s∆int ✝️ retweeted
Hizi Golf T-shirts ni definition ya Simple but Classy! 👌🔥
Unaweza kuzivaa na jeans, short pants au suruali ya kitambaa.
Unazivaa sehem nyingi kama casual outings, lunch dates, office na
Stock ipo. Karibu inbox ujipatie yako kabla hazijaisha.
Whatsapp: 0717112545
s∆int ✝️ retweeted
Replying to @sportybettz
@sportybettz Mmeamkaje?
Nime withdraw Sadaka mara moja naenda Kanisani. 😁
s∆int ✝️ retweeted
Mmoja naona kaanza utapeli, kwenye masuala ya betting. Anatoa sure odds buana kampuni hata haieleweki.
Pale atadaka maboya tu😄😄
s∆int ✝️ retweeted
Kama jana nilipost hadharani kusema nimechukizwa kwa kilichotokea, basi na leo napost tena hadharani kusema bidhaa zenu zipo kwenye standard na quality za Kimataifa.
Tumieni hizo criticisms kuwajenga ki biashara! Naamini mtafika mbali zaidi. Msichoke @45MinStore
Pigeni kazi💪🏽
s∆int ✝️ retweeted
Enzo Jeremías Fernández will go down as the most useless, unimportant, unneeded, pointless, ineffective, superfluous, inconsequential and redundant signing in the history of Manchester City Football Club.

































