Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips) header
Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips) profile picture

⚽ SPORTS ANALYST | 🎙️ CONTENT CREATOR 📊 Sports Analysis | 🎮Gamer 🏆 Forbes-Recognized | 👑 Founder @SamalenTV | @SamalenTips 🤝 Philanthropist

SAMALEN TV
Joined February 2023
Photo by Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips)Photo by Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips)Photo by Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips)Photo by Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips)Photo by Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips)Photo by Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips)Photo by Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips)Photo by Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips)Photo by Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips)Photo by Samalen Tips🤴🫆 (@Samalentips)
Anko wangu alinitembelea kidogo tukazungumza mambo mengi sana , Sijutii kuwa na anko kama yeye ✌️🙌
28
8
7
106
16,996
Odds 2 Odds 5 Zipo kwenye App mapema kabisa Usiziache 📌📌
1
324
Wikiendi hii TUTASHINDA Boom la Odds nyingi sana Join uwe nasi chat.whatsapp.com/BlE0laRYZx… Kama haukubali kazi zangu na za wanangu usi join maana utatuwekea gundu 😡
Habari, Kwenye App Kuna treni limetoka limeandaliwa kwa umakini sana litaanza leo mpaka jumapili naomba tulizingatie sana ni Muhimu
1
460
Kama kuna siku umewahi kubeza vyombo vyetu vya usalama piga magoti na useme Mungu nisamehe, Kwa kitu ambacho nimekiona leo basi nadhani Tanzania ndio inaweza ikawa ina ulinzi imara na bora zaidi hapa Africa Mashariki 🙌
3
536
Hapa x kuna watu wanajifanyaga ni TISS 🤣, hivi unajua TISS hawajisemi hata siku moja, nimekutana nao sana na hata ukiwa unapiga nae stori ukimuuliza hakwambii ila utakachojua tu ni kwenye suti yake ana badge ndogo ina nembo kabisa pale ila TISS hawezi kukwambia kuwa yeye ni TISS
Jameni mimi ni TISS😁🫵🏾
2
518
Kuna watu hadi leo wanadhani Tanzania kuna sare 1 Official tu ya jeshi
1
4
519
Kuna watu bado wanadhani TIS wetu hapa TZ wana kitengo kimoja 🥲
2
535
Tanzania maintains superior and more effective national security compared to Uganda.
The best video on internet with three presidential materials for three different generations @mkainerugaba, @KagutaMuseveni and @RuhamyaKM.
2
418
Kuna videos nimezifanya lakini acha tu nizifute nimeshauriwa na nimeelekezwa kumbe sio vizuri sana kuzichapisha pia sheria za The Tanzania Intelligence and Security Service Act, Cap. 406, na sheria za ulinzi wa faragha zinabana sana japo kuna watu wanawekaga ila huwa haitakiwi
Mungu Asante kumbe haitakiwi wala hairuhusiwi kuwarekodi TISS na ku share leo nilipata picha zao na videos nyingi ila afadhali huwa napenda kuuliza na kufuatilia kumbe kuna act ya usalama wa taifa inakataza na unaweza kwenda jela muda mrefu sana du ngoja nikazifute tu 😳
2
441
👏👏👏
Ninawashukuru wananchi wa Arusha kwa mapokezi mazuri mliyonipa nilipowasili mkoani hapa kwa ziara ya kikazi. Mwakani, Arusha itakuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Wito wangu kwenu ni kuendelea kudumisha amani na utulivu, kuhakikisha mazingira yetu yanakuwa safi na kuchangamkia fursa mbalimbali zitakazotokana na mashindano hayo.
3
444
Aisee ulinzi wa Mh Rais ni hatariiii mnooo !!! Wapewe maua yao aisee sidhani kama hapa Africa kuna nchi ina ulinzi mkali na imara kama nchi yetu Tanzania 🇹🇿
Welcome Arusha Your excellency President Dkt Samia 🇹🇿 🙏
3
720
Mungu Asante kumbe haitakiwi wala hairuhusiwi kuwarekodi TISS na ku share leo nilipata picha zao na videos nyingi ila afadhali huwa napenda kuuliza na kufuatilia kumbe kuna act ya usalama wa taifa inakataza na unaweza kwenda jela muda mrefu sana du ngoja nikazifute tu 😳
8
3
2
56
7,758
Habari, Kwenye App Kuna treni limetoka limeandaliwa kwa umakini sana litaanza leo mpaka jumapili naomba tulizingatie sana ni Muhimu
2
1
1
18
2,133
6GUFJB Sportybet odds 20+
4
620
Welcome Arusha Your excellency President Dkt Samia 🇹🇿 🙏
1
3
1,071
Kwenye App ya SAMALEN TIPS muda huu tumetoa Odds 12+ Free kwa wote naomba tuzizingatie 🙏
4
646
Kila siku makampuni yananitafuta, hizi deals sizitaki wapeni vijana wajitaftie hela mimi hamtaweza kunilipa (proposal yangu hamtaiweza) acheni kunisumbua dm wakuu 🤝
Nina dm zaidi ya 400+ za kuniomba nifanye affiliate kwenye makampuni ya kubet sijazijibu maana hawawezi kunilipa 😡
4
3
4
1,944
Wow kenya wako vizuri sana aisee aliuwawa kijana wao mmoja wamepambana mpaka haki yake imepatikana , wamei pressulize Tz mpaka wameahidi kufanya uchunguzi , nchi nyingine hiki kitu hakipo kabisa majirani wapongezwe sana
2
589
.
UGANDA | NOVEMBA 18, 2026 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema ameambatana na mmoja wa wanachama wa chama cha upinzani ili kujionea mwenyewe namna mambo yanavyoendelea na shughuli mbalimbali zinavyofanyika.
4
1,742
Samalen Tips🤴🫆 retweeted
UGANDA | NOVEMBA 18, 2026 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema ameambatana na mmoja wa wanachama wa chama cha upinzani ili kujionea mwenyewe namna mambo yanavyoendelea na shughuli mbalimbali zinavyofanyika.
2
1
3
1,678
Naangalia hapa hotuba ya mama kule Uganda amesema ameenda na kiongozi mwenzake wa upinzani ili aangalie mambo yanavyokwenda 👏👏👏
1
436