Mpale Mpoki (@MpaleMpoki) profile picture
Kikota, Kiwira, Rungwe, Mbeya
Joined April 2020
Photo by Mpale Mpoki (@MpaleMpoki)Photo by Mpale Mpoki (@MpaleMpoki)Photo by Mpale Mpoki (@MpaleMpoki)Photo by Mpale Mpoki (@MpaleMpoki)Photo by Mpale Mpoki (@MpaleMpoki)Photo by Mpale Mpoki (@MpaleMpoki)Photo by Mpale Mpoki (@MpaleMpoki)Photo by Mpale Mpoki (@MpaleMpoki)Photo by Mpale Mpoki (@MpaleMpoki)Photo by Mpale Mpoki (@MpaleMpoki)
Je, Hicho kigezo kipo kwenye sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 au ni maoni yako kutaka kufuruhisha mamlaka !! Ndoa zote Tanzania zinafungishwa kwa mujibu wa sheria ya ndoa na usemacho hakipo kabisa. Haya maluweluwe acha kuyasema hadharani
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, James Kaji amesema mwananchi hatoruhusiwa kufunga ndoa ikiwa hana kitambulisho cha NIDA.
5
19
1
71
1,566
Serikali ikiagiza bunge liondoe ibara za katiba zinayounda mahakama ya rufaa na mahakama kuu itakuwa ni suala la kisiasa na mahakama haitasema kitu . Vivyo hivyo bunge likijiongezea ukomo wake na kusema ni miaka 15 litakuwa suala la siasa. @Advocate_Jebra HUKUMU ILIKUWA MBAYA SANA
10
40
199
15,462
Critisism of a court judgment is permissible in law kabisa see the case of R vrs Metropolis - Ex Parte Blackburn (No 2) QB 150
Lord Atkin, "Justice is not a cloistered virtue: she must be allowed to suffer the scrutiny and respectful, even though outspoken, comments of ordinary men." This principle, established in the 1936 Privy Council case Ambard v. Attorney-General for Trinidad and Tobago,
2
2
20
728
Kinachonishangaza baada ya mitigation kwa nini mahakama haikuenda kudiscuss mitigating factors ? Consensus ya three judges ilitoka wapi ndapi ya dakika moja kudiscuss mitigation ya zaidi ya nusu saa Hili liijadiliwe
4
15
243
Wakati kuna mahakama kulikuwa na kitu kinaitwa case note ambazo zilikuwa zinawekwa kwenye academic journals na tulikuwa tunatumia kujifunza Siku hizi eti wanakuambia huwezi no no no unaweza
8
158
Maana yeke nini kwa lugha nyepesi kabisa !!! Tuko busy na singeli na AFCON
🚨 Big Breaking News: According to reports, following a serious attack by Iran, U.S. Treasury Secretary Scott Bessent has been moved to a secure military base. 🇺🇸🇮🇷 @grok, please confirm this.
5
1,342
Wasioridhika na kupotelewa ndugu zao waende wapi ? Wasioridhika na kupoteza biashara zao kwa kuzimiwa mitandao waende wapi ? Nadhani hili nalo ni jukumu la kikatiba na Kisheria la Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG) imesema hatua kuu za kisheria katika kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu, zilifuata taratibu za sheria, huku ikisisitiza kuwa kutoridhishwa na hukumu kunapaswa kushughulikiwa kupitia njia za kisheria, ikiwemo kukata rufaa. Mwenyekiti wa CHRAGG, Dunford George Mpelumbe, amesema Tume hiyo haijatoa uamuzi wa kuunga mkono wala kupinga hukumu iliyotolewa dhidi ya Lissu, akieleza kuwa mamlaka ya kutathmini usahihi wa hukumu na ushahidi uliotumika yako chini ya Mahakama. Katika taarifa ya msimamo iliyotolewa Novemba 13, 2026, Mpelumbe amesema tathmini ya Tume ilijikita katika masuala ya haki za binadamu na utawala bora yaliyohusiana na mwenendo wa kesi hiyo, badala ya kuingilia kazi za Mahakama. "Tume haiungi mkono wala kupinga hukumu au adhabu iliyotolewa dhidi ya Ndugu Tundu Antiphas Lissu," amesema Mpelumbe katika taarifa hiyo, akibainisha kuwa masuala ya tafsiri ya sheria na usahihi wa hukumu yanapaswa kushughulikiwa kupitia taratibu za kimahakama. Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam, ilimuachia huru Lissu katika shtaka la uhaini Novemba 6, 2026, lakini ikamkuta na hatia ya kosa la uchochezi na kumhukumu kifungo cha miaka minne jela. CHRAGG imesema uchunguzi wake wa nyaraka za kesi umeonesha kuwa hatua kuu za kimahakama, kuanzia kukamatwa kwa Lissu, kufikishwa mahakamani, taratibu za awali za kesi hadi usikilizwaji wake, zilifanyika kwa kuzingatia mfumo wa sheria za mwenendo wa makosa ya jinai. Tume hiyo imeeleza kuwa Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025 na kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku iliyofuata. Upande wa mashtaka ulifunga ushahidi wake Agosti 17, 2026, baada ya kuita mashahidi 17 kati ya 30 waliokuwa wameorodheshwa. Agosti 21, Mahakama iliamua kuwa Lissu alikuwa na kesi ya kujibu na kumtaka kuwasilisha utetezi wake, uliokamilika Septemba 18 mwaka huo. Hata hivyo, Mpelumbe amesisitiza kuwa kufuatwa kwa taratibu za mwenendo wa kesi pekee hakutoshi kuthibitisha kuwa wajibu wote wa kulinda haki za binadamu umetimizwa.
1
9
39
1,354
The right to be heard. Ilisemwa kuwa kuna hatari kubwa kwa hii tume kuvunja msingi mkubwa wa AUDI ALTERAM PARTEM kwa maana msikilize na anayetajwa. Huwezi muita mtu kwenye tume halafu anataja uhusika wa watu bila wale watu kupewa nafasi ya kumdodosa kujua ukweli TUME IMEFELI
‼️🚨IMEVUJA TAARIFA YA UONGO ALIOUANDIKA SUMAI KWA TUME YA LILA‼️ Tume ya Lila imekuwa ikipokea taarifa za kupika na hali mbaya hadi ilibidi waliwekwa kambi wahuni waliofadhiliwa na Abdul ili waandike taarifa za uongo! Sasa wazalendo ndani ya mfumo wamevujisha na oneni madudu amepeleka huyu SUMAI ambaye alihusika na utekaji wa Djumbe @daviddjumbe na mauaji ya Okt alionekana kwenye video! Anadai alipewa fedha asambaze watu wakachome mali na kuwa sisi (cheki mlolongo wa watu yaani wanaharakati wote wa mitandao kawataja) eti tulimtafuta na kumpa fedha alafu tukaendelea sijui kumshinikiza! We Sumai usijione hodari! Sisi hatujakutisha wala kukuongelesha /- mi sijawahi hata kuongea na wewe! Aliyekulipa pesa ufanye maafa ni Abdul! Tume hii ya Lila kwanza haina uhalali wowote lakini kwa mwendo huu wa kupokea taarifa za kupika kutoka WAUAJI WATEKAJI alafu kutaka kuitumia kutupakazia wanaharakati na wanasiasa wa CHADEMA uhalifu basi wote ni wa hovyo na wahuni! Mkianza kututaja tutajua mnatoa wapi majina yetu! Na huu ujinga tutaipiga vita! Hatuwaogopi maana Mungu wetu hajawahi kushindwa! Tutaendelea kufuatilia na kuwaanika wahuni wote! Msiogope tumeshashinda ila wamekaza fuvu hawa wapumbavu! ✊🏽🔥 Na #TutaelewanaTu #FreeTunduLissu #FreeTwahaMwaipaya
2
11
58
1,824
Tume imekaa kimya vifo vya mamia ya watanzania, haijasema kuhusu fidia za wahanga na ndugu (reparation)kuwafuta machozi. Watu wamekosa biashara na mawasiliano kwa kukosa Internet, wamekosa uhuru wa kwenda wapendako. Uhalali wa kufungwa kwa Lissu wanautolea maelezo kurasa 12
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG) imesema hatua kuu za kisheria katika kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu, zilifuata taratibu za sheria, huku ikisisitiza kuwa kutoridhishwa na hukumu kunapaswa kushughulikiwa kupitia njia za kisheria, ikiwemo kukata rufaa. Mwenyekiti wa CHRAGG, Dunford George Mpelumbe, amesema Tume hiyo haijatoa uamuzi wa kuunga mkono wala kupinga hukumu iliyotolewa dhidi ya Lissu, akieleza kuwa mamlaka ya kutathmini usahihi wa hukumu na ushahidi uliotumika yako chini ya Mahakama. Katika taarifa ya msimamo iliyotolewa Novemba 13, 2026, Mpelumbe amesema tathmini ya Tume ilijikita katika masuala ya haki za binadamu na utawala bora yaliyohusiana na mwenendo wa kesi hiyo, badala ya kuingilia kazi za Mahakama. "Tume haiungi mkono wala kupinga hukumu au adhabu iliyotolewa dhidi ya Ndugu Tundu Antiphas Lissu," amesema Mpelumbe katika taarifa hiyo, akibainisha kuwa masuala ya tafsiri ya sheria na usahihi wa hukumu yanapaswa kushughulikiwa kupitia taratibu za kimahakama. Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam, ilimuachia huru Lissu katika shtaka la uhaini Novemba 6, 2026, lakini ikamkuta na hatia ya kosa la uchochezi na kumhukumu kifungo cha miaka minne jela. CHRAGG imesema uchunguzi wake wa nyaraka za kesi umeonesha kuwa hatua kuu za kimahakama, kuanzia kukamatwa kwa Lissu, kufikishwa mahakamani, taratibu za awali za kesi hadi usikilizwaji wake, zilifanyika kwa kuzingatia mfumo wa sheria za mwenendo wa makosa ya jinai. Tume hiyo imeeleza kuwa Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025 na kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku iliyofuata. Upande wa mashtaka ulifunga ushahidi wake Agosti 17, 2026, baada ya kuita mashahidi 17 kati ya 30 waliokuwa wameorodheshwa. Agosti 21, Mahakama iliamua kuwa Lissu alikuwa na kesi ya kujibu na kumtaka kuwasilisha utetezi wake, uliokamilika Septemba 18 mwaka huo. Hata hivyo, Mpelumbe amesisitiza kuwa kufuatwa kwa taratibu za mwenendo wa kesi pekee hakutoshi kuthibitisha kuwa wajibu wote wa kulinda haki za binadamu umetimizwa.
5
26
90
3,411
Mamlaka za Uingereza ( mahakama kuu ya huko) ilishasema kuwa mahakama za Tanzania haziko huru !!! Kwenye kesi ya Silverdale Farms Hatikujisafisha toka wakati huo !! Kimeturamba tena kwenye hii kesi
8
43
1
120
14,026
My statement on the conviction of Tanzanian opposition leader, Mr Tundu Lissu.
1
332
21
805
36,145
Ukaburu (apartheid) unakuja kwa kasi ya ajabu miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru. Mkuu wa mkoa badala ya kuleta ubaguzi wa dhahiri unatakiwa kuwainua hao unaowadharau wawe na uwezo wa kuingia hoteli hizo hii inaitwa affirmative action Ubaguzi ni kinyume cha ibara ya 13 ya katiba
27
40
5
156
18,735
"On 27 November 2025, the European Parliament condemned in its resolution on Tundu Lissu’s case his arbitrary & politically motivated detention & called for his immediate & unconditional release. Today I reiterate the call for his release." @EP_ForeignAff chair @davidmcallister
"The persecution of an opposition figure is a direct assault on democratic principles." Statement by @EP_ForeignAff chair, @davidmcallister, following the sentencing of Tanzanian opposition leader Tundu Lissu.
 
Read the full statement ➡️ link.europa.eu/HWGG9q
8
44
2
91
2,692
Hawa nafasi zao za hii kazi zilitangazwa ? Tunawezaje kujua kuwa Tanzania kakuna watu wanaomudu kazi hii zaidi ya hawa walioapishwa ambao naona kama tayari walishateuliwa kwenye hizo nafasi walizonazo ? Kutangaza kunaleta transparency, openess na competitiveness
11
21
1
89
11,394
#Tanzania: Statement by the Spokesperson The EU is closely following developments in the case involving opposition leader Tundu Lissu, who has been sentenced to four years’ imprisonment on charges of incitement.   link.europa.eu/jT6QFW
78
6
185
18,168
State of Rule of law in Tanzania leaves a lot to be desired
"The persecution of an opposition figure is a direct assault on democratic principles." Statement by @EP_ForeignAff chair, @davidmcallister, following the sentencing of Tanzanian opposition leader Tundu Lissu.
 
Read the full statement ➡️ link.europa.eu/HWGG9q
1
12
40
930
We condemn the Tanzanian judiciary for convicting and jailing @TunduALissu for a crime he wasn’t charged with and had no opportunity to defend against. Shouldn’t @TunduALissu be released on the basis of “time served” even on the fake incitement sentence so that he can conduct his appeal from outside? The pre-trial detention he has been subjected to is equivalent to 5 years already. Let us demand that Tundu Lissu must be freed. #FreeTunduLissuNow
We condemn the judicial ambush of CHADEMA Chairman Tundu Lissu, whose acquittal on capital treason was immediately followed by a four-year prison sentence for incitement. This is a grave assault on the rule of law and a calculated attempt to silence the demand for democratic reforms. The United Green Movement (UGM) Party led by @dkmaraga stands in unwavering solidarity with Tundu Lissu, his family, CHADEMA and the people of Tanzania in their struggle for democracy, justice and constitutional freedoms. We remain steadfast in our commitment to democratic liberation across our Jumuia. No amount of state terror, cross-border abductions or political imprisonment will stop the march for Mageuzi. The march for Mageuzi cannot be jailed! Read the full statement below. Kumekucha! @TunduALissu @ChademaTZ2 @USAmbTanzania @TitoMagoti @HecheJohn @MariaSTsehai @judiciarytz @kattoloo @NetoAgostinhoMP #UGMParty #TunduLissu #Mageuzi
14
190
1
515
57,483

103
3
196
30,194