
I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Advanced Social Media course๐๐พ
Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2009
- Tweets95.6K
- Following5.4K
- Followers165K
- Likes26.4K
Pinned Tweet
Imekuwa muda kidogo. Nilikaa na Msasa Podcast kuzungumzia kazi, digital, fursa na maisha. Full episode iko hapa YouTube: youtube.com/watch?v=wg58K8PVโฆ
Gillsant v10 retweeted
Leo baada ya kupiga Story na brother @gillsaint na @justinecodez kuna story moja nimekumbuka nikasema ngoja nishare kwa TL .Tukiwa tunakaribia kumaliza 1st year tulipewa task ya kutafta sehemu ya kuomba field ,hapo akili ya kijana mimi wa IT ilikua
Gillsant v10 retweeted
Wakuu! @SwahiliesPay is growing, and Iโm looking for someone to join us and help drive business development, partnerships & growth.
Weโre currently serving thousands of SMEs and moving billions of shillings every month.
If you know someone who would be a great fit, please recommend them or share this with them.
Gillsant v10 retweeted
I resigned from Anthropic today. I spent the last three years doing pretraining research at both OpenAI and Anthropic. Neither company is acting responsibly. They are racing straight to self-improving superintelligence and gambling with our lives. More thoughts below.
Gillsant v10 retweeted
Kuna kitu nataka kuwaambia wale ambao mnajifunza YouTube kupitia YTA Masterclass yangu, hasa kama bado hamjafikisha monetization ya AdSense.
Usifikiri kwamba mpaka YouTube ikukubali kwenye YPP ndipo channel yako inaweza kuanza kukuletea pesa.
Nimefanya hivi kwa experience yangu mwenyewe.
Kuna kipindi channel yangu haikuwa na AdSense monetization, lakini nilikuwa tayari nimeanza kujenga njia nyingine za ku-monetize audience yangu.
Moja ya njia nilizotumia ni:
1. Donations / Fan Support
Unaweza kuweka link ambayo mtu anayependa content yako anaweza kukutumia support.
Mimi nimepokea donations kupitia Ko-fi.
Na screenshot hii mnayoiona hapa ni proof halisi ya transactions nilizopokea hizi siku chache tu zilizo pita.
2. Digital Products
Kama una audience inayokuamini, unaweza kutengeneza kitu cha thamani na kuuza moja kwa moja.
Kwa upande wangu, nime weza kuuza ebook yangu... โHeaven-Sent Loveโ kupitia channel ya YouTube.
Platform nyinge nayo itumia ni Gumroad, na mpaka sasa nime kwishapata zaidi ya $600+ kutoka Gumroad pekee.
Hiyo ni pesa ambayo haikutokana na Google AdSense. Ilikuja kwa sababu nilikuwa na audience + trust + product.
3. Affiliate Marketing
Hii nayo ni njia nyingine ambayo creators wanaweza kutumia. Unaweza kupendekeza product, software, course au service ambayo inaendana na audience yako, halafu ukalipwa commission pale mtu anaponunua kupitia link yako.
Na hapa ndipo nataka mfanye mental shift kidogo.
YouTube sio lazima iwe na huu mfumo...
VIDEO โ VIEWS โ ADSENSE
Inaweza kuwa na system hii...
VIDEO โ AUDIENCE โ TRUST โ DONATIONS
au
VIDEO โ AUDIENCE โ TRUST โ DIGITAL PRODUCT
au
VIDEO โ AUDIENCE โ TRUST โ AFFILIATE SALES
Na unaweza hata kuchanganya zote. Hii inafanya kazi vizuri sana kwenye niches ambazo audience huwa inatafuta msaada, maarifa au guidance.
Kwa mfano: Psychology, Spirituality, Relationships, Bible Stories, Prayer / Christian Content, Self-Improvement, Education, Personal Development.
na nyingine nyingi.
Imagine una channel yenye watu 10,000 wanaokuamini. Hata kama YouTube haijaanza kukulipa kupitia AdSense bado, una kitu ambacho ni valuable zaidi...
ATTENTION + TRUST.
Na hizo mbili zinaweza kugeuzwa kuwa biashara. Lakini kuna warning moja muhimu.
Usianze channel ukiwa na mindset ya: โNitapata views, halafu YouTube itanilipa.โ
Tengeneza channel ukiwa na mindset ya: โNitaunda audience ambayo inaweza kunisaidia kutengeneza business.โ
AdSense ni moja tu ya njia za monetization. Sio njia pekee.
Na hii ndio sababu huwa nawaambia kwenye YTA Masterclass yangu...
Usifikirie tu YouTube channel. Tengeneza YouTube business.
Tofauti yake ni kubwa sana. Na screenshot hii nimeiweka hapa sio kujisifia.
Nataka tu watu waone kwa macho kwamba inawezekana. Hizi ni donations halisi nilizopokea.
Hizi ni sales halisi za ebook yangu. Na zote zilitokea kwa sababu nilijenga audience na nikawa na kitu cha thamani cha kuwapa.
Kwa hiyo kama bado hujafikisha vigezo vya YPP... Usikae kusubiri AdSense ndio uanze kufikiria kuhusu pesa.
Anza kujenga mfumo wako wa monetization mapema. YouTube inaweza kuwa traffic source.
Audience inaweza kuwa asset. Na product inaweza kuwa business.
PS: Kama umeona hii idea ya kuanzisha YouTube channel bila kutegemea AdSense pekee na sasa umeanza kufikiria kuingia kwenye YouTube, nina YTA Masterclass ambayo inakufundisha jinsi ya kujenga YouTube Automation Channel kwa kutumia AI.
Utajifunza namna ya kutumia AI kwenye mchakato wa kutengeneza content na ku-build channel yako bila kuhitaji kuwa mbele ya camera.
Kama umekuwa ukisema โNataka kuanza YouTube lakini sijui nianzie wapi,โ hii inaweza kuwa sehemu nzuri ya kuanzia.
๐ Jiunge na YTA Masterclass hapa: shorturl.at/vb9zm
Gillsant v10 retweeted
A lot of businesses in Tanzania are not growing kwasababu tunafanya vitu kwa mazoea.. Running a business needs structure, consistency, and serious discipline, DISCIPLINE guys.
Gillsant v10 retweeted
Before you sign any document, take a picture of the blank pages too.
People add things after signatures.
This is common.
Gillsant v10 retweeted
Akili Bandia (Akili Mnemba) inaendelea kubadilisha mustakabali wa dunia, ikifungua mipaka mipya ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kampuni za Marekani ziko mstari wa mbele katika ubunifu, zikiendeleza mifumo mikubwa ya lugha inayobadilisha namna tunavyoishi, kufanya kazi, na kuwasiliana.
Ubalozi wa Marekani unaanzisha mfululizo wa warsha unaolenga kutumia akili mnemba kama nyenzo ya kutatua changamoto za dunia halisi. Kipindi cha kwanza katika mfululizo huo kitafanyika Aprili 23 katika American Corner iliyopo kwenye Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam au unaweza kuungana nasi kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi: bit.ly/4tyR3Q1.
Ushiriki ni bure na uko wazi kwa wote.
Usikose fursa hii ya kupanua uelewa wako na kwenda sambamba na mabadiliko ya zama za kidijitali. Endelea kutufuatilia kwenye majukwaa yetu ya mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi kuhusu vipindi na mada zijazo.
Gillsant v10 retweeted
Kuna gap kubwa sana kati ya knowing na doing. Millennials tunajua mambo mengi productive ( business ideas, financial literacy and marketing) kuliko Gen Z. Shida yetu millennials tuna fear za kufeli mnoo. Gen Z akipata mtaji kidogo tu kashafungua biashara chap bila kuwaza mara 2.
Gillsant v10 retweeted
Jumapili ya tarehe 29 Machi 2026 ilikuwa siku yenye maana sana kwangu. Nilipata nafasi ya kukutana na baadhi ya vijana wa jiji la Mwanza kupitia event ya Mwanza Digital Meetup.
Kitu kilichonigusa zaidi ni kuona kwamba bado kuna pengo kubwa kwenye uelewa wa fursa za online. Vijana wana uwezo na hamasa, lakini wengi bado hawajapata nafasi ya kuona kwa upana dunia ya kidigitali inaweza kuwafungulia nini.
Hii ni ishara kwamba bado kuna kazi kubwa ya kufanya, lakini pia ni mwanzo mzuri wa hatua bora zaidi zinazokuja.
Niwapongeze sana vijana wenzangu waliofanikisha event hii. Kazi mnayofanya ina maana kubwa.
@Heritagetech3 @officialhimsel1 @meetkhaled_
Vijana wadogo wenye maono makubwa. Nimefurahi kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyahitaji Mwanza.
Gillsant v10 retweeted
Miaka michache iliyopita Wise walikuwa wana wapa USD account wabongo.
Kwa connect mbili ulikuwa unaweza omba kazi hadi Upwork.
Payoneer walikuwa wanatoa akaunti binafsi kwa freelancers.
Now vyote hivyo ni historia.
Usikubali kuwa sehemu wa historia fungua akaunti Grey, uPWORK, fiverr sasa kabla hawajaanza kuweka vikwazo.
Gillsant v10 retweeted
Ina depend na ww unapenda kujifunza kitu gani
๐ Digital marketing mentorship @GillsaInt
๐ Copywriting mentorship @NyandaAmosi
๐ Online freelancer @mafolebaraka @Johansentz
๐ Facebook and Instagram ads @yoramelement
๐ Graphics Design @akhun_graphix17
Gillsant v10 retweeted
"Followers wengi utapeleka wapi !? , we unahitaji wachache wanaoweza kununua product zako"
- @GillsaInt
Gillsant v10 retweeted
Nilienda Dubai na karibu milioni tano tu na plan ya kuuza laptops. Miezi michache baadaye nimepata ๐จ๐๐ ๐ฟ๐ฒ๐๐ถ๐ฑ๐ฒ๐ป๐ฐ๐ ya miaka miwili. Hii ndio reality ya Dubai ambayo watu wengi hawakwambii.
Acha nishee hii story hapa baada ya hapa utakua na majibu ya kila kitu kuhusu DUBAI
๐๐๐๐๐ฎ๐ ๐ฃ๐ ๐ข๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ ๐ช๐๐ช๐จ๐ช ๐ฟ๐ช๐๐๐ ๐๐ฌ๐ ๐๐ญ๐ฅ๐๐ง๐๐๐ฃ๐๐ ๐ฎ๐๐ฃ๐๐ช
-Utakuwa umefika Dubai
-Umejua kila kona ya Dubai
-sehemu za kulala, sehemu za kutalii,Biashara nk
๐๐ผ๐ผ๐ธ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ธ, Chukua kahawa,Popcorn tuendelee๐
Kiukweli hayajawahi kuwa maamuzi ya siku moja ni RECIPE ya maamuzi na vitu vingi nimekua nikipitia
Chachu ilitoka wapi?
โ๐ ๐ผ๐ก๐ฌ๐๐ฎ๐จ ๐๐๐ค๐ค๐จ๐ ๐ง๐๐จ๐ ๐ฎ ๐๐ง๐๐๐๐ค๐ข ๐ค๐ซ๐๐ง ๐๐ค๐ข๐๐ค๐ง๐ฉ๐๐๐ก๐ ๐จ๐ก๐๐ซ๐๐ง๐ฎ. ๐ผ๐ก๐ฌ๐๐ฎ๐จ.โ
Mwaka 2022/2023 me whatsapp nilikutana na mwanangu @eddygotya akawa ananiambia ashawai agizia watu vitu kibao China na nini.
Mimi nilikua Nairobi wakati huo. Kwa Nairobi ni kitu cha kawaida sana watu wajanja wa mtandao kuOrder aliexpress nk na logistics zimenyooka tu chaap unaletewa mzigo.
Sasa fast forward nilivogeuka bongo tukaanzisha kampuni inaitwa ๐๐๐ฆ๐๐ฆ๐ซ๐๐ ๐๐๐๐๐ tulikua na office SINZA afrika sana pale sokoni junction ya kwenda mabatini. Ilikua inakua ila challenge hazikosekani me nikamwambia mchizi nabwaga akaendelea ila me nikachana nayo
Sasa yeye akaanza kwenda ๐ฟ๐ช๐๐๐ next ikawa China
Kuna siku nikamuuliza kati ya Dubai na China wapi naweza enda nikiwa hata na 5m nikatoboa. Akanyoosha akasema Dubai.
(Usije ukawa na 5m ukadhani pia utatoboa, kwangu ilikua rahisi maana tayari nina wateja plus najua kufanya marketing ONLINE)
Me nikiwaza lifestyle ninaloona mtandaoni la Dubai nitaweza afford kweli nikaona uongo
Mwaka juzi mwanangu @thisiscollins1 alikua Chuo Cyprus akahamia China basi tukaanza kupush tena ecommerce kama kawaida ila logistics ikawa mzozo sana.
(Btw tushaiwafunza watu 1000+ jinsi ya kuOrder vitu china na kuuza๐๐พ youtu.be/lLfA4B5zQpg?si=Tuwdโฆ)
Mwanangu akanambia me niko shule omba VISA njoo hapa.
Sasa me kama wewe na wengi mnaopenda uhakika nikaanza kumuuliza kila move oya usafiri, hotel ngapi bei nk
Huku nauliza @eddygotya kuhusu Dubai pia
NikiCompare hivi nikaona maisha ya China ndo kitonga nitamudu.
Mimi huyo chaap kwenda kuApply VISA ya China
Agent waliniletea miyeyusho ofcoz kama hujui hii sio mara zote watu wamenyooka. Me ni mkorofi niliumana nao haswa hadi nikapata VISA ya China. Hehe
Sasa kubabake ikawa wakati wa Canton fair nauli ziko juu mlima. Yaani nikienda ni kuwa nimalize hela yote nauli afu nibet kupambana ama nisiende
Nikabwaga nikamcheki mwanangu tena @eddygotya nataka kwenda Dubai
Akanambia nenda Dubai focus sana lakini kuuza LAPTOPS. LAPTOPS zina hela miezi nne tu gharama zako zitarudi
Uzuri mambo ya kumarket kwangu sio issue nna watu 1200+ daily wanaangalia whatsapp yangu
Kukosa mteja labda nirogwe.
Siku hiyohiyo nikamuomba mtu wa VISA nikalipia.
Hapo sikuwa na dusko nimetoka kupata mtoto costs kibao bima tu Kenya namlipia ka 2m, dogo mapassport nini mambo buku sielewi.
Nikachek line zangu mbili wakanipa Dusko niAfford bills za hapa na pale.
Mungu hatoki twitter aisee week ya kwanza mauzo bampa to bampa hapo ni whatsapp tu.
Offcourse challenges hazikosekani kama hii niliibiwa hapa๐ (xitter.cf/gabyconscious/status/1โฆ)
Hadi leo me hizi X sijui insta napost tu for visibility ila nauzia ๐ฌ๐๐๐ฉ๐จ๐๐ฅ๐ฅ.
(Learn Whatsapp marketing๐๐พ youtu.be/1ER2REhfhMM?si=uLjmโฆ)
Mwezi wa kwanza nikaishi Nikarudi afu after few weeks nikarudi sasa nipambanie ๐๐ผ๐ ๐๐ฟ ili nisisumbuke kuomba VISA kila mara
Maana trip hii plan ni nipate ghetto(bedsitter) kwa ajili ya kukaa ila pia iwe office kwa maContent yangu.
Hii haikuwa ngumu maana tayari watu wangu wa karibu washaona mzigo nnaopiga, sales nafanya. Wakatia mzigo.
Bana Mungu sio Mark Zuckerberg๐
. Round hii mambo ikajipa
Process ikaanza
๐๐
Gillsant v10 retweeted
Usipotafuta namna ya ku Multiply kipato chako, unajikuta kwenye mzunguko ule ule wa earning and spending, year after year, SADLY.




























