ndani ya Brazil
































