Mmesoma policy zote za hawa watu lakini au ni muhemko??? Sera za uhamiaji, uhuru wa kutoa maoni, Afya, kodi, mabadiliko ya tabia nchi, umiliki wa silaha???
Mtu mweusi kusema fuck democracy ni crazy wakati wahafidhina hawana hata sera moja ya kutubeba😂😂😂
Cinephile retweeted
LUKA DONCIC TONIGHT:
40 POINTS
9 REBOUNDS
7 ASSISTS
6 THREES
THIRD STRAIGHT 40+ POINT GAME. INSANE. (via @realapp)
Cinephile retweeted
I don't have a budget. Huwa natumia tu hela zikikaribia kuisha, natafuta namna ya kupata zingine. I think having a budget sometimes feels like limiting yourself.
Tumetenganishwa na mpaka tu ila Kenya na Malawi ni sayari mbili tofauti
KENYA: Jaji wa Mahakama Kuu Alexander Muteti amemtaka Inspekta Generali wa Polisi, Douglas Kanja, kujitokeza kueleza kuhusu kupotea kwa mwanaharakati Mtanzania na mwanachama wa CHADEMA, Twaha Mwaipaya aliyeripotiwa kutoweka Oktoba 25, 2026, eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos.
Katika kesi ya maombi ya Habeas Corpus inayotaka Mwaipaya afikishwe Mahakamani au mamlaka zieleze alipo, Wakili wa Serikali, Christopher Marwa, alisema Polisi wamewasiliana na kampuni za mawasiliano kupata taarifa zinazoweza kusaidia kumtafuta, hata hivyo bado hawajapokea majibu.
Zaidi jamii.app/IGPKujielezaTwaha
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #HakiZaBinadamu
Cinephile retweeted
Kimsingi wewe kuishi kwa kutumia 3000 kwa siku hakufanyi 5000 iwe nyingi kwa siku😂😂🚮
Little Guy Syndrome, tf was wrong with that guy🤣🤣🤣
🚨 DAME DASH CONFIRMS STORY OF JAY-Z GETTING PRESSED BY TUPAC BEFORE A LAS VEGAS PERFORMANCE! 👀👀
During a recent interview with the Art of Dialogue, Dame Dash was asked about the long circulating story of Jay-Z allegedly being confronted by 2 PAC & 2Pac’s camp while attempting to perform in Las Vegas.
According to the story, Jay-Z was staying at a hotel in Vegas, but Tupac and his crew reportedly knew where he was and weren’t going to let him leave to perform his scheduled show.
Dame Dash says he remembers the situation and revealed that he actually had to make some phone calls to get things resolved.
🗣️ DAME DASH:
➡️ Dame says he contacted Chaz from Blackhand, who was familiar with Tupac’s circle.
➡️ Chaz, Big D and possibly Eric B helped get in touch with Suge Knight.
➡️ Suge reportedly told them that the situation wasn’t coming from him, but that Tupac was doing his own thing.
➡️ Suge then contacted Tupac and essentially called him off Jay-Z, allowing Jay to leave the hotel and perform his show.
Dame also explained that he remembers hearing about multiple situations where Jay-Z was getting pressed, but he wasn’t always around when they happened.
🎥 Art of Dialogue

























