Nothing is impossible

Joined December 2025
Kapcut 13,000/= Kanva 5,000/= Google AI Pro (Gemini, Flow AI..) 50,000 - Mwaka na miezi 6 Piga: 0622 032 919
2
5
1
15
2,283
The Godfather retweeted
Unachokiona kama udhaifu wako leo kinaweza kuwa sababu ya watu kukuamini kesho. Changamoto ulizopitia zinaweza kuwa nguvu ya brand yako. Here’s my POV: 🧶👇🏾
1
5
13
253
Chatgpt na Canva. Unaandika prompt yako Chatgpt anakutengenezea poster kali. Ukiona haijakaa vizuri Rangi rangi ni nyingi, typography haieleweki Unamwambia chatgpt akupe link ya hiyo design then unaifungua Canva. Unaanza kui edit hiyo design utakavyo. Simple sana.
1
7
33
896
Narudia tena Usikubali ufanye kazi kwanza ndio ulipwe. Hasa wale waliopo kwenye creative industry. Unafanya kazi baadae mtu anakwambia SIJAIPENDA halafu kesho na kesho kutwa unaona ameitumia sehemu 💔 Kwa usalama zaidi weka Watermark katikati ya hiyo kazi.
3
2
17
713
Kwenye kupambana kuna muda utafika na kuona ka dunia imakuacha peke yako. Hakuna msaada wowote. Mambo yamekutinga, huioni kesho yako. Ukiwaangalia lika lako tayari wamepiga hatua. Hii hali kila mwanaume huwa inamtokea. Kikubwa have faith, piga kazi.
1
3
14
358
One day we will sit together and say "It was hard but we made it".
6
74
The Godfather retweeted
Video Editors Claude ana ujumbe wenu hapa. SwahiliPOS Ad.
1
1
1
6
287
The Godfather retweeted
Usiibe mke/mume wa mtu ukaanza kutembea naye kingono au kuishi naye kama mwenzi wako, unakaribisha matatizo makubwa kwenye maisha yako. Mungu anachukizwa sana na tendo hilo baya, hili tunajifunza kwa Daudi aliyemchukua mke wa Uria Mhiti, tunaliona kwa Abimeleki na wengine wengi.
5
15
45
1,192
Waarabu na wahindi siyo watu wakuwachekea hasa ukiwa unanunua huduma au unaagiza bidhaa. Wanaweza kukuuzia vitu fake na hauna pa kumpeleka. Experience imenifunza vitu vingi.
3
13
272
Nimeona jamaa anasema. "Itengenezwe App ambayo mtu ataweza ku upload bills zake ambazo hajalipa. Kuna watu wanapesa hadi wanashindwa wazipeleke wapi. Hivyo wataingia kwa hiyo app na kulipa hizo bills." Wewe unaamka asubuhi everything is sorted. Hii idea kali sana.
14
889
Tutafute hela aisee Anasa ni kuwa na utulivu wa akili 🙌
Anasa ya kweli maishani ni kuwa na utulivu wa akili na amani ya moyo. // The greatest luxury in life is a peaceful mind and a heart at ease. #Mo #Weekend
7
158
The Godfather retweeted
“ Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, Bwana asingekuwa amenisikiliza; lakini hakika Mungu amenisikiliza na amesikia sauti yangu katika maombi.” Zaburi 66:18-19 NEN
8
24
48
665
The Godfather retweeted
Replying to @John_zedev
Actually according to my experience.... It way cheaper to build than get returning customers.
1
1
1
6
Siku moja moja ukipata nafasi tukumbukane. Nitalipa bodaboda achana na mwendokasi, usijibanebane. 🎶
5
147
The Godfather retweeted
Chukua simu yako andika hii namba +255 757 959 760 Akipokea mwambie ninaweza pata Mkulima Wine Lita Moja nina Elfu Kumi , Je inawezekana ???
3
11
4
18
1,068
The Godfather retweeted
Sisi tunakupa Nyama pilau Hapa ni @aeso_kitchen Hiyo ni Sinza Makaburini jirani na Kanisa la EAGT Namba ni hii +255 767 607 887 Unaweza piga kutupa taarifa ya ujio wako
3
6
10
213
The Godfather retweeted
Ukihitaji Mbegu za Kitunguu saumu, Kitunguu maji utazipata kwangu K/saumu Gunia Tsh 200,000/= K/Maji debe 1 Tsh 300,000/= ☎️: 0682658925
3
1
4
419
Watu wa mkoani wanaamini DASLAM kila kitu bei chee. Ukiwaambia bei tofauti na iliyo kichwani mwao wanaanza kukuona tapeli 🤗
1
8
159
Building a product is one thing, getting customers is another thing. In short the first is simple than the other.
1
5
170
The Godfather retweeted
Good morning people. Wake up and start the day with a workout 💪 will give you strength an̈d confidence to attack the day.
6
6
10
216
The Godfather retweeted
Punguza comparison (hasa mitandaoni) Fuatilia watu wachache wanaokujenga, sio wanaokudhoofisha Comparison uwa inapoteza focus ya kukua na kukuibia furaha yako. Jifananishe na wewe wa jana yako.
4
12
1
38
709