Tima (@Official__Tima) header
Tima (@Official__Tima) profile picture

Sky is the limit

Tanzania
Joined April 2013
Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)
Unyanyasaji wa wanafunzi wa sekondari mitandaoni Kwa mujibu wa mtafiti Hezron Zacharia Onditi na Shapka Jennifer (2019), katika utafiti kuhusu unyanyasaji mtandaoni kwa wanafunzi wa shule za sekondari Tanzania, walibaini kuwa 42% ya wanafunzi waliwahi kuwaonea wengine kupitia vifaa vya kielektroniki, huku 58% wakiwa wamewahi kuwa waathirika wa vitendo hivyo #ElimikaWikiendi Chanzo: commons.udsm.ac.tz/jhss/vol8… Usikose kufuatilia mjadala kuanzia saa 4:00 Asubuhi tutaangazia namna ya kuwasaidia vijana wanavyoweza kutumia mitandao ya kijamii kwa uwajibikaji.
15
15
423
Tima retweeted
ENDING october with a GRATEFUL heart.
23
543
37
1,735
39,974
Kama unatamani kufika mbali kwenye maisha basi jiepushe sana na dhuluma🤝
16
38
2
334
8,752
Kuna siri za mafanikio ya watu ukizijua utashukuru na kuridhika na ulichonacho #ElimikaWikiendi
3
4
11
296
Always pretend you don’t have money.
71
339
20
3,449
64,241
the power of prayer is so real. don't ever doubt it.
21
969
14
5,206
86,658
𝗞𝘂𝗺𝗯𝘂𝗸𝗶𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝘁𝘂𝗸𝗶𝗼 𝘆𝗮 𝗧𝗮𝗿𝗲𝗵𝗲 𝟮𝟵 𝗢𝗸𝘁𝗼𝗯𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱 Mwaka mmoja tangu matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, TMC, kupitia Kikundi Kazi cha Utawala wa Mtandao Tanzania (IGTWG), inaungana na mashirika mengine ya kiraia kuwakumbuka waliopoteza maisha, kutoa pole na mshikamano kwa manusura na familia zilizoathirika, pamoja na wote ambao bado wanasubiri majibu. Taarifa ya pamoja inaangazia umuhimu wa ukweli, uwajibikaji, msaada kwa familia zilizoathirika, heshima kwa haki za binadamu, na ulinzi wa haki za kiraia na haki za kidijitali. Katika kuadhimisha siku hii, tunasisitiza umuhimu wa haki, uponyaji, maridhiano ya kitaifa na dhamira ya pamoja ya kulinda utu wa kila mtu. 📄 Soma taarifa kamili hapa: bit.ly/29thOct_Statement #TMC #IGTWG #HakiZaBinadamu #HakiZaKidijitali #Tanzania
1
21
25
775
Ukatili wa kijinsia kwenye ndoa/mahusiano haupaswi kunyamaziwa! Matukio haya yameendelea kutishia usalama wa wanawake na wasichana, wakati mwingine kuhatarisha maisha yao. Jumamosi iliyopita kwenye jukwaa la #ElimikaWikiendi, tuliandaa mjadala ulioangazia jinsi kutambua viashiria vya ukatili, madhara yake na namna ya kuripoti ili kupata msaada. Tenga muda wako sikiliza kupitia YouTube channel yetu. Link: tinyurl.com/3kxzn3s7 #ZuiaUkatili #MahusianoSalama #EndGBV
1
21
2
23
786
Dada Josephine ni moja kati ya watumiaji wazuri wa Intaneti, akizungumza na #MkulimaWaKidigitali ameeleza ni kwa namna gani anatumia intaneti Tuambie intaneti imebadilisha maisha yako kwa kiasi gani? #TDC2026 #MIL #TMC
18
1
20
748
No success until you accept the pain of discipline.
37
231
10
1,966
37,090
NEVERRRRRR underestimate how much Allah is protecting you from things you don’t even know about.
9
126
5
1,299
18,318
Tima retweeted
“Allah does not burden a soul beyond its capacity.” — Qur’an 2:286
8
288
3
1,602
20,044
Sato vs Sangara Au wote. Vyote ukitaka in one package sema. We deliver. 0762344677
29
1
41
15,797
Size:40-45 Tsh.75,000 CONTACTS:+255718007463 For pickup 🛵 📦 and delivery 🛵 🚚 #zimbabwe #zanzibar #tanzania #Zambia #dodoma #serengeti #Nairobi #kilimanjaro
11
11
448
Umri huja na hekima yake hasa baada ya miaka 40!
1
3
244
Kama elimu yako haikutoi kwenye umaskini. Basi umaskini upo ndani ya elimu yako.
23
49
148
2,227
Kuwa financially stable kunahitaji ubinafsi(ubahili) wa kulinda pesa zako dhidi ya dharura za kifedha za watu wengine. ✍🏽✍🏽
19
83
5
385
13,466
Usidhani ukifika unapotaka kufika utaridhika. Kuna siku uliomba maisha uliyonayo leo, lakini leo unayaona ya kawaida. Sali Zaidi 🙏🏽✝️
32
207
4
1,011
16,179
Binafsi Naona hiii sekta ya maadili na malezi hapa Tanzania inabidi izidishe ukali kidogo haya mambo ya ngoma za vigoro sijuhi shughuli, kimaadili zaidi hazikutakiwa ziwepo hapa Tanzania.😎
7
15
1
48
1,295
Wanasema there is nothing so unforgiving like "TIME"
5
23
1
190
8,865