As a comms- choosing the best AI narration voice to suite your documentary is another time consuming job🥲
Frida .F. Musilimu ✨ retweeted
Ukienda kutafuta fursa mahali, usijiandae kuelezea tu ulichosoma. Jiandae kuelezea unachoweza kufanya.
Na ukiulizwa unatafuta kazi gani, epuka kusema ‘yoyote itanifaa’. Jibu la namna hiyo humfanya mtu ashindwe kuona au kufahamu thamani yako.
Badala yake sema, ‘Nina ujuzi katika maeneo A, B na C. Pia ninaweza kujifunza kwa haraka na nina uwezo wa kuendana na mazingira tofauti ya kazi. Naweza kufanya kazi zinazohusiana na xyz, lakini pia nipo tayari kusikiliza ushauri wako kuhusu eneo ambalo unaweza kuona ninafaa zaidi.’
Hapo unakuwa hujauza vyeti au kile kinaitwa elimu pekee. Umeuza uwezo wako, namna unavyofikiri, na utayari wako wa kukua.
Watu wengi wanatafuta kazi. Wachache wanajua namna ya kujieleza kusikoacha shaka kwa anayesikiliza.
Frida .F. Musilimu ✨ retweeted
Flawless glams for all skin tones🥰🔥
For makeup bookings
Piga simu/ Whatsapp 📲 0676335537
📍Sinza, Ahadi St
#glammedbyqueeenminah
And then there’s me, representing the PDQA Director for the 2025 AOP Review & 2026 Targets meeting, with a presentation I received 15 minutes before the meeting started 😂
Fun fact: I’m literally in the meeting right now presenting next, right after Somalia 😅
#Kuaminiwa🤏🏾
Congratulations Dada @FamWorld2025 ❤️
Goodness will follow you on this chaoter yiu just began, Congratulations once again❤️
This quoted post is unavailable.
Frida .F. Musilimu ✨ retweeted
Three things I know
1. Prayer does work
2. Tables do turn
3. God is good all the time.
Msaada tutani;
Kindky recommend clinic ya macho inayovhukua bima (Strategies) around mikocheni, msasani, morrico mitaa hiyo ya mjini kati na ambao wapo wazi leo,
Kindly RT, tupate msaada🙏
Natanguliza shukrani🙏
Frida .F. Musilimu ✨ retweeted
Hamna kitu napenda kama kuringishia watu kwamba mimi baba yangu ananipenda mnoo.
The feeljng of ejecting a connected device on my Computer makes me feel so organised and systematic; not so bad for a bad office day!
POV: I wrote this Yesterday, felt lazy to post, so yah. Bye.

















