Acha na hii mambo Da Neeema..jikite kwenye mambo mengine.
I met with opposition political party leaders in Arumeru representing CCK, DP, CHAUMMA, SAU, ADA TADEA, UPDP, UMD, CUF, NRA, Demokrasia Makini, ACT Wazalendo, AAFP, UDP, TLP, CHADEMA and NLD.
Guided by HE President Dr. Samia Suluhu Hassan’s 4R philosophy, we emphasised dialogue, cooperation for development and agreed political differences will not stand in the way of serving our communities.
#ArumeruKimataifa #AmaniArumeru #MaendeleoArumeru #TukutaneSite
Hongera sana Tito..Go get it 💪🏿💪🏿
Matriculated into the @UniofOxford to read for a Doctor of Philosophy in Law.🙏🏽
#DearNyerere ndugu yetu @Sajjo labda kama ana lolote la kutuambia!
Nchi inahitaji sana wazalendo kama wewe Da Neema.
Nimeupokea kwa unyenyekevu mkubwa uteuzi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa DC Arumeru.
Kwa hatua hiyo, nimeomba ofisi yangu iliyopo Brussels nchini Ubelgiji kukatisha mkataba wangu wa Katibu Mkuu WPL, na nimerejea nchini na kuanza kazi 🇹🇿
#ArumeruKimataifa Karibuni Arumeru.
Hongera sana Prof.
All the best.
Hongera sana Prof @SwahiliBible kwa kuaminiwa na taasisi kubwa kusini mwa mstari wa Ikweta. Nakutakia baraka za Mungu katika utekelezaji wa majukumu haya mapya ya kiungozi.
Inawezekana VP & his delegation left early...just thinking.
🔴77 دولة غادرت وفودها قاعة الجمعية العامة للأمم المتحدة أثناء خطاب نتنياهو
🔴 الدول العربية — 18 دولة
▪️ سوريا
▪️ فلسطين
▪️ الأردن
▪️ لبنان
▪️ العراق
▪️ السعودية
▪️ قطر
▪️ الكويت
▪️ عُمان
▪️ اليمن
▪️ مصر
▪️ السودان
▪️ تونس
▪️ الجزائر
▪️ ليبيا
▪️ موريتانيا
▪️ الصومال
▪️ جزر القمر
🔴 آسيا وتركيا — 14 دولة
▪️ تركيا
▪️ إيران
▪️ باكستان
▪️ أفغانستان
▪️ بنغلادش
▪️ إندونيسيا
▪️ ماليزيا
▪️ بروناي دار السلام
▪️ المالديف
▪️ ميانمار
▪️ كوريا الشمالية
▪️ تركمانستان
▪️ أوزبكستان
▪️ قيرغيزستان
🔴 إفريقيا غير العربية — 20 دولة
▪️ جنوب إفريقيا
▪️ السنغال
▪️ جيبوتي
▪️ أنغولا
▪️ الكونغو
▪️ جمهورية الكونغو الديمقراطية
▪️ ليبيريا
▪️ إريتريا
▪️ تشاد
▪️ جمهورية إفريقيا الوسطى
▪️ مدغشقر
▪️ النيجر
▪️ بوتسوانا
▪️ أوغندا
▪️ ليسوتو
▪️ إسواتيني
▪️ غينيا الاستوائية
▪️ موزمبيق
▪️ ناميبيا
▪️ كينيا
🔴 أميركا اللاتينية والكاريبي — 17 دولة
▪️ سورينام
▪️ بنما
▪️ فنزويلا
▪️ أنتيغوا وبربودا
▪️ بليز
▪️ بربادوس
▪️ كولومبيا
▪️ دومينيكا
▪️ نيكاراغوا
▪️ بيرو
▪️ سانت لوسيا
▪️ الباهاما
▪️ بوليفيا
▪️ كوبا
▪️ غيانا
▪️ البرازيل
▪️ تشيلي
🔴 أوروبا — 6 دول
▪️ مقدونيا الشمالية
▪️ سان مارينو
▪️ سلوفينيا
▪️ البوسنة والهرسك
▪️ إسبانيا
▪️ إيرلندا
🔴 أوقيانوسيا — دولتان
▪️ توفالو
▪️ تونغا
🔴 المجموع: 77 دول
.........................................
🇵🇸🇹🇿 “Tanzania is deeply concerned and saddened by the protracted conflict and humanitarian suffering in Gaza and across the Middle East. We continue to call for the protection of civilians, unhindered humanitarian assistance, and renewed diplomacy towards lasting peace.
Tanzania remains firmly committed to the two-state solution, with Israel and Palestine living side by side in peace and harmony in accordance with international law and relevant UN resolutions. We reaffirm the right of the Palestinian people to self-determination and believe that lasting peace must guarantee dignity, security, and legitimate aspirations of both peoples. We have been consistent on this for the past 50 years. For us, this is a matter of our foreign principles.”
RT.
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii haraka. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana Haki ya kuishi. Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii.
Hopeful tumeandaa/tunaendelea kuandaa mazingira ya kupokea Intakes mbili za Form One 2027.
#HABARI Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) na Wizara ya Elimu Tanzania wametia mabadiliko rasmi ya elimu ya msingi ambapo wanafunzi waliopo Darasa la Tano mwaka huu (2026) wanatarajiwa kumaliza elimu ya msingi mwaka ujao wa 2027 wakiwa Darasa la Sita.
Kwa mujibu wa taarifa ya leo Septemba 18, 202- iliyotolewa na NECTA, mabadiliko hayo yanatokana na utekelezaji wa Sera Mpya ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 (Toleo la 2023), ambayo imepunguza muda wa elimu ya msingi kutoka miaka saba hadi miaka sita yaani kuanzia Darasa la 1 hadi la 6.
NECTA imeitaja 2027 kama mwaka wa Mpito ambapo wanafunzi hawatasoma Darasa la Saba, badala yake, watafanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) wakiwa Darasa la Sita mnamo mwaka 2027 na kisha kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2028.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
Go easy King Kinya.
The final journey of Kinyanguli Tuzo, popularly known as King Kinya, ended at Mwanyamala kwa Kopa Cemetery in Dar es Salaam, where he was laid to rest on Friday afternoon, September 18, 2026.
instagram.com/reel/Ddb2-OfoR…
Maria & Gang 😂
Hii ni picha ya SIRI kwa maelezo ya mtu aliyepo JAMBO TV wakati wanapewa hii picha, kulikuwa na kikao cha mapatanisho, source yangu ndani ya JAMBO inasema wametumiwa na LEMA kuonyesha mambo yako sawa, na interview zote za JAMBO TV zimeandaliwa na LEMA
Huu ni unafiki, unafanyaje mambo kama haya kwenye mapatano na wenzio?
hata huko Jambo ni kama watu wanashindwa kuelewa kwa nini Lema anapambana sana kuonekana safi na kutengeza watu wengi kuongea kama kusafisha sura yake





























