Mwanaisha Chidzuga -DGS (@M_Chidzuga) header
Mwanaisha Chidzuga -DGS (@M_Chidzuga) profile picture

Official X of the Deputy Government Spokesperson- Government of Kenya. #Media , Communications Strategist #United Democratic Alliance (U.D.A) #WomenRep2027-002

Nairobi, Kenya
Joined July 2009
Usawa ni Sawa ✌️✌️
1
2
233
Baada ya kuruka viunzi na maji na kuidurusu katiba ya kidhahania ,ghafla bin vuu ndugu Mfa maji alijikuta katika barabara tambarare ya lami safi kilomita chache kati kati ya msitu wa Shimbahills iliyofika hadi mjini Kwale madukani..Ishara tosha ya kuwa ujenzi wa barabara kuu ya Kinango Kwale unaendelea na unatarajiwa kukamilika hivi karibuni...Lakini kwa kuwa mwanga wa maendeleo ya @WilliamsRuto unaendelea kuwa choma macho na kuwatia tumbo joto iliwabidi wapinzani wavalia miwani za mbao na kuweka busati la katiba inayoishi katika fikra zao ili wapate kisingizio kuwa maendeleo yanangaa mno mpaka hawaoni .#LinawachomaSoma #UsawaNiSawa
1
2
446
Kwa niaba ya familia yangu na @Hon_Mungatana Pokeeni shukran za dhati kutoka kwetu.Tunamshukuru Mungu kwa Kila jambo.
1
2
1
4
1,669
Gumzo la kitaifa- Sekta ya Afya Nchini. Je huduma za afya Bora kwa wote Taifa Care pamoja nahuduma zengine katika sekta ya matibabu manufaa yake ni yapi na vipi kama taifa tutaweza kuboresha zaidi? Kenya Iko tayari kwa Ruwaza #BeyondVision2030
8
2,034
Siasa za Utendakazi Uwajibikaji na kuweka masilahi ya Taifa la Kenya na Wakenya mbele Ndio itakayo mpa Rias @WilliamsRuto kipau mbele katika kuteuliwa tena kwa awamu ya pili kama Rais wa Taifa endelevu lenye maono ya leo na kesho la Kenya
2
2
1,491
Miaka Minne ya Kenya Kwanza...Vifijo nderemo jasho na machozi...Lakini Yote Tisa Kenya Iko imara na Iko kiwango Bora kuliko ilivyo kuwa miaka 4 iliyopita. #BETABetterPamoja2027
1
2
996
Gumzo la Kitaifa...Better Kenya Pamoja #BeyondVision2030 Ruwaza2030⏩2060 Endelevu
1
2
1,342
Ya mgambo imelia...na Tuko na jambo letu kama wakenya Ifikapo Tarehe 12 Agosti 2026 . Ruwaza Endelevu ya Taifa la Kenya... #GumzoLaKitaifaKenya #Better BETAPamoja🇰🇪 #Ruwaza2030⏩2060
4
2,958
#RuwazaYaKenya2060 Mustakabali wa Kenya unajengwa sasa. Kenya imeweka ramani ya miaka 30 kuigeuza nchi yetu kuwa kitovu cha uchumi mkuu kupitia kilimo , viwanda vya ndani, na teknolojia ya kisasa. Kama sio SASA ni Sasa HIVI
1
6
1,422
"Yani mnatuambia tusijenge affordable housing kwa sababu kuku haiwezi kupanda gorofa?" ~President Ruto
4
4
1
18
4,443
Uteuzi wa maafisa wakuu katika serikali ya Kenya. Hongera @SpokespersonGoK @OwinoCharles041 Karibu #MawasilionoSerikalini.
1
3
7,682
Vijana wenye NYOTA zao waendelea kushamiri katika biashara ndogo ndogo na Kuimarisha Maisha yao hata zaidi.Shukran Rais Dr @WilliamsRuto
1
1
310