Idris retweeted
Replying to @IdrisSultan
Kaka kukusaidia kuweka rekodi sawa hiyo ilikuwa hashtag ya kukusanya maswali kwa ajili ya @papokwapapotz podcast ya @PapiChulo_Chuly na ulipokea maswali mengi ya kidwanzi ikiongozwa na @DancingMulumbu youtube.com/live/vGBflWkRSZA…
As you speak your truth, have your true face on to match the wisdom. No one will be able to speak “your” truth more than “yourself”. Heart to Heart ⚡️
A big mistake becomes an even bigger mistake if the solution is just another mistake. Now a solution to a bigger mistake is where you need to pause the deepest in thoughts with both your mind & heart before you turn the bigger to be the “BIGGEST” mistake of your life.
The TRUTH is the only thing that shall last forever so maybe we should start getting used to speaking just that.
I am more likely to say “Bon apres midi” in the Morning. So I advise not to be given a french mic @annesophieave 😅
“Idris Paris Sultan”
Last saturday hosting “Trace Masterclass Tanzania” 🤍
Idris retweeted
Zinaa, uasherati, na umalaya umehalalishwa na kuzoeleka sana katika jamii kiasi kwamba mtu asiye na hizo tabia anaonekana either ana matatizo au ni mtakatifu sana, wakati ni uungwana wa kawaida kbs.
Every successful direction you plan in your life, make sure it only takes you forward and up with love.
Mwanaume ni kiumbe aliyeumbwa na Mungu aje afanye kazi. Ataifanya kwa mapenzi sana huku fahari yake kubwa ikiwa ni katika kuiacha dunia ikiwa bora kuliko alivyoikuta. Kwahiyo nikisikia watu wanaulizana “Kati ya mimi na wewe nani mwanaume zaidi?”, natumai watakuwa wanamaanisha hiki.
Umuhimu wa kumshukuru Mungu tuu na sio kumuomba ni busara ya kuelewa kuwa kuna mengi amekufanyia unayajua ila kuna mengi zaidi huyajui. Mshukuru zaidi ya kumuomba.
Idris retweeted
No matter where life takes me, Tanzania is always my compass. From day one, I promised myself to always return, give back, and do business here. I never wanted to be a stranger in my own country. It hasn’t been easy balancing life and work between two worlds, but I’m proud I kept my word. Tanzania will always be my first home and I love my country so much ❤️🇹🇿
Idris retweeted
This chapter ends. The story doesn’t. Because failure is a pause. Not a period.
We stumble. We breathe. We rise again.
Even the strongest waves retreat before they strike again.
Today was not ours, but tomorrow might be.
Kwavile kuna kipindi katika maisha yako kuna watu walikuvumili basi ni muhimu sana ukajifunza kuvumilia wengine sasa.









