Jefe retweeted
A 15-year-old without a single senior appearance doing goodbye videos. The game has never been so gone.
Jefe retweeted
In my view Harambee wamejaribu over the two legs. But ndio nitoke hapa nilikua na watch game imebidi tukubaliane tutafuta kila mtu FKF kazi tukiingia. Sidhani rais ako na hizo powers but ni sawa. Wacha tutoe ruto kwanza.
Jefe retweeted
Niko undisclosed location Emba tuna watch game ya Harambee. Key issues being discussed including ma defender imbo hawaezi clear ball. Also vile bei ya koti ya mkuu inatosha kupanda nyasi mzuri hapo Nyayo. Ineza kua ukweli lakini pia labda zime nice.
Jefe retweeted
"SIFUNA ndio aliandika document ya BROADBASED, RUTO saa hii anamuita MR. EMPTY, akina WANGA wanaringa na hawajui chochote kuhusu hiyo document." ~ Kenyan man
Jefe retweeted
I made an app for this - app.leotunakula.ke ,free to use & plan for meals ๐
Jefe retweeted
Unajituma ndio utoe family yako kwa umasikini alafu your sisters wanaanza kuzaa ovyo na some useless boys
Jefe retweeted
Akili ilifanya calculus imeenda kuuliza chatgpt format ya formal letter,, woiiii ๐ญ๐
Jefe retweeted
Homeboys mia moja..eew!!
Too loud/social butterfly
Too big
Status updates imejaa upuzi
Church girl
























