KIDEVU (@KEYDEVU) header
KIDEVU (@KEYDEVU) profile picture

SIJUI MNANIELEWAA!?πŸ“šπŸ—οΈ

Tabora, Tanzania
Joined November 2023
Kipindi naanza biashara mtaji ulikuwa 30k/=nimetembea sana kwa miguu mbezi to Gomz,mtaji ulikuwa ukikatika naomba msingi kwa mama walau 20k=hadi alinichoka akawa ananipotezea ndipo nikanza piga saidia fundi,kuiba mchanga barabarani usiku nauza ili nipate 30/=tena ya msingi!πŸ˜πŸ™ŒπŸ—οΈ
27
28
2
186
16,292
Ni zamu yangu sasa leo kuwatakia Happy new year,huwa napenda kujitofautisha na wengi!!πŸ˜πŸ—οΈ
27
32
2
106
3,891
πŸ—οΈ
π—™π—”π—‘π—§π—”π—¦π—§π—œπ—– π—ͺπ—”π—Ÿπ—Ÿπ—£π—”π—£π—˜π—₯ π—ͺπ—”π—Ÿπ—Ÿπ—£π—”π—£π—˜π—₯𝗦 𝗧𝗛π—₯π—˜π—”π——π—¦ π—Ÿπ—˜π—§'𝗦 π—šπ—’
1
1
1
97
Replying to @Jaja__17
kaka ukijua hakuna wa kukusaidia zaidi ya wewe mwenyewe ,ukaondoa aibu,ukahakikisha unapata pesa kila siku iwe mvua iwe jua na una save kiasi kidogo kila siku amini nakupanga unasogea hatua mbele!!nimehaso sana miaka hiyo chakakwachaka daily niweke pesaπŸ’ͺ
1
7
453
Replying to @UPPIEwaj7
kaka ndioamana hua hamuamini hata madini yangu maana nilivyo haso hakuna kijana anaweza fikiriaπŸ˜‚hii picha ndio siku naanza kuhaso na hiyo 30k nilikuwa natembeza mafuta toka kimara kwa miguu mpk gongolamboto😒
1
3
431
Nilianza na mtaji wa shilingi 30000/=miaka 8 iliyopitaπŸ—οΈ
33
44
9
227
17,050
Jobless mwenye mawazo ya kufanikiwa!!Sijui mnanielewaaπŸ˜‚
13
29
50
1,118
unaweza ukaishi mwembe yanga na bado ukawa shabiki wa simba!!😁
13
31
36
762
Ukikubaliana na kwamba changamoto ni sehemu ya maisha huwezi kutoka kwenye malengo uliyojiwekea!!
6
13
22
513