MSIMU WA SABA WA MASHINDANO YA RIADHA KWA WANAWAKE youtu.be/-vVW951TOYA?si=B2eF… via @YouTube
1
227
RT KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WANARIADHA WA ZAMANI youtu.be/wRkbeh9khbw?si=3UNK… via @YouTube
121
Waamuzi watakiwa kusimamia haki wakati wa mashindano ya riadha kwa wanaw... youtu.be/UfeDEdiyR_g?si=19rH… via @YouTube
74
VIJANA WA KIKE KUNUFAIKA NA MAFUNZO YATAKAYOTOLEWA ILI KUWAONGEZEA MAARIFA youtu.be/Ee3GiHrSRZ8?si=DGTd… via @YouTube
32
USIKOSE MSIMU WA SABA WA MASHINDANO YA RIADHA KWA WANAWAKE "LADIES FIRST " youtu.be/Hv8fX4A38u8?si=vkfZ… via @YouTube
19
Katibu Mtendaji wa BMT Bi. Neema Msitha akieleza jambo kuhusu tuzo za Baraza 2024 leo Mei 20, 2025 katika mkutano na Waandishi wa habari kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Kamati ya tuzo Prof. Mkumbukwa M.Mtambo, tukio lililofanyika katika hoteli ya Southern Sun, Dar es Salaam.
55
#Matokeo ya Uchaguzi wa viongozi wa chama cha mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu (TAFF).
#Uchaguzi wa Viongozi wa TAFF
Wagombea wa uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa watu wenye Ulemavu wakijinadi kwa wapiga kura katika uchaguzi wa TAFF unaofanyika leo Mei 18, 2025 katika ukumbi wa Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam.
26
Matokeo ya usaili wa wagombea uongozi wa chama cha mpira wa miguu kwa Watu wenye Ulemavu Tanzania (TAFF)
14
#Usaili wa wagombea nafasi za uongozi chama cha mchezo wa mpira wa miguu kwa Watu wenye Ulemavu (TAFF) umemalizika leo tarehe 17 Mei, 2025 katika wa uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, uchaguzi wa chama hicho unatarajiwa kufanyika tarehe 18 Mei, 2025 uwanja wa Mkapa.
19
#Usaili wa wagombea wa nafasi za uongozi wa chama cha mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu (TAFF) unaendelea uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2025
19
#CAFCC
Kila la heri watanzania tupo nyuma yetu
@SimbaSCTanzania @Tanfootball @CAFCLCC @CAFCLCC_fr @CAF_Online
1
1
19
#Andiko
Utafiti kuhusu ushiriki wa watanzania katika michezo na mazoezi ya viungo
17
Katibu mtendaji wa BMT Bi. Neema Msitha amepokea taarifa ya kukamilika kwa utafiti juu ya ushiriki wa michezo na mazoezi ya viungo nchini Tanzania kutoka kwa Tomoya Shiraishi Mtaalam mshauri wa Michezo kutoka nchini Japani ambaye anafanya kazi BMT, Mei 15, 2025.
22
Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa
#TuzoZaBMT2024 #TuzoZaWanamichezo2024

























