Pinned Tweet
Binafsi twita nakujaga kurefresh mind sijawai kua siriazi na huu mtandao we ukinichukulia siriazi humu we utajua mwenyewe.
Roho ya umaskini ipo kwenye ngozi me siwezi kuteseka hata kama nina ndoto kubwa sasa naishi ili nini we mishy
simo_northern47 retweeted
Bestie yangu mmoja alisema mpaka anaingia kaburini hatowahi kupanga Nyumba inayozidi 100k kwasababu ana ndoto nyingi za kutimiza, sasa ukiingia kwenye chumba chake aisee anazidi wewe unayelipa 500k per month 馃う nimechelewa Sana kujifunza vitu vingi 馃檶
simo_northern47 retweeted
Kwenye maisha haya hakikisha kuna watu hawatakiwi kujua hata saivi unategemea kwenda wapi.
simo_northern47 retweeted
The pain of kulala na boxer kwa kiti kwa wenyewe alafu ukiamka unapata waliamka kitambo ni breakfast wanakula 馃槀馃槶
simo_northern47 retweeted
Huwezi kuwa tajiri kwa kuwa mwalimu wa shule ya msingi au secondary labda kama wewe ni mwizi.
Sema budget yako iko juu sana
One men alikuja home akihitaji kunioa nikaomba nafasi kuongea nae,nilimwambia nina miladi yangu ya kuchimba dhahabu huko nyakagwe hivyo nauhitaji wa EXCAVATOR 馃榾 je,utaweza kuninulia?!akajibu hapana na mimi nikakataa kuolewa nae
Kwa upande wangu men huna confidence+pesa siwezi
simo_northern47 retweeted
I鈥檓 rereading our old messages and I鈥檓 realizing I鈥檝e lost a queen chasing women unworthy of my time. I won鈥檛 even try getting her back, I鈥檒l just be better. I鈥檒l be the man she thought I was because I deserve losing her.
simo_northern47 retweeted
""Unajua umenipoteza muda wangu bure, unge nambia mapema kama huji ili niendelee na shughuli zangu""
馃槀馃槀 shughuli gani wewe, pumzika bro



















