Master Tindwa Mtopa (@MasterTindwa) header
Master Tindwa Mtopa (@MasterTindwa) profile picture

Radio and Tv Presenter/Pundit Sports Extra/Alasiri Clouds Tv @CloudsMediaLive

Joined November 2023
Mmiliki wa klabu ya Azam @Yusufbakhresa ameamua kuingia nginja nginja msimu huu kuhakikisha Azam inatwaa ndoo ya Ligi kuu na kutinga katika MAKUNDI Caf champion League,,,,,wait and see
3
6
4,336
Sawa Mmeshinda Ila Kwa Mbiiinde lakini!!
2
3
1
15
4,664
KAGERA SUGAR 1 - 1 SIMBA ft
7
3,336
Heri Kwa siku ya Uhuru wa taifa la Namibia lenye peter Shalulile
10
2,794
Hawa ndio mabingwa wa afcon 2023
10
1,544
Master Tindwa Mtopa retweeted
Ni kweli @Yanga1935 ilipokuwa nchini Ghana kucheza na Mediama Rais wa Yanga Eng Hersi Said alikutana na kiungo Augustine Okrah na kupiga stori mbili tatu hasa kutaka kufahamu kwa undani sababu ya msingi iliyomfanya kuondolewa ndani ya Simba,baada ya mazungumzo hayo viongozi waligundua Okrah aliondoshwa kwa mizengwe tu.
153
53
33
1,483
189,348
Ukisikia kikubwa ni point 3 ujue Hali ilikua ngumu🤣🤣
1
9
1,150
KMC 2 - 2 SIMBA LIGI KUU NBC
1
3
865
Master Tindwa Mtopa retweeted
HiliGame | - @mastertindwa “Jana Wydad wamecheza mechi yao ya Ligi, na ikumbukwe mechi zao tano (5) za mwisho zote wamepoteza tatu ni za ligi (3) na mbili (2) za CAFCL. Lakini jana wameshinda 3-1 kwa mara ya kwanza “ “Wydad wamecheza jana na wanacheza tena Jumamosi dhidi ya Simba CAFCL , Mamelodi pia wamecheza jana lakini sisi huku timu zinaomba zisogezewe mbele mechi zao.” Master Tindwa kwenye HiliGame leo asubuhi
60
27
6
1,075
103,516
Simba na Yanga bado wananafasi ya robo fainali ya CAF Champion League Yanga kama watapata alama 3 kule Ghana na alama 3 hapa Dar es salaam na si vinginevyo,Simba kama atapata alama tatu au zaidi katika Mchezo dhidi ya wydad nafasi itakua wazi kwake.
1
4
756