Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec) header
Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec) profile picture

Dont overshare | privacy is POWERπŸ“Œ.|Job22:21.

Not in Your DMs
Joined August 2019
Photo by Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec)Photo by Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec)Photo by Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec)Photo by Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec)Photo by Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec)Photo by Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec)Photo by Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec)Photo by Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec)Photo by Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec)Photo by Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ (@Mis_Tec)
Kwa Wanaume Wanaopambana na Maisha, Najua umechoka. Najua mzigo ni mzito. Najua mara nyingine unatamani kuacha kila kitu,Lakini usiache. Kesho yako iko njema kuliko leo yako. Leo ni siku yako. Pumzika kidogo, jivunie ulichofikia.πŸ₯°β€οΈ#happyMensday
1
56
Status za My Age mates Hii Weekend, wanapost graduation za watoto wao wamemaliza Kindergarten , halafu kuna mimi,πŸ™„πŸ₯Ή
4
133
Naitwa Vicky na miaka ishirini na mbili 🎢
1
2
135
Na Imani ni Kua na hakika na Mambo UYATARAJIAYO, bayana na yasiyo Onekana Tuna imani na Iliyetuumba.πŸ€—
1
3
115
Leo angaa lipo busy, sijui ni huku tyuu
2
172
Ongeaaana watu vizuri, Alobeba baraka zako toka kwa Mungu ni Mtu sio Miti, πŸ₯‚
2
1
5
148
β€œNikimpata Ntamlinda kama Mboni ya Machoo yangu ,Machoo Anaejuaa thamani ya kupenda na anajali thamani ya neno Loooooooooveβ€πŸŽΆ
1
2
146
Wazazi walituzuiaaa Kuongeaaa Wakati wa Kula, ilaa kuna Mahala kwenyee hii Duniaa Ukikaa kimyaa wakat wa Kulaa Nayo KESI.😊 #Tbt
1
9
189
Nyie Mungu YUPO na ANAJIBU πŸ₯ΉπŸ˜­πŸ™ŒπŸ»πŸ”₯
Na mkifika Kwenye yale matatizo Ambayo Pesa haiwezi kutatua hua mnafanya nini, …….βœπŸΌπŸ‘©πŸ½β€πŸ’»
2
63
Mlisemaa Wameifungaa Mvuaa!? πŸ‘©πŸ½β€πŸ’»
3
181
Na mkifika Kwenye yale matatizo Ambayo Pesa haiwezi kutatua hua mnafanya nini, …….βœπŸΌπŸ‘©πŸ½β€πŸ’»
3
2
2
11
243
To you dear stranger, Mungu Akujalie Maishaa marefu, upate kibali cha Kulea na kukuza Watoto wako, Uweze kutatua changamoto zao,Mpka watakapo kua watu wazima. Ameen.
2
6
95
Kuwa Surrogacy Mother kwa Tz ipoje, Mnipe Criteria zake hapaa. πŸ˜‹πŸ€—
1
7
161
Mis Technician πŸ‘©πŸΌβ€βš•οΈ retweeted
One of the most beautiful roles life gave me is being an Auntie to my sisters’ kids❀️ I love them like they’re my own. When they’re away for too long, I genuinely don’t feel like myself. Being an Auntie is truly on of my greatest blessings πŸ₯ΉπŸ€
3
8
986
Rt. πŸ“ŒπŸ₯‚
Nyie ongeeni vyote kuhusu ndoaa.. Ila mm wakati wangu ukifika LAZIMA NIOLEWE πŸ˜ŽπŸ™
3
155
House Parties haibadilishi Tabiaa ya Mtu,Kama mtu Malaya ni Malayaa tuu, ata awe anakesha chumbani Pekee ake.
5
2
12
248
Mungu Atupe wenza ambao hawana parents issues, Amen.
1
2
6
106
Mtu Anasema wanawake wa kichaga sio wa kuoa, ila cha maana kwa huyo Msukuma wake alichofanya ni kumnunulia bando la meseji za masaa24.
3
1
1
9
205
Juaa kali linawaka Mnashangaa, huu ndio muda wa wenzangu nami wa Ls kufua makoti yakaukee, kuna nyakati tutalitafta hili jua πŸ˜„
7
149