NatioN TZA (@NationTza) header
NatioN TZA (@NationTza) profile picture

Private Life Is Happy Life

Joined October 2025
Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)Photo by NatioN TZA (@NationTza)
NatioN TZA retweeted
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara, Ndug @MchinjitaIR na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo, Ndug Luhaga Mpina umesamishwa Stendi ya Mabasi Bukoba wakati ukielekea Bukoba Vijijini. 👉🏿Viongozi wamesema wamachinga wana haki kufanya shughuli zao katika miji bila kusumbuliwa.
4
13
1,167
Vile wananchi wakisikiliza viongozi wetu wa @ACTwazalendo huko mikoani. @SemuDorothy @MchinjitaIR Luhaga Mpina @ayo_shangwe @JaneRithe @Mbaralagande #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
4
6
604
"Viongozi wa Serikali wamekuwa madalali kwa wakulima wa kila zao. Wameua bei ya korosho, bei ya pamba. Mwanzo wakulima walikuwa wanauza mbaazi kilo Sh 3000 ila wakazishusha mpaka sasa Sh 100 na baadhi 300" M/Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
11
14
425

12
14
448

286
"Viongozi wa Serikali wamekuwa madalali kwa wakulima wa kila zao. Wameua bei ya korosho, bei ya pamba. Mwanzo wakulima walikuwa wanauza mbaazi kilo Sh 3000 ila wakazishusha mpaka sasa Sh 100 na baadhi 300" M/Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR teapawt.org/Cargo_1911/status/2118…
4
5
2,637
NatioN TZA retweeted
"Viongozi wa Serikali wamekuwa madalali kwa wakulima wa kila zao. Wameua bei ya korosho, bei ya pamba. Mwanzo wakulima walikuwa wanauza mbaazi kilo Sh 3000 ila wakazishusha mpaka sasa Sh 100 na baadhi 300" M/Mwenyekiti @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
12
12
267

356

10
28
29
1,014
NatioN TZA retweeted
Kiongozi Mstaafu wa @ACTwazalendo, Ndugu @zittokabwe ameshiriki mazishi Alhaji Rajab Thabit Kaila. Marehemu alikuwa baba mzazi wa Mjumbe wa Kamati ya Chama, Ndugu Karama Kaila. Sote wa Mwenyezi Mungu, na kwake ndio marejeo yetu.
10
14
521
NatioN TZA retweeted
Leo 5/11/2026 Makamu Mwenyekiti Bara, Ndg @MchinjitaIR akiambatana na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Ndg Luhaga Mpina na Naibu Mwenezi, Ndg @ayo_shangwe; atafanya mkutano wa hadhara Kata ya Kikomelo, Bukoba Vijijini. Muda 9:00 Alasiri #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
16
24
29
2,210
NatioN TZA retweeted
"Bei ya mafuta inaendelea kuruka kila siku, na hatuoni Serikali ikichukua hatua yoyote madhubuti ya kuhakikisha bei hii inashuka. Watu wachache ndio wanaonufaika kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
11
20
28
1,698
NatioN TZA retweeted
Jana Novemba 4, 2026 KC @SemuDorothy amefanya mkutano wa hadhara kwenye kata ya Nyarubanda, Jimbo la Kigoma Kaskazini. Leo Novemba 5, KC atafanya mikutano kwenye kata ya Muzye, Kasulu Vijijini na Kata Kazuramimba, Kigoma Kusini. #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
14
23
27
794
NatioN TZA retweeted
"Keshokutwa Hukumu ya Lissu itatoka. Lissu ni kiongozi mwenzetu. Kosa lake ni kupigania Demokrasia na uchaguzi huru na haki. Msimamo wetu ni kuwa Kesi ya Lissu ni kesi ya kisiasa. Inahitaji suluhisho la kisiasa na si vinginevyo." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy
15
27
69
3,181
NatioN TZA retweeted
RAIS SAMIA TRILIONI 51.92 ULIZOKOPA UMEFANYIA NINI? @ACTwazalendo #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
22
40
7
109
6,463
NatioN TZA retweeted
"Katoro ina mchango mkubwa kwenye mapato ya Serikali, lakini bado ina shida kubwa ya maji. Waziri Maji anasema kila kila kijiji kina maji, lakini uhalisia ni tafauti.".. Naibu Katibu Mwenezi wa @ACTwazalendo @ayo_shangwe
4
4
74
NatioN TZA retweeted
"Bei ya saruji imepaa kutoka Shilingi Elfu 20 mpaka Elfu 28. Kwa hali hii ni vigumu kwa watu maskini kujenga. Serikali ya CCM haibabaishwi, haifikirishwi wala haiogopeshwi na maisha duni ya watanzania." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
1
8
9
231
NatioN TZA retweeted
"Samia alisema ndani ya siku 100 atatekeleza mambo mengi ila leo Siku 370 toka aapishwe kimabavu na kuingia ikulu hakuna hata moja lililotekelezwa." Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Luhaga Mpina #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
2
19
28
292
NatioN TZA retweeted
"Msimamo wetu kuhusu Oktoba 29. Tunatautaka ukweli, tunataka haki na tunataka uwajibikaji kwa wote waliosababisha mauaji. Umekatika mwaka, lakini hadi sasa hatujaona mtu yeyote akiwajibishwa." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #Haki #Ukweli #Uwajibikaji
24
38
57
6,511

241