NYANDA (@R00dger) header
NYANDA (@R00dger) profile picture

ishi ukiamini Mungu atakubariki 🙌

Tanzania
Joined April 2020
Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)
NYANDA retweeted
14/11 Mungu amenipa kibali cha kuongeza Mwaka Mwingine🙏 HAPPY BIRTHDAY TO ME 💜
303
196
39
1,279
50,883
NYANDA retweeted
Si kila kitu kinahitaji majibu leo. Wakati mwingine unachohitaji ni uvumilivu, imani na ujasiri wa kuendelea. ❤
10
47
2
290
13,232
NYANDA retweeted
Kuna Watu ili wasijiskie Vibaya wata fanya kila Jitihada wakushushe ili Uwe pamoja nao 📌
10
14
52
988
NYANDA retweeted
Replying to @R00dger
Ni kweli kabisa mzee....📌🔨
1
1
1
26
NYANDA retweeted
Kama utarusuu njaaa ikusaidie kufanya maamuzi, basi ukishiba utajuta Mkuu.🫵🏽
9
30
82
1,418
🙏🙏🙏🕊️🕊️🕊️
13
146
6
581
7,607
NYANDA retweeted
Mama amka😭 Repost bila kuchoka ✌️
5
443
4
1,060
7,422
NYANDA retweeted
Usisubiri dunia ikupe nafasi. Jiamini, panga maisha yako na chukua hatua. Kesho yako inategemea kile unachofanya leo. Good Morning Friends
7
9
44
713
NYANDA retweeted
Unaweza kuwa na moyo mzuri ila Maisha na Binadamu wakakufundisha kuwa na moyo mgumu, usijitoe zaidi.
14
29
53
835
NYANDA retweeted
Umasikini siyo kitu chema umasikini unakatisha tamaa umasikini ndiyo ugonjwa mbaya kuliko magonjwa yote duniani
2
7
23
308
NYANDA retweeted
Panga cha kufanya kabla maisha hayajakupangia.
5
19
348
NYANDA retweeted
Nimejifunza Kua Positive kwenye Maisha yangu, Hata kama unapopata changamoto amini kwamba litaisha na maisha yataendelea kama kawaida. Good morning Fam❤️🙏
9
29
1
105
2,297
NYANDA retweeted
Dada kama umesha olewa vaa pete , kua muaminifu na uache kujichetua mbele ya vijana wanaojitafuta 😎 .
17
41
433
NYANDA retweeted
MWANAUME Hakikiasha unakuwa na muonekano mzuri kuanzia mwili wako(fanya mazoezi) mpaka mavazi (vaa vizuri) Hakikisha una pesa(tafuta) ya kutumia na nyingine iwe bank.Hiyo ndio namna pekee itafanya ufurahie maisha. Mengine yatakuja yenyewe.
2
8
34
1,254
Hakuna Mwanaume aliyechelewa maisha wala hakuna mwanaume aliyewahi maisha, kila mmoja ana nafasi ya kuwa bora, Cha msingi ni connection, kupeana heshima, na kutiana Moyo
9
55
396
14,649
NYANDA retweeted
Kuna watu watakuja kwenye maisha yako kwa muda tu kisha wataondoka lakini watakuachia somo ambalo utadumu nalo maisha yote.
2
14
2
46
1,751
Ng'ombe asiyetulia kwenye zizi lake Ndio Anayechapwa sana na kila Mchungaji 😆
32
73
5
437
19,507
NYANDA retweeted
Kwenye maisha pambana na muombe Mungu upate vile vitu ambavyo pesa haiwezi kununua na pia upate pesa ya kutosha kupata vile vinavyohitaji pesa.
3
12
1
44
1,163
BRO TO BRO Wewe ni mwanaume usikimbilie kuthibitisha thamani yako kwa watu. Jenga maisha ambayo hata wewe mwenyewe utajivunia ukiwa peke yako. Kuwa na Nidhamu, Linda amani yako, Linda afya yako, Linda familia yako. Na zaidi ya yote, linda mwelekeo wa maisha yako ndio HAZINA
9
50
2
207
8,649
NYANDA retweeted
Replying to @R00dger
Blessed
1
1
1
13