Blogger |Public Relations Officer

World
Joined June 2013
Mercy 🇹🇿 retweeted
Wapiga Kura 222,218 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki kwenye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Isimani lililopo Halamashauri ya Wilaya ya Iringa Mkoani Iringa na Kata 12 za Tanzania Bara. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele ameyasema hayo leo Mei 31, 2026 Mkoani Iringa wakati akisoma risala maalum kuhusu uchaguzi katika jimbo na kata husika utakao fanyika kesho Juni 01, 2026 na kusema kuwa jumla ya vituo 628 vya Kupigia Kura vitatumika. “wapiga kura 89,753 wapo kwenye Jimbo la Ismani na wapiga kura 132,465 wapo kwenye kata 12 zitakazofanya uchaguzi mdogo na vituo 277 vipo kwenye Jimbo la Ismani na vituo 351 vipo kwenye kata 12 zitakazofanya uchaguzi mdogo.,”amesema Jaji Mwambegele. Aidha, amesema Katika Uchaguzi huo, jumla ya wagombea 108 kutoka katika vyama vya siasa 17 wanawania nafasi wazi ya ubunge na udiwani katika maeneo aliyoyataja. “Jimbo la Ismani lina wagombea 17 wa nafasi ya Ubunge ambapo kati ya wagombea hao wagombea nane (08) sawa na asilimia 47.06 ni wanaume na wagombea tisa (09) sawa na asilimia 52.94 ni wanawake. Kata 12 zinazofanya uchaguzi mdogo wa udiwani zina jumla ya wagombea 91 ambapo kati ya hao wagombea 61 sawa na asilimia 67.03 ni wanaume na wagombea 30 sawa na asilimia 32.97 ni wanawake.” amesema Jaji Mwambegele. Na kuongeza kwa kusema “Natumia fursa hii kuvikumbusha Vyama vya Siasa vinavyoshiriki uchaguzi kesho Juni 01, 2026 kuzingatia wajibu wao wa kuweka mawakala katika vituo vyote vya zoezi la kupiga, kuhesabu na kujumlishia kura. Wasimamizi wa uchaguzi katika Jimbo na Kata husika, wamekamilisha taratibu zinazoweka mazingira yanayowawezesha mawakala wa vyama vya siasa kufuatilia mchakato mzima wa uchaguzi". Amesema, mawakala hao, wanawajibika katika kulinda maslahi ya vyama na wagombea wao. Hivyo, wanapaswa kuzingatia Sheria, Kanuni, taratibu za Uchaguzi na maelekezo ya Tume katika utekelezaji wa majukumu yao vituoni. Jaji Mwambegele amesema vituo vitafunguliwa saa 01:00 asubuhi na kufungwa saa 10:00 jioni.
2
3
293
TAARIFA kutoka @TumeUchaguziTZ
7
11
327
Hakika Wajumbe ni watu Wema, Asante Makambako. Asante Wajumbe #naendeleakujifunza
8
4
59
1,577
Mercy 🇹🇿 retweeted
📍IKULU, Dar es Salaam Serikali imepokea gawio la jumla ya Shilingi Trilioni 1.028, ikiwa ni ongezeko la asilimia 34 ikilinganishwa na Shilingi Bilioni 767 zilizokusanywa mwaka 2024. 📹:IKULU
1
10
13
345
Former President Kikwete Delivers Special Message from President Samia to Algerian President Tebboune Algiers, March 26, 2025 – Former President of Tanzania, H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, has delivered a Special Message from H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, to H.E. Abdelmadjid Tebboune, President of the People’s Democratic Republic of Algeria. The meeting took place at the State House in Algiers. During their discussions, the two leaders reflected on the long-standing historical ties between Tanzania and Algeria, emphasizing the strong foundation of solidarity and cooperation that dates back to the era of the African liberation struggle. They also explored ways to further strengthen bilateral relations in areas such as trade, investment, education, and defense cooperation. H.E. Kikwete conveyed President Samia’s commitment to deepening the partnership between the two nations, highlighting the shared vision for economic growth and regional stability. On his part, President Tebboune appreciated Tanzania’s continued friendship and reiterated Algeria’s willingness to enhance collaboration in key sectors of mutual interest. Prior to their meeting, former President Kikwete was received at the State House by H.E. Ahmed Attaf, Minister of State, Minister of Foreign Affairs, National Community Abroad, and African Affairs; H.E. Abdelhak Saihi, Minister of Health, and Chief of Staff at the Presidency, Boualem Boualem.
4
27
1
86
3,144
At the invitation of H.E President @SuluhuSamia, we’ve departed for Tanzania to attend #Mission300 Africa Energy Summit. Looking forward to joining fellow leaders, energy sector stakeholders & partners, in taking bold action towards our continent’s energy future. 🇿🇲🇹🇿🌍#SDG7
53
100
10
967
100,309
Baada ya kujielekeza katika kuweka misingi mizuri ya mazingira ya biashara kati ya Tanzania na Korea Kusini mwaka jana, mwaka huu tutajielekeza zaidi katika kukutanisha wafanyabiashara wa pande mbili. Huo ndio ulikuwa msingi wa mazungunzo yangu na Bwana Jessey Rutta, Mtaalam wa Masoko wa Shirika la Biashara la Korea (KOTRA) ofisi ya Tanzania aliyefika Ubalozini jana kwa mazungumzo. Katika mazungumzo yetu, tumejadili mikakati na maeneo ya ushirikiano kuwezesha wafanyabiashara wa Tanzania kushiriki maonyesho ya biashara nchini Korea Kusini, na wafanyabiashara wa Korea Kusini kushiriki maonyesho na ziara za kibiashara nchini Tanzania.
5
30
2
126
8,532
Mercy 🇹🇿 retweeted
Hongera sana. Sie @costechTANZANIA ni moja ya taasisi tunazofaidika na mahusiano na wataalam wa Korea Kusini. Sasa hivi wanatujengea Compressed Biogas Digester katika chuo cha VETA Oljoro Arusha kuunga juhudi za clean cooking za Mh Rais @SuluhuSamia
Baada ya kujielekeza katika kuweka misingi mizuri ya mazingira ya biashara kati ya Tanzania na Korea Kusini mwaka jana, mwaka huu tutajielekeza zaidi katika kukutanisha wafanyabiashara wa pande mbili. Huo ndio ulikuwa msingi wa mazungunzo yangu na Bwana Jessey Rutta, Mtaalam wa Masoko wa Shirika la Biashara la Korea (KOTRA) ofisi ya Tanzania aliyefika Ubalozini jana kwa mazungumzo. Katika mazungumzo yetu, tumejadili mikakati na maeneo ya ushirikiano kuwezesha wafanyabiashara wa Tanzania kushiriki maonyesho ya biashara nchini Korea Kusini, na wafanyabiashara wa Korea Kusini kushiriki maonyesho na ziara za kibiashara nchini Tanzania.
1
6
12
1,327
Mercy 🇹🇿 retweeted
Beautiful view of mount Meru, Tanzania 🇹🇿😍
3
9
157
9,463
"Tuko karibu sana na nyumba ya ibada, mbali sana na Mungu, karibu sana na dini, mbali sana na imani, karibu sana na pesa, mbali sana na utu." ~Togolani Mavura.
35
182
8
750
29,709
Mercy 🇹🇿 retweeted
Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge na Uratibu) Dkt.Jim Yonazi ametoa wito kwa watanzania wenye nia njema ya kuchangia pesa kutumia akaunti maalumu ya Serikali yenye jina la National Relief Fund namba 9921159801,ili kuhakikisha usalama na sio kukusanywa na mtu mmoja
2
12
1,129
Nimekutana na Balozi Song, Balozi Mstaafu wa Korea nchini Tanzania. Hata baada ya kustaafu, Balozi Song ameendelea kuonyesha mapenzi makubwa kwa Tanzania. Leo amenijulisha kuhusu safari yake kwenda nchini Tanzania akiongoza jopo la wataalam kuanzisha mazungumzo ya ushirikiano kuhusu bima ya afya. Korea imepiga hatua kubwa kwenye Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Insurance). Hapana shaka, uzoefu wa Korea utatusaidia kuboresha Bima ya Afya nchini Tanzania.
13
41
4
188
9,609
Mercy 🇹🇿 retweeted
Beautiful Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿
38
98
6
1,924
62,445
"Laiti Mwenyezi Mungu angetumia saa, majira na kalenda zetu wanadamu basi matamanio na maombi yetu yangepata majibu tunayoyataraji kwa wakati." ~Togolani Mavura.
20
107
1
434
11,038
Nimewapokea Mheshimiwa Innocent Bashungwa, Waziri wa @WizarayaUJ na Mheshimiwa Deo Ndejebi, Waziri wa @wizara_ya_ardhi jijini Seoul. Nimepata wasaa wa kuwapatia taarifa ya maandalizi ya ushiriki wao kwenye Global Conference for Infrastructure Development. Ushiriki wao ni matokeo na muendelezo wa ziara ya Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia nchini Korea aliyoifanya mwezi Juni, 2024.
7
24
2
125
12,352