We design and biuld at affordable cost. +255719336667, WhatsApp +255763782274 Dodoma, Tanzania @geo_traverse

Dodoma, Tanzania
Joined August 2024
New! New! New! Muungano Project.. Mradi wetu mpya Tunaanza kuujenga mtaa wa Muungano Nkuhungu 1. CHUMBA, JIKO, CHOO NA SEBULE ZIPO 3 2. CHUMBA, JIKO, CHOO ZIPO 3 PIA Makadirio ya bajeti ni 91Million mpaka kukamilika kwa mradi. Kodi kwa mtaa huu ni 250,000 kwa 100,000 kwa nyumba za aina hii. Mteja anategemea kupata kodi jumla 1,050,000/= kwa mwezi. Kibiashara zaidi, Jengo hili anaweza kuchukulia mkopo wa hadi 200M bank, na akajenga miradi mingine kama hii miwili. Wekeza sasa kwenye Real Estate na GeoTraverse Group of Companies, uwekezaji wa kudumu..Anza na 60% tukukabidhi mradi wako.
1
17
1
224
18,222
Design Yetu ya Leo 22/10 3Bedrooms(1 Master) House+ Kitchen+Store+ Dining+ Public Toilet, Makadirio: Tofali 3200, Bati 118 Ukiwa na 18M utamaliza Boma na kuhamia, Finishing utafanya ukiwa ndani Gen Z.. Call/whatsapp us today; 0719 336 667/ 0763782274
1
2
164
Sisi..
馃敟馃敟 GeoTraverse Group, The Best and Trusted Land and Construction Consultants. 1.Ujenzi 2.Upimaji Ardhi 3.Ramani za majengo 4.Hati miliki 5.Viwanja. Tupo Dodoma, Barabara ya Tisa 0719 336 667/ 0763 782 274.
1
2
215
馃敟馃敟New!! New!!New!!!馃敟馃敟 Jengo la biashara, Lina seheme ya kuweka Bank mbili, maduka sita, Ukumbi wa mikutano na ofisi sita, Kwa designs kali kama hizi,Tupigie 0719 336 667/ 0763 782 274
2
4
255
Hii hapa nyumba ya makazi... Ina vyumba vitano vya kulala, Na Servant ina chumba kimoja self, Chumba cha mazoezi, chumba cha kufulia,store na jiko la nje.. Imekaa juu ya 900sqm... Tunaanzia kukupa wazo, michoro, mpaka kukukabidhi Jengo . Call Us..0719 336 667/ 0763 782 274
1
3
209
Goodmorning Tz! Kwa wale wanaowekeza kwenye nyumba za kupangisha, na wale wa mfumo kama wa AirBnB, we got designs For you! Tunakupa ushauri, ramani, hadi kukabidhi jengo, Call us 0719 336 667/ 0763 782 274.
4
1
5
585
Moja ya project yetu iliokamilika mwaka huu..
6
7
420
Deal Closed! Unataka shamba Dodoma, tucheki? Thamani ya ardhi Tz, inatapangwa huku Dodoma, usichelewe.
30 Acres deal on the way.. Mayamaya, Dodoma. Tumefanya Preliminary Survey..way to go.
2
3
288
This
Replying to @bonifacejoseph_
Imagine kama hizi hapa, 120M tu unapata, zipo unit 2 za single bedroom, na 2 units za single bdrm, hapa ROI Tumekadiria 6Yrs unaanza kula faida hadi unazeeka, kwa mfumo kama AirBnb ni 3yrs, ukiipata hyo 500m tucheki @GeoConstructors
1
2
255
Replying to @bonifacejoseph_
Imagine kama hizi hapa, 120M tu unapata, zipo unit 2 za single bedroom, na 2 units za single bdrm, hapa ROI Tumekadiria 6Yrs unaanza kula faida hadi unazeeka, kwa mfumo kama AirBnb ni 3yrs, ukiipata hyo 500m tucheki @GeoConstructors
1
2
1
9
1,656
Shamba Dodoma..
3
2
117
30 Acres deal on the way.. Mayamaya, Dodoma. Tumefanya Preliminary Survey..way to go.
4
1
6
463
Mteja wetu mmoja amekuja na hii idea, idea ni BnB Plot size: 300sqm
1
2
369
Hii hapa, kwenye 1200sqm 8-Units.
1
3
180
Minimalist...Simple 2 bedroom apartment
1
91
New Project...mkalama Dodoma.
1
88
Sisi tunachora bhanaa.. Tupo barabara ya Tisa, Dodoma. 0719 336 667/ 0763 782 274
1
117