Mama @SuluhuSamia uyo mtoto amekufa damu yake itakuwa juu Yako na familia Yako na abduli wako hayo maridhiano yakitapeli unafikiri Kuna maridhiano TUNDU LISSU akiwa jela? Ivi nani uyo anaewashauri? 😂😂 Mnajitekenya alafu mnacheka mpaka mnakaukia? 😂😂😂 Akuna maali mtajifisha
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
THRDC yahoji hukumu aliyopewa Tundu Lissu
bbc.in/48s91KZ
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
Proud to stand with @TunduALissu and @officialVM7 (Venâncio Mondlane). Both charged with treason for being opposition. Lissu acquitted of treason (convicted of incitement). Mondlane’s trial continues. Different countries, same playbook. The pattern is hard to miss.
#FreeTunduLissu #FreeVenancioMondlane
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
CHADEMA: Hatutashiriki katika maridhiano ya kudanganyana
bbc.in/4iMV00v
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
‼️🚨Gaidi Mwandamizi Namba 10
Mzanzibari "Abdul Halim Hafidh Ameir"‼️
Tunamleta kwenu Abdul Halim Hafidh Ameir (Mzanzibari), Gaidi Mwandamizi Namba 10 na mtoto katili na fedhuli sana wa Gaidi Mkuu Samia Suluhu Hassan.
Abdul ni mtu ambaye jina lake limekuwa sawa na hofu, ufisadi, ufiraji na kutokujali. Amekuwa akihusishwa mara kwa mara katika kila kashfa za kutindinganya rasilimali za Tanganyika, ikiwa ni pamoja na mkataba wa kuuza Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World, uchimbaji haramu wa uranium kwa kushirikiana na makampuni ya Urusi, utakatishaji fedha, biashara za mafuta na kula njama na wakala wa Iran Rostam Aziz kwenye
kutekeleza maangamizi ya raia.
Cha kusikitisha zaidi ni kwamba, balozi wa zamani wa Tanzania chini Cuba Ndugu Humphrey Polepole aliyetekwa na kupotezwa Oktoba 2025, alimtaja hadharani Abdul kama kiongozi mkuu wa kikosi cha utekaji nyara na mateso ngono cha watawala. Maelfu wakiwepo raia wa nchi jirani wametekwa nyara na kupotezwa kwa maelekezo yake. Ndani na nje ya Tanganyika.
Inatambulika wazi kwamba Gaidi Abdul amepewa RASMI mamlaka ya kudhuru raia na Mkuu wa Idara ya Usalama ya Taifa Suleiman Mombo ambae amempatia kitambulisho cha TISS. Ni kitambulisho hiki ndicho kinachotumika kufanya maovu kwani kwa sasa Abdul analindwa na Idara ya Usalama ya Taifa kama mmoja wa wafanyakazi wake.
Ndugu Mtangayika, simama kutetea nchi yako. Tafadhali toa taarifa popote pale utakapomuona au kupata taarifa ya Gaidi Abdul Halim Hafidh Ameir.
Kutoa kwako taarifa ikiambatana na picha ya eneo aliloonekana itasaidia kuweka kumbukumbu zitakazowezesha kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria. Tunawashukuru wazalendo wote waliomo kwenye mfumo wanaoendelea kuunga mkono juhudi hizi kwa kutupatia taarifa na ushirikiano katika kutimiza azma yetu ya kuwapatia stahiki zao wale wote wanaohusika na ulawiti na unajisi wa taifa letu la Tanganyika.
Tunaikumbusha familia ya Gaidi Abdul Halim Hafidh Ameir kwamba kila chozi la Mtanganyika litalipwa na familia yake (wazazi, wenza, wakwe, watoto na wajukuu) kwa uzito sahihi na stahiki na wakati muafaka.
Tusiogope! Tutashinda!
A luta continua, vitória é certa!
Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika!
#FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
Mtoto wa miaka 13.
Ndoto zake alikua anataka kuwa daktari.
Angel alipigwa risasi na watu wenye uchu wa madaraka na kiu ya damu za watu.
Watu hawa wanaoendelea kuteka kila anaekosoa mfumo wao, wanaua, wanafunga jela kwa kesi za uongo.
Familia nyingi kama ilivyo familia ya Angel wanabaki na majonzi na maumivu yasiyokwisha.
Chuki inaongezeka, uhasama unajengeka wannabe wanafikiri wataua kila Mtanzania anaekemea huu uovu Mpaka wabaki ambao wataogopa kabisa na kukaa kimya wote..
Nafikiri wanajidanganya sana, kila uovu unaofanyika unaongeza chuki, unawapa watu ujasiri wa kupinga mabaya na wengi zaidi watazaliwa kukataa huu mfumo wa kidkteta wa sisi kuishi kama mateka.
Tunakulilia Angela kama wengine wote ambao maisha yao yamekatishwa na yanaendelea kukatishwa bila sababu.
Tunajua uovu wao huu wanataka kutubambikizia sisi, tunajua kesi wanaoandaa dhidi yetu ili kuficha wauaji halisi na kukamata watu wema.
Vyovyote watakavyofanya, tutaendelea kupigania haki ya kila mtu na lazima itapatikana na waliohusika watawajibika.
Pole sana familia ya Angel.
Pumzika kwa Amani Malaika.
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
Karibu Afrika, ukanda wa uhaini kwa wapinzani.
Tanzania; Tundu Lissu amehukumiwa uhaini
Uganda; Kiiza Besigye anashtakiwa kwa uhaini
Rwanda; Victoire Ingabire anashtakiwa uhaini
South Sudan; Riek Machar anashtakiwa uhaini
Burundi; Alain Bunyoni kahukumiwa uhaini
DR Congo; Joseph Kabila amehukumiwa uhaini
Zambia; Brian Mundubile anashtakiwa uhaini
Niger; Mohamed Bazoum anashtakiwa uhaini
Lesotho; Mothetjoa Metsing anashtakiwa uhaini
Chad; Succès Masra amehukumiwa uhaini
Nigeria; Timipre Sylva anashtakiwa kwa uhaini
Guinea-Bissau; Domingos Pereira, pia uhaini
Mozambique; Venâncio Mondlane, pia ugaidi
Zimbabwe; Job Sikhala anashtakiwa ugaidi
Watawala Afrika wanaugua ugonjwa wa udikteta
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
We stood outside the IMF and warned the world before the October 2025 elections: stop samia suluhu hassan or it will get worse. The world stayed silent. Now her own commission confirms over 518 killed. The UN says 700. CHADEMA says over 2,000. Independent counts put it in the thousands. We told them this would happen. We ask the world to hold samia accountable, this must not be swept under the rug.
#TanzaniaMassacre #Accountability
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
#TANZANIA: THRDC WAKOSOA VIKALI LISSU KUHUKUMIWA KWA UCHOCHEZI KAMA KOSA DOGO LINALOHUSIANA NA SHITAKA LA UHAINI
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa leo Novemba 18, 2026 akizungumza na Wanahabari amebainisha mapunguzu katika hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar Es Salaam Novemba 06, 2026 kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kufungwa jela miaka minne kwa kosa la uchochezi ambapo awali alishitakiwa kwa kosa la uhaini.
"Kutiwa hatiani kwa uchochezi kama kosa dogo linalohusiana na shtaka la awali: Mhe. Lissu alishtakiwa kwa uhaini lakini alitiwa hatiani kwa uchochezi chini ya kifungu cha 390 cha Kanuni ya Adhabu kupitia kifungu cha 319 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai. Ingawa THRDC inatambua mamlaka ya Mahakama kumtia mshtakiwa hatiani kwa kosa dogo linalohusiana na shtaka la awali, swali kuu ni iwapo viini vya uchochezi vilikuwamo tayari katika shtaka la uhaini bila kuongezwa kiini kipya cha kumshawishi au kumchochea mtu mwingine kutenda kosa mahsusi, ambacho si sehemu ya viini vya uhaini vilivyokuwa vimeshtakiwa. Katika Ali Mohamed Hassani Mpanda v Republic [1963] EA 294, Mahakama ilisisitiza kuwa kosa dogo lazima litokane na viini vilivyomo katika kosa kubwa, bila kuongeza kiini kipya cha kisheria" - Wakili Onesmo Olengurumwa, Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)
"Kutobainishwa kwa uwazi kosa mahsusi lililodaiwa kuchochewa: Kifungu cha 390 kinahusu kumshawishi au kumchochea mtu mwingine kutenda kosa. THRDC inaona kuwa hukumu haikubainisha kwa uwazi kosa mahsusi la jinai ambalo Mhe. Lissu alidaiwa kuwachochea wengine kulitenda. Katika Kesi ya Freeman Aikael Mbowe & Others v Republic [2021] TZHC 3705, Mahakama Kuu ilisisitiza umuhimu wa kubainisha kwa uwazi kosa linalodaiwa kuchochewa pamoja na maneno yaliyodaiwa kuwa ya uchochezi" - Wakili Onesmo Olengurumwa, Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (@THRDCOALITION)
Zaidi: youtu.be/pgtGfFm--ao
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
#TajiriLaKihaya
Sikiliza walichokua wanakiongea Hawa mashuhuda wa Ajali ya MV MWANZA 💔
Umejifunza Nini?
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
Ndege 34 za Tanzania Zapigwa Marufuku Anga la Ulaya
bbc.in/3UU9IcU
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
🚨‼️SAD NEWS‼️
Another witness and victim of #MO29 massacre has died unexpectedly! Angel recently gave an interview with her mother about her ordeal!
TANZIA: ANGEL WARIAELI AFARIKI DUNIA AKIWA MUHIMBILI
Dar es Salaam. Binti Angel Wariaeli, aliyepata majeraha katika tukio la Oktoba 29 na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya matibabu, amefariki dunia.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa leo na mmoja wa wanafamilia wake wa karibu, ambaye ameeleza kuwa Angel amefariki dunia akiwa bado anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali hiyo.
Hadi sasa, uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na mamlaka za Serikali zinazohusika na usimamizi wa matibabu yake hawajatoa taarifa rasmi kuhusu kifo hicho. Juhudi za kupata ufafanuzi kutoka kwa mamlaka hizo zinaendelea.
Poleni familia na wote walioguswa na msiba huu.🙏🏽
Rest in peace Angel👼
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
18/11/2026 = Nikiwa Nimetoka Nyumbani ARUSHA Kuelekea DAR- Na Basi La SADIQ LINE Kwenye KESI ya Mh- TUNDU A-LISSU ,
Nilipofika MOSHI Niliugua Nikashindwa Kuendelea Na Safari Nikarudi Nyumbani ARUSHA Kwa Matibabu Na Sasa Naendelea Vizuri ,
By- = BABA-BONNY , ARUSHA ,TANGANYIKA ,
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
Kuna msamaria mwema alijitokeza kumsaidia na akataka jina lake lisitajwe ni nani anafanya wema wa namna ile alafu akataka asijulikane?,
lakini akatuma waandishi wa habari wakajionyeshe kuwa wamempa msaada!
Kama hakutaka kujulikana kwanini alituma waandishi?
Pole Angel! 🕊️
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
UPDATE KUTOKA MAHAKAMA KUU DAR ES SALAAM:
Mawakili wa Serikali wameiambia Mahakama kuu kwamba, Jeshi la Polisi linamshikilia FADHIL BENEDICT MBEYA aliyekamatwa tangu tarehe Oktoba 10, 2026.
Majibu hayo yamefuatia maombi ya Habeous yaliyowakilishwa na CHAMA Mahakama kuu, kuiomba mahakama iwaite Jeshi la Polisi na mwanasheria mkuu wa serikali kuja kueleza sababu za kumshikilia nduhu FADHILI kinyume na Sheria.
Hata hivyo, shauri limeahilishwa kwa muda hadi saa nne na nusu Asubuhi hii.
MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MKOA WA DAR ES SALAAM KISUTU:
Mahakamani Kisutu, Mhe John Pambalu atapandishwa tena kizimbani kufutia kesi ya uhaini aliyoshitakiwa nayo.
Mheshimiwa Pambalu ni mkurugenzi wa Organization , Mafunzo na Uchaguzi CHADEMA.
MAOMBI YA GRACE SHIO KUSIKILIZWA MCHANA WA LEO MAHAKAMA KUU DSM:
Iikifika mchana saa saba na nusu, mahakama kuu , masijala ya Dar es salaam itasikiliza maombi mengine ya Grace Shio anayeshikiliwa na Polisi tangu tarehe 22. Kesi hiyo ilipangwa kusikilizwa leo mbele ya Mhe Jaji Salma Maghimbi.
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
Askofu Bagonza: Nimemjua aliyenitishia kunipoteza mwananchi.co.tz/mw/habari/ki…
Tanganyika yetu🙏🙏🙏 retweeted
MARIDHIANO AU UPATANISHO HAVIWEZI KUFANIKIWA BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI!
Maridhiano au upatanisho wa kweli na wa kudumu hauwezi kufanyika bila kwanza kuwepo kwa Tume Huru, Jumuishi na Yenye Kuaminika ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI.
Tume hiyo lazima ijumuishwe na wataalamu wenye uwezo na uadilifu kutoka ndani na nje ya nchi, pamoja na uwakilishi wa wahanga wenyewe, ili ukweli wote kuhusu yaliyotokea uweze kubainika, haki itendeke na uwajibikaji uweze kupatikana.
Hatuwezi kwa dhati kufikiria kukaa kwenye meza ya mazungumzo huku wanaharakati, watetezi wa haki za binadamu na wanasiasa wanaosimamia misingi ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI wakiendelea kuwindwa, kutishwa, kuwekwa kizuizini au kubambikiwa makosa yasiyo na dhamana kwa hila bila aibu halafu hao hao wanaofanya unyama huo wanahubiri Nuru katikati ya Giza.
Hali inakuwa ya kusikitisha zaidi pale ambapo kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani ndugu Tundu Antipas Lissu kwa Uonevu na ukatili usiomitjilika anapokuwa gerezani katika mazingira ambayo uhalali na uadilifu wake wa kisheria vinazua maswali mazito.
Ni muhimu tuelewe jambo moja na Tuliseme bila kupepesa macho:
Mgogoro huu si mgogoro wa vyama vya siasa; ni mgogoro unaohusu haki, utu, usalama na uhai wa RAIA.
Kwa hiyo, tuache kujidanganya, kujilisha upepo au kubeza na kupuuza madhila ya wahanga, hususan vifo na mauaji yanayodaiwa kufanyika dhidi ya raia wasio na hatia kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Maumivu ya wahanga hayawezi kufutwa kwa matamko ya kisiasa, wala ukweli hauwezi kufunikwa kwa kauli za maridhiano.
Maridhiano si njia ya kufuta makosa, kuficha ukweli, kusamehe bila kujua kilichotokea au kuwapa kinga wale wanaopaswa kuwajibika. Maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya kukiri ukweli, kutambua madhara, kutenda haki, kurejesha utu na kuhakikisha uwajibikaji. Huwezi kujenga amani ya kudumu juu ya misingi ya dhuluma, ukimya na kutokuwajibika
UKWELI ndio mwanzo.
HAKI ndiyo msingi.
UWAJIBIKAJI ndiyo daraja.
MARIDHIANO ndiyo matokeo.
Kufanya kinyume na utaratibu huu si kujenga maridhiano; ni kudhihaki ufahamu wetu, kupuuza maumivu ya wahanga na kuahirisha mgogoro ambao hatimaye utahitaji kutatuliwa.
BAK MWABUKUSI
UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA



































