Soaring Eagle 🦅 (@IanTarimo) header
Soaring Eagle 🦅 (@IanTarimo) profile picture

Social Entrepreneur l Leadership Impact Award Winner @WashFellowship l Builders of Africa Future Awardee #Chevener #SoaringEagle 🦅

Tanzania, East africa
Joined August 2010
Photo by Soaring Eagle 🦅 (@IanTarimo)Photo by Soaring Eagle 🦅 (@IanTarimo)
80 Storytelling Hooks To Make People Stop Scrolling:
51
615
27
4,565
237,051
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Mwaka 2012-2014, Tsh 120 bilioni zilitumika ku-fund mchakato wa katiba mpya. Tume ya Jaji Warioba iliundwa ikiwa na wajumbe 34, mmojawapo wa wajumbe kutoka bara alikuwa Polepole, lengo ni kukusanya maoni ya wananchi kuhusu kipi kiwe kwenye katiba mpya. UZI🧵👇🏽
2
21
2
36
1,564
Soaring Eagle 🦅 retweeted
General Relativity Gravity is not a force at all. It is the geometry of space and time.
2
22
2
134
21,330
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Anachokiongea Ruto hapa ndio kile kile tunachokishangilia na kukilipia mabilioni Tanzania bila kujali madhara yake kwa mamilioni ya watanzania. Mpaka VETA wanatumia kiingereza kama lugha ya kufundishia. Yani anayeongea na anayeongeleshwa wote hawaelewi kinachoendelea lakini wanalazimika kwenda tu kwa sababu “kiingereza ndio sera ya Elimu.” Miaka 65 ya uhuru lakini bado hatuna uhuru wa kujifunza na kufundisha kwa lugha yetu.
15
57
4
457
30,868
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Putain, c'est vraiment dingue. On a demandé à Dario Amodei, le CEO d'Anthropic, ce que devrait faire un jeune qui sort du lycée aujourd'hui. Sa réponse : « L'IA sait faire le boulot d'un juriste débutant. Celui d'un analyste financier débutant. Celui d'un consultant junior On ne peut pas nier qu'elle va aussi supprimer des emplois, et sans doute en grand nombre » En quelques minutes, il cite les métiers qui sauteront en premier et LA compétence qui te garde dans la course Sa propre prédiction : 50 % des postes de cols blancs débutants bouleversés d'ici 1 à 5 ans Prompts → Agents → Collègues IA → Travail des juniors fait par l'IA Passer des champs aux usines a pris des générations. Cette fois, l'IA frappe toutes les étapes d'une carrière en même temps Son conseil tient en une ligne : « Évidemment, apprendre à se servir de l'IA » Ceux qui s'y mettent cette année ne seront pas en concurrence avec l'IA : ce sont eux qui la piloteront Tout ce qui suit est gratuit. Commence aujourd'hui : Anthropic - Prompt Engineering Interactive Tutorial : le moyen le plus rapide d'apprendre à diriger un modèle github.com/anthropics/prompt… Anthropic Courses : de ton premier prompt jusqu'au pilotage d'agents github.com/anthropics/course… Anthropic Cookbook : des recettes concrètes à copier dès aujourd'hui github.com/anthropics/anthro… Microsoft - Generative AI for Beginners : 21 leçons, aucun diplôme requis github.com/microsoft/generat… Microsoft - AI Agents for Beginners : construis des agents qui font le boulot de junior à ta place github.com/microsoft/ai-agen… Hugging Face - Agents Course : gratuit et certifiant, de A à Z github.com/huggingface/agent… Google Cloud - Generative AI : les notebooks pratiques signés Google github.com/GoogleCloudPlatfo… OpenAI Cookbook : du code pour chaque tâche courante github.com/openai/openai-coo… DAIR.AI - Prompt Engineering Guide : la référence que tout le monde partage github.com/dair-ai/Prompt-En… Andrej Karpathy - Neural Networks Zero to Hero : pour comprendre ce qu'il y a sous le capot github.com/karpathy/nn-zero-… CrewAI : fais tourner une petite équipe de travailleurs IA github.com/crewAIInc/crewAI Microsoft - AutoGen : mets plusieurs agents sur une même tâche github.com/microsoft/autogen Awesome LLM Apps : des centaines de projets concrets pour apprendre github.com/Shubhamsaboo/awes… DeepLearning.AI - Short Courses : des cours gratuits d'une heure, par ceux qui enseignent le sujet deeplearning.ai/short-course… Coût total : 0 € Pas besoin d'une année d'études de plus pour apprendre ça. Ce qu'il te faut, c'est commencer à dire à l'IA quoi faire 95 % vont décrocher leur diplôme et se battre contre l'IA pour le même poste junior Les 5 % qui apprennent à la piloter cette année manageront les agents qui font ce boulot Enregistre ce post et envoie-le à quelqu'un qui finit ses études cette année
134
1,215
48
5,498
805,035
Who is this guy? I’m a huge new fan. Whoever that despicable woman is married to should divorce her immediately
537
2,598
208
12,642
511,075
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Msomi: Unajua mnakosea sana kusema maendeleo yanahitaji uwazi, demokrasia na haki za binaadamu ona China wanavyoendelea bila hayo mambo. Tuchukue mfumo wao. Mjomba: China wananyonga mafisadi kwa makosa ya rushwa. Tuige pia? Msomi: Aaah! Kunyonga ni ukiukaji wa haki za binaadamu!
8
23
1
84
4,022
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Listen to this. And then listen again. And again. Until you get it.
1,161
9,825
505
34,732
1,985,942
Soaring Eagle 🦅 retweeted
She left this note under the bill for the waiter and they were p!ssed 😬. Was she wrong to say this?? What do you think? 🤔
Readers added context they thought people might want to know
This image and story are AI-generated/fake, not a real event or customer's note as presented. brobible.com/culture/articl…
1,567
494
88
6,976
2,062,116
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Dikidikini village in Eastern Cape, South Africa, doesn't have a bridge, so people cross the river inside a blue plastic drum!! This is so fkd up Writer: Ian
4,504
5,727
2,708
28,108
9,526,159
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Botswana President Duma Boko has called for the word ‘diamond’ to be reserved exclusively for naturally mined stones, arguing that laboratory grown alternatives should not be marketed under the same name. instagram.com/reel/DffbgISOK…
9
49
12
167
17,940
Soaring Eagle 🦅 retweeted
👇
23
136
1
678
15,929
Soaring Eagle 🦅 retweeted
THIS is the young man who is the first Texas Democrat in 38 years to win a seat in the US Senate. Elon Musk poured over $200 MILLION into preventing this from happening and he FAILED 💙 James Talarico, ladies and gentlemen.
66
757
87
4,745
361,597
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Kuna thamani kubwa katika kuwa mtu anayefanya kazi kwa vitendo (operator) kabla ya kuwa mtoa maoni (commentator). Ukishawahi kuajiri watu, kulipa mishahara, kuuza, kukosa wateja, kutengeneza bidhaa na kusimamia fedha, unaanza kuutazama uchumi kwa jicho tofauti. Tatizo wengi ni watoa maoni.
6
10
7
71
7,131
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Stephen A. Smith PRESSES Abdul El-Sayed on Abolishing ICE — Then Gets a Firm Answer on Open Borders Stephen A. Smith: You’ve said the only way forward is to abolish ICE and start from scratch. What does that mean? Dr. Abdul El-Sayed: Let me be clear: I believe we ought to have a safe, secure southern border. I believe you ought to enforce immigration law, but not through masked men with AR-15s acting against the Constitution. ICE didn’t exist before this century. It’s not part of the Constitution. ICE is not about immigration. It’s about making a show of immigration and normalising paramilitary force on our streets. I believe we need to undo it and build a system that enforces immigration law while respecting the Constitution. Stephen A. Smith: Is there any condition under which you think open borders are acceptable? Dr. Abdul El-Sayed: No. You have to have borders that you can control. There’s no question about that. People think ICE is about border enforcement, but it’s not. Customs and Border Protection enforces the border. ICE handles immigration enforcement inside the country. I went to Minneapolis during the height of Project Metro Surge. Some of the things I saw, I never thought I would see in the United States of America. We can’t allow that to continue.
1,201
2,209
278
27,755
4,946,467
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Gospel Tanzania wanaweka standard ya juu sana ya live performance
4
8
1
75
3,024
Soaring Eagle 🦅 retweeted
TANAKATA RUFAA!
7
172
3
921
35,413
Soaring Eagle 🦅 retweeted
6.11.2026: Hukumu ya TUNDU LISSU NA KUMBUKUMBU YA KESI YA MWALIMU NYERERE YA MWAKA 1958. HISTORIA INATUFUNDISHA NINI? Leo, tarehe 6 Novemba 2026, Tundu Lissu ameshinda kesi ya uhaini lakini mahakama ikasema amepatikana na hatia ya uchochezi (incitement) na kuhukumiwa kifungo cha miaka 4. Tunamshukuru Mungu kwa kesi ya uhaini kutupiliwa mbali na kumpongeza Lissu kwa umahiri na ujasiri wake hadi kujitetea. Lakini hukumu ya uchochezi inasikitisha, inafikirisha na inatukumbusha historia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, ambaye naye mwaka 1958 alikutwa na hatia ya jinai ya kashfa (criminal libel) wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Makosa haya mawili ni tofauti kisheria, lakini kesi hizi zinafanana katika jambo muhimu: zote zilihusu kiongozi mkuu wa upinzani aliyeshtakiwa na Serikali kutokana na kauli zake za kisiasa. Turejee historia. Tarehe 27 Mei 1958, Mwalimu Nyerere alichapisha makala katika gazeti la Sauti ya TANU, Toleo Na. 29, akiwakosoa Wakuu wawili wa Wilaya wa Serikali ya kikoloni kwa madai ya kutumia madaraka yao vibaya na kuihujumu TANU. Akafunguliwa kesi ya jinai Na. 2207/1958 chini ya kifungu cha 187 cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code). Serikali ya Uingereza ilitoa maelezo kuhusu mashtaka hayo katika Bunge lake (House of Commons) tarehe 26 Juni 1958. Nyaraka za UN zinathibitisha kwamba Mwalimu alikutwa na hatia katika mashtaka mawili na kuhukumiwa kulipa faini ya shilingi 3,000 za Afrika Mashariki, sawa na pauni 150 za wakati huo, au kifungo cha miezi sita. Alilipa faini tarehe 12 Agosti 1958 na hakukata rufaa. Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa. Wanaharakati wa kupigania uhuru huko London walihoji iwapo Mwalimu angepata haki katika mahakama za kikoloni na kudai kuwepo kwa waangalizi huru. Serikali ilikataa, ikisisitiza kuwa uamuzi wa kufungua mashtaka ulikuwa chini ya mamlaka ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Miaka 68 baadaye, tunajikuta tena tukitafakari maswali kuhusu uhuru wa kisiasa, matumizi ya sheria za jinai na nafasi ya mahakama katika mfumo wa kidemokrasia. Pamoja na hukumu ya mwaka 1958, Mwalimu Nyerere aliendelea na harakati zake hadi Tanganyika ilipopata uhuru mwaka 1961. Funzo muhimu ni kwamba hukumu ya jinai dhidi ya kiongozi wa kisiasa si lazima iwe mwisho wa safari yake ya kisiasa. Historia inaonesha umuhimu wa kuendeleza majadiliano (dialogue) badala ya mapambano na vurugu (confrontation). Kwa wanaothamini demokrasia, mfumo wa vyama vingi, haki za binadamu, uhuru wa kujieleza na utawala wa sheria, hukumu ya uchochezi dhidi ya kiongozi mkuu wa upinzani inaibua maswali mazito yanayohitaji mjadala mpana wa kitaifa. Je, mipaka kati ya ukosoaji halali wa Serikali na uchochezi wa jinai ikoje? Je, mwanasiasa awe mpinzani au wa chama tawala atakosoa je Serikali au kudai maboresho au mageuzi bila kuhofia kutafsiriwa kuwa mchochezi? Je, wananchi watawezaje kudai haki zao kwa nguvu ya hoja bila kuonekana wanachochea uvunjifu wa amani? Walimu na wanataaluma tutawezaje kufundisha, kuchambua sera, kutoa mapendekezo na kukosoa mifumo ya utawala bila kuhofu kuitwa wachochezi? Viongozi wetu wa dini watawezaje kutekeleza wajibu wao wa kinabii wa kukemea maovu na kusimamia haki bila kuonekana wanachochea waumini wao? Uhuru wa kujieleza una mipaka yake na hauhalalishi haki ya kukashfu, kuchochea vurugu au uhalifu. Lakini ni muhimu sana kuweka mipaka iliyo wazi kati ya uchochezi wa jinai na ukosoaji halali wa kisiasa. Iwapo sheria za jinai zitatumika kudhibiti ukosoaji halali wa kisiasa au kitaalamu, tunaweza kujikuta tunadhoofisha demokrasia, haki za binadamu, kuongeza hofu na kuzidisha mkwamo wa kisiasa na kiuchumi badala ya kuutatua. Hukumu ya leo inatupa sababu nyingine ya kujadili kwa kina uhuru wa kujieleza, uhuru wa mahakama, haki za raia na za vyama vya upinzani na mipaka ya matumizi ya sheria za jinai katika siasa. Ninarejea msisitizo wangu wa muda mrefu kuhusu falsafa ya Rais Samia ya 4Rs. Tujenge utamaduni wa kusikilizana na kukosoana kwa hoja TUJISAHIHISHE
61
364
14
1,083
30,486
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Leo ni BLACK FRIDAY. Mahakama Kuu inapotoa uamuzi kuhusu tafsiri ya sheria, uamuzi huo unaweza kuwa na athari kwa kesi zijazo, hasa katika Mahakama za chini. Uamuzi wa leo uliotolewa na Mahakama Kuu una hatari ya kuwa judicial precedent itakayotumiwa na Mahakama za chini katika kuamua kesi zijazo, Uamuzi huo utaathiri kwa upana zaidi haki ya washtakiwa wanaoshindwa kutiwa hatiani kwa makosa makubwa waliyoshtakiwa nayo. Kwamba sasa imewezekana mtuhumiwa kufikishwa mahakamani kwa kosa kubwa, akanyimwa dhamana na kukaa mahabusu kwa takribani siku 577 Wakati mtuhumiwa akisubiri haki yake atakuwa akitokea gerezani kwenda mahakamani. Kwamba, mtuhumiwa atapoteza uhuru wake wakati wote. Upande wa Jamhuri ukishindwa kuthibitisha kosa aliloshtakiwa nalo, Mahakama inachukua ushahidi huo huo na kutengeneza kosa jingine dogo, Halafu Mahakama inatoa hukumu ya kifungo gerezani bila fursa ya kulipa faini. Hakimu atafanya rejea ya kesi ya Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu. Unafungwa gerezani kwa kosa ambalo hujashtakiwa na hujawahi kusikilizwa popote. Unabadilishiwa kosa lako ukiwa kizimbani na unahukumiwa kifungo. Hii ni siku mbaya sana kwa utawala wa sheria, haki ya kusikilizwa na misingi ya utoaji haki. Kama unaona haikuhusu, itawagusu ndugu, jamaa na rafiki zako
21
245
1
1,014
33,387
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Tanzania yapata uhakika wa mkopo wa dola bilioni 1.2 wa kipande cha reli ya SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB).
Tanzania Secures $1.2 Billion for Tabora to Kigoma SGR With AfDB's Largest Credit Guarantee. Read: uchumi360.com/inf/l/tanzania…
9
9
1
79
6,210