Pinned Tweet
Mi nawwpenda sana wa mama /wanawake/ wadada qa rika zote kwasababu ndo walionifanya niitwe King ktk dunia hii Wakati nikiwa kwenye mapambano magumu ya utafutaji. Lkn baadhi mnaniangusha pale mnapoamua kutenda matendo yasiyo ya huruma kwa jamii zetu. Wanawake hamjaumbwa hivyo 1/2
Kuna vijana wa chadema humu ni wa kukamata kama kuku wa kichina lkn wapo mbele kutoa matusi ya ajabu kwa viongozi. Mkitiwa nguvuni hiyo hashtag ya #freezogomoko haitakusaidia. Mwangalieni Pambalu na yule dada wa Nzela wapo jela na chadema wamekula buyu🤣🤣🥰
9
5
1,114
Tofauti ya Nelson Mandela wa SA na Mandela wa mchongo ni hii mandela halisi alitetewa na watu weusi, Mandela wa mchongo anatetewa na wazungu, mandela halisi alikaa jela miaka 27 chiba hata mwaka mmoja bado anataka rufaa, mandela halisi hakuchonganisha umma chiba kachonganisha
Kipusa wa Tarime tayari katimiza lengo🤣🤣 yani hata hawakusubilia wiki 1 ipite waone upepo yan Chiba anapigwa 4 yrs tayari kipusa wa tarime kashakuwa chair wa chama huku kibamia kawa msaidizi. 🤣🤣🤣
1
121
Niombe kosa la uhaini liwe na adhabu ya kufungwa maisha jela au kulipa fine 3 trion. Issue ya uchochezi iwe na miaka 5 au bilioni 5 nadhani hapa tungepiga mpunga wa kufa mtu
1
2
366
Binafsi sikutaka Lissu afungwe kunyonga au maisha, lkn nilitaka afungwe miaka 5 hadi 10 ili liwe fundisho kwa wengine ambao wao wanaona kujua sheria ni sababu ya wao kuchezea uhai wa Taifa. Hii adhabu bado ni ndogo wangemfunga na fine ya 5b ili wanaompenda wamchangie tupate pesa
1
163
Miaka minne inapunguzo la mwaka 1 na miezi 4 hivyo anatumikia miaka 2 na miezi 8 jela. Labda akutane na msamaha wa mh Rais apunguziwe miezi 8 tena abakie na 2 kavu hapo anaweza kutoka 5 Nov, 2028 au 5 aug, 2029
Amehukumiwa Miaka MINNE. Wanasheria mnasemaje hapa?
Je, Mahakama ita consider mda aliokaa Lupango(1.5years)? So, 2028 ndio atarudi Uraiani? Au hadi 2030?
3
407
Nasikia tayari ameshapewa na namba ya mfungwa, jumatatu uhamisho kwenda kingulugundwa akalime na kuzalisha kama alivyopendekeza akiwa mbunge
2
166
Mmoja aliua watu 518 na mwingine 191 lkn hukumu zao zimetolewa siku moja na aliyeua wachache kapigwa mvua ya miaka 200 na aliyeua wengi kapigwa miaka 4 nani hajatendewa haki?
10
6
1,595
Kimemlamba🤣🤣🤣
BREAKING NEWS : Kauli ya kukinukisha Mahakama imemkuta na hatia Tundu Lissu kwa makosa ya Uchochezi na sio uhaini kwa mujibu wa sheria za uchochezi anaweza kuhukumiwa kifungo chakuanzia miaka 5 hadi 10.
Jaji anasema "Kauli ya mshtakiwa kukinukisha alichochea na kuzaliwa matendo ya kuzuia uchaguzi wa mwaka 2025
226
Kuna muda mke anakonga moyo wako mpaka unatamani uongeze mke wa pili ili upate raha zaidi kumbe wanawake wa namna hii ni nadra kupatikana hata kanisani na misikitini wamejaa chui wanaolarua mioyo ya wanaume wanakufa mapema
182
Replying to @MankindUwezo
WAMEZIDI HAWA VIJANA WA @CHADEMA HAWANA MAADILI ZAIDI YA KUBWABWAJA MITANDAONI KAMA WANAHARISHA NA HAWAJUI MIPAKA WALA MAKOSA YA JINAI WAO WANAJILIPUA TU BAADA YA KUDANGANYWANYWA WAKITUJANA WATU MITANDAONI NA KUSEMA VITU VYA UONGO NDIO WATAPEWA NCHI WAONGOZE...
Dr Kwala Liwengo retweeted
Ila vijana wa CDM mnashida kubwa, mpaka mje kujua kuwa mnatumika kwa faida ya wach1che mtakuwa mshateketea
Dr Kwala Liwengo retweeted
Nashukuru sana kwa mlionipenyezea press ya nabii. Hili jambo siku zote nimekuwa nikiwaambia chadema kuwa family imara inajengwa kwa vikao, mazungumzo, mashauriano yenye tija. Lkn familia yenye magomvi,matusi na vita kamwe haichomoki. Na vijana wenu wanakuja kwa matusi nabii kaiva
Dr Kwala Liwengo retweeted
Wapo wanachadema wengi tu wenye mawazo mazuri ya kujenga kama Nabii Lema lkn wanaogopa kujitokeza na kusema hadharani wasije potezwa mbali. Niombe tu wanaharakati waliochagua kuuza urithi wao kwa chakula kama ESSAU waiache Tz idéal mambo yake yenyewe.Huwezi tukana mamlaka ukachwa
















