Msikilize Mchungaji, Phd,Owdenburg Moses Mdegela, shule ipo hapo sio elimu mbalimbali na za kudonoadonoa kama ya SAMIA na BASHITE. Hii Spana ni ya PAUL MAKONDA na wahuni wasiopenda Shule na kutweza Elimu za Maaskofu.
🛠️🛠️🛠️👏👏👏👏
Kwa hali ya sasa kama kuna MUHANGA wa Oktoba 29 akijitokeza kuomba msaada ni sawa anajiweka kwenye 'DEATH ROW' kama binti huyu Angel. Bora ndugu na jamii imchangie huko alipo kuliko kumleta mbele ya Umma hawa kina SAMIA wanaweza malizana naye.💔💔
Pumzika Angel💔🕯️😭
Imagine..Imagine Just Imagine !?
Kapelekwa MUHIMBILI tu shughuli ikaishia hapo !?
Harry retweeted
Ingekuwa amri yangu ningemvua Samia madaraka na kinga zote halafu nimkabidhi kwa wananchi.
Huyu mshenzi ameumiza watu kuliko inavyoweza kuelezeka.
Halafu alivyo na moyo wa kipekee, wala hajali. Ndio kwanza yupo busy na maigizo kila kukicha.😡😡😡😡
Mnashindwa kutoa HAKI sawa sawa mnaenda kumfanyia Mungu DHIHAKA ya 'maombi' !?
Unatoa kwanza HAKI maombi baadae, haya maigizo acheni. @judiciarytz
Mungu amemrehemu hakufa ile Oktoba 29,2025, Mmepata adavatage sasa akiwa hospitalini MUMMALIZE akiwa Kitandani.
Kwa kheri Angel 👋😭
MUNGU USINYAMAZE.🙏
Harry retweeted
Fursa imeongezeka! Lazima maandamano ya AFCON iwe kubwa kama makao makuu yatakuwa 🇹🇿👊🏽
#NoJusticeNoAFCON
Niliwahi kusema ili uteuliwe uwe Kiongozi wa serikali ya ccm sifa moja wapo ni kuwa MPUMBAVU na ni kweli.
Unawezaje kufanya 'Majaribio' wakati Meli inawatu wengi namna ile? Haya hapo imegonga yale Mawe. Ingewaka MOTO na watu wakapoteza maisha ? Hawa watu ni WASHENZI sana aisee🚮
73
Harry retweeted
🔴Israeli businessman tied to Iron Dome expansion targeted in alleged Iranian assassination plot - report
✍️ - @yb98news
Read more here 👇
i24news.tv/en/news/internati…
Ila hii nchi, Tume, Kamati,Kikosi Kazi 🙌
VIDEO:
Kufuatia ajali ya meli ya MV New Mwanza kugonga mwamba wa mawe ya jiwe maarufu jijini Mwanza la Bismark Rock lililopo eneo la Kamanga Ferry, Serikali imetangaza kuunda tume ya wataalamu kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha tukio hilo.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Novemba 18, 2026, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, CP Salum Hamduni amesema matarajio yao ni kuhakikisha uchunguzi huo unafanyika ndani ya siku 14 ukishirikisha Wizara ya Uchukuzi, vyombo vya usalama na mamlaka nyingine za Serikali, ili kubaini chanzo halisi cha tukio hilo pamoja na madhara yaliyoweza kujitokeza.
"Napenda kuwahakikishia kwamba sasa kwa uchunguzi wa wataalamu ambao umefanyika meli yetu iko salama na tayari tushafanya mawasiliano na Wizara ya Uchukuzi kupitia kwa Waziri mwenye dhamana, maelekezo ya Serikali ni kwamba utafanyika uchunguzi wa kina kujua sababu halisi na madhara ambayo yameweza kujitokeza," amesema.
Hamduni amesema meli hiyo iligonga mwamba majira saa 4:00 asubuhi leo Novemba 18, 2026 wakati ikiwa katika majaribio ya kawaida ya kitaalamu, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kurejea katika shughuli za usafiri majini baada ya kukaa muda mrefu bila kufanya safari.
Well done IDF @IDF
🚨 TWO HAMAS COMMANDERS ELIMINATED IN PRECISION STRIKES IN GAZA
The IDF and Shin Bet announced the elimination of two Hamas platoon commanders in separate strikes yesterday:
• Ashraf Nayef Muhammad Tabasi
• Saber Nayef Mahmoud Nabhan
According to the IDF, both were involved in planning attacks against Israelis and rebuilding Hamas's terrorist capabilities in violation of the ceasefire agreement.
Hamas continues attempting to rebuild its military infrastructure despite the ceasefire, according to Israeli intelligence.
Source: IDF | Shin Bet
29
Hizi kesi zinamsaidia nini SAMIA ?
Walau basi kama angekuwa na Ubongo unaofanya kazi angekuwa anawaachia au kuwafutia kesi hizi wanaCHADEMA ili wajue moja. Ila akili imejaa mipango ya Kuua na Kuteka anaendelea kubambikia wanachadema UGAIDI. Huyu mtu ni timamu kweli ?
Wengine watatu waunganishwa na Mwenyekiti Bavicha kesi ya ugaidi mwananchi.co.tz/mw/habari/ki…
93
Museveni ni Muuaji.
Shame on you @KagutaMuseveni
Kaka @Liberatus80 cha ajabu hata haya matokeo ambayo SAMIA amevunja rekodi ya Chaguzi zote za Tanzania hayapo kwenye Website ya @TumeUchaguziTZ . Huu ulikuwa ni Ushenzi na Aibu.
samia suluhu hassan chairs her own ‘reconciliation’ at State House with the parties that got almost nothing. CHADEMA stays out. Lissu stays in prison. This is not a neutral process, it is the accused writing the script.
#FreeTunduLissu #TanzaniaMassacre #Accountability
Harry retweeted
mimi nawatia moyo chadema, na kuwasihi kuendelea. nawashukuru sana, sana, kwa uwepo wao, na kwa gharama wanazoendelea kulipia, na kutulazimisha, kama taifa, kutafakari endapo kama tulianzisha vyama vingi kama mbwembwe tu au kufanikisha demokrasia ya kweli:
Mimi naamini kabisa hata wale raia waliopigwa Risasi wengi wao walizikwa wakiwa bado hai.
Imagine...mtoto huyu alikuwa amepooza,Ghafla tu amefariki !? 💔😭
🚨‼️SAD NEWS‼️
Another witness and victim of #MO29 massacre has died unexpectedly! Angel recently gave an interview with her mother about her ordeal!
TANZIA: ANGEL WARIAELI AFARIKI DUNIA AKIWA MUHIMBILI
Dar es Salaam. Binti Angel Wariaeli, aliyepata majeraha katika tukio la Oktoba 29 na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya matibabu, amefariki dunia.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa leo na mmoja wa wanafamilia wake wa karibu, ambaye ameeleza kuwa Angel amefariki dunia akiwa bado anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali hiyo.
Hadi sasa, uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na mamlaka za Serikali zinazohusika na usimamizi wa matibabu yake hawajatoa taarifa rasmi kuhusu kifo hicho. Juhudi za kupata ufafanuzi kutoka kwa mamlaka hizo zinaendelea.
Poleni familia na wote walioguswa na msiba huu.🙏🏽
Rest in peace Angel👼































